Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Bila ya kupata ndugu yangu huwa anakuwa yupo yupo tu, betri ya ubongo inakuwa low, ila akipata anakuwa kazichaji.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nikinywa nakua na upendooo. Hata yule mtu ambae simtaki namtafuta namwambia asinichukie kwa kumkataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtafute shemeji yangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili za heineken 8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ntakutukana kesho
 
Tulianza kupishana humu ndanii kama mabasi ya kwenda mikoani heheheehe
Usijali kabisa wala sikuwa na shida na wewe kabisa najua kila nikiangalia notification naona shunie hewaa sio kama zamanii hata jukwaa la wakubwa siitwi tenaa
Ni vyema wagombanao ndo wapatano hata hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ntakutukana kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matusi ulinitukana juzi mfyuuuuuuu kesho huwezi nitukana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana nilikua nakujibu kawaida tu maana nilijua kichwa chako kimepata moto. Tumeshasameheana yamepita mama.
Nilikuwa nimelewa nna savanah kama saba kichwani na vishots kadhaa unadhani mchezooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shunie hewa nimecheka sana ile post ndugu mana na mm nilikuwepo na mm nikatoa ushauri zile vitu zisipostiwe sawa sawa nadhalilishwa mm khaaa bada ya mda ukaja na gazeti kuhusu wadada nikasema mweeh acha nijikalie pembeni mm mwenyewe najijua usije ukawa unamchekea mtu anakuchunia ya nini yote Mungu ni mwema sana mpaka leo tupo hapa tupendane tu jamani
 
Ameeeeen shetani kashindwaaaaa analiaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…