🤣🤣🤣🤣 nipe bwana, sitawamaliza. Nina kazi na mpare mmoja tu.Utatumaliza🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿
Aaah nimekumbuka, kuna tapeli la kichaga nalo nalipiga kitu kizito🤣🤣🤣Homeboy kabisa!?😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂🏃🏿 Walau ungesema Mchaga🤣
Kwani shee hizi picha unatoaga wapi🤣🤣🙆♂️🙆♂️Huyo fasta sana.. Chagua unatakajeView attachment 3615137View attachment 3615138
Unanitisha bwana.Database ya kilingeni
🤣🤣🤣🤣Sasa shee ulozi utauweza kweli🤣