Uchaguzi 2020 Ujumbe wangu kwa Watanzania wote kuelekea 28/10/2020

Wale madiwani wa CHADEMA waliomuua ulUVCCM iringa saivi wanajuta walichofanya sababu Lissu na Msigwa hawawatambui, watafia jela na familia zao zikifa njaa

Huku Lissu wanae wapo ulaya wanakula maisha na yeye October lazima arudi nyumbani kwake ulaya
Waliompiga risasi wapo sehemu salama wakigonga mvinyo.
 
Una guaranteed gani Na huyo LISSU kwamba ndio ataponesha Nchi ?
Huyu tumemwona kwa miaka 5 akipuyanga tu. Aliingia kwa gia ya viwanda, ambayo kwa sasa hazungumzii tena, hata sijuwi anayo agenda gani sasa hivi.

Siyo sahihi kumwacha aendelee kuvuruga.
 
Ndugu yangu ushauri wako nimeusoma na kuuelewa vizuri sana. Nami nakushauri uwashauri wanachama wenzako katika Chama chako wawe watulivu na wapole wakati huu ambapo MH. TAL akiwapatia dozi. TULIENI DAWA IWAINGIE VIZURI ndugu zangu. Mkileta kukuru kakara dozi itaharibika. 🤣🤣🤣
 
uchaguzi huu utakua wa Amani na Utulivu kwani ni utamaduni wetu na asili yetu sisi watanzania kupenda amani na utulivu.
siku ya October 28/10/2020 tutapiga kura na tuta rudi nyumbani kusubiria matokeo.
 
Uchaguzi huu tutapiga kura kwa wingi za CHADEMA, hatupoi na haturudi nyuma, TUTALINDA kura zetu.

MaCCM mkiiba kura zetu,
Tutapasuana matumbo, tulane maini wenyewe kwa wenyewe.

#SASABASI
#NIYEYE LISSU ✌🏽✌🏽✌🏽
 
Aisee una akili nyingi sana.

Kuna watu wana akili below nusu na robo humu watakuja kukupopoa na hoja zao mufilisi.
 
Hii ni 2020 tunachotaka tuwe na uhakika na vitu tunavyo zalisha kupata solo LA uhakika mbaazi tulikuwa tunauza kilo elfu tatu ufuta gunia ilikuwa laki moja moja na nusu Leo hii vyote vimeporomoka tunalima kwa garama kubwa tunakuja kukuta tunapata hasara tu
Nyie endeleeni tu kupigania ugali wenu ila tunaoishi vijijini tunajua anza tunayo pata tumbaku mumeua soko kabisa tunataka raisi ambae atajua umuhimu wa kuwa na masoko yatakayo mnufaisha kila MTU
Enzi za kusema sijui nani atakuwa vile vile was wadanganyeni wasio elewa
 
Huu ni ujumbe wa kinyonge sana

Hakuna atakayeishi milele, ukiijua hii principle basi hutaogopa kifo maana utakufa tu anyway!

Cha msingi uishi ukiwa Huru, Utendewe haki na Ushiriki kuleta maendeleo kwa ajili yako na vizazi vijavyo

Ukifa si umekufa tu, kwani kuna ambaye hatakufa?
 
Sina budi, kama Mtanzania mpenda Amani na mzalendo kwa Mama Tanzania yetu, kukushukuru kwa ujumbe mzito na wa upendo kwetu. Asante sana, naamini mwenye akili timamu ameelewa ulilosema.
 
Umekaririshwa mpaka mwisho wa fikira zako. Pakiwa na watu 10 wa aina yako kati ya 2000 wanaoishi mtaa mmoja, wastani wa IQ katika mtaa huo itaporomoka mpaka kiwango cha utaahira.
 
Usisahau kuwaambia hawa watu
 

Attachments

  • ubabe wa CCM.mp4
    3.7 MB
Wewe mtoa mada usijifanye kuwa unajali uhai wetu sana wakati Ben Saanane hakuingia maandamano yoyote na mlimuua.
Anzori Gwanda hakuwepo kwenye maandamano na mlikwishamuua,masheikh wa Rufiji na wengi wengineo waliookotwa mitoni na kwenye fukwe za bahari.

Tunajua kwamba,tukiandamana mtatuua lakini hamtatuua wote na ata tukiacha kuandamana,huyu Nduli atatuua kwa njia yoyote ile.
Basi hatuna budi kuandamana kwa sababu kifo kitakuja tu vyovyote iwavyo,iwe mkituua tutakufa ama hata Mwenye Mungu akitaka tutakufa.
Hata ninyi mnaotuua hamk salama kiviile,aidha huyu muuaji atawaua ama pia mtakufa wakati wenu ukifika. Na yeye pia atakufa,ama pia atafia kifungoni.
Ushauri wangu ni huu...TENDENI HAKI,hilo tu basi mtakuwa salama,wananchi watakuwa salama,na hayo maendeleo mnayoyanadi yatakuja kwa usalama.
 
Nimekupa like yangu mkuu.

Hiki ndicho naamini siku zote.


Mzee wangu huwa anasema ni ujinga kuaandamana kwa ajili ya kiongozi fulani wa kisiasa aingie madarakani ilhali.
Hata akifanikiwa ni ngumu kumkumbuka mzee wamgu Baba At Calvary.

Wakiandamana wewe shika jembe ukalime. Au fanya mishe zako zingine. Waliojichokea na maisha ndio wafanye huo upuuzi.
 
Ndio uje uingie barabarani baada ya October 28.

Usije ukatuangusha kamanda. Maana naamini hamuwezi kukabidhiwa nchi kwa makaratasi kama ulivyosema.
 
Sawa Sawa Mkuu Nakutakia Kila la kheri kwenye Maandamano yenu Maana yatakuwep Sababu hamtapita
Ukivunjika Miguu, Ukipofuka Macho, Uki vunjika mikono.

Usisahau kuja kutuambia na Tutakujibu "Pole Sana" [emoji38][emoji28]
Acha kutia watu uoga Kuna watu hatuna cha Kupoteza ndio kizazi hiki walio wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…