UK, France & Canada leaders: We strongly oppose expansion of israel's military operations in gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi cha chakula katika Gaza halitoshi kabisa. Tunatoa wito kwa Serikali ya Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza na kuruhusu mara moja misaada ya kibinadamu kuingia Gaza. Hii lazima ijumuishe kushirikiana na Umoja wa Mataifa ili kuhakikisha kurejea kwa utoaji wa misaada kulingana na kanuni za kibinadamu. Tunatoa wito kwa Hamas kuwaachilia mara moja mateka waliosalia ambao wamewashikilia kikatili tangu tarehe 7 Oktoba 2023.

Hatua ya Serikali ya Israeli kunyima usaidizi muhimu wa kibinadamu kwa raia haikubaliki na inahatarisha ukiukaji wa Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu. Tunalaani lugha ya kuchukiza iliyotumiwa hivi majuzi na wajumbe wa Serikali ya Israel, tukitishia kwamba, katika kukata tamaa kwao katika uharibifu wa Gaza, raia wataanza kuhama. Uhamisho wa kudumu wa kulazimishwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
================
We strongly oppose the expansion of Israel’s military operations in Gaza. The level of human suffering in Gaza is intolerable. Yesterday’s announcement that Israel will allow a basic quantity of food into Gaza is wholly inadequate. We call on the Israeli Government to stop its military operations in Gaza and immediately allow humanitarian aid to enter Gaza. This must include engaging with the UN to ensure a return to delivery of aid in line with humanitarian principles. We call on Hamas to release immediately the remaining hostages they have so cruelly held since 7 October 2023.

The Israeli Government’s denial of essential humanitarian assistance to the civilian population is unacceptable and risks breaching International Humanitarian Law. We condemn the abhorrent language used recently by members of the Israeli Government, threatening that, in their despair at the destruction of Gaza, civilians will start to relocate. Permanent forced displacement is a breach of international humanitarian law.

SOURCE: 👇🏽

Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank. Source: GOV.UK Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank
 
Si mlesema IDF akiingiza Majeshi Gaza atamalizwa vipi mbona mnalia.. hivi FaizaFoxy Allah took her or? maana Allah alimuangusha sana...

Mwacheni Netanyahu aiweke Nchi yake salama. Tanzania tu Rwanda alisumbua Kikwete akakaza na kuwafukuza Wanyarwanda kule mpakani... Vita sio Siasa.. upiigane wewe alafu wengine wanataka Ushindwe.. Trump mwenyewe kasema Netanyahu ana hasira. Hamas hawasameheki alafu hizo nchi hazitaki wakimbizi hao wa Gaza hahahaha
 
Mkuu,

Nililongelea hili jambo la Israeli na mpango wao wa kuichukua mazima Gaza yote, nafikiri ni mwaka unusu sasa.

Huu ni mpango ambao hizo nchi za magharibi waufahamu uzuri na pia ziara ya raisi Donals Trump huko Saudia, UAE na Qatar hivi majuzi ni katika kukamilisha mpango huo.

Sasa mpango ni upi?

Mpango ni Israeli kuichukua Gaza yote kuwa ni sehemu yake "permanently" na ikiwa ni majivu, kisha UAE na Qatar ndo wataojenga upya sehemu hiyo kuwa ni mali ya US.

Kama mwakumbuka mwezi Februari raisi Trump akiongea kuhusu Gaza alisema kuwa Marekani yaenda kuichukua mazima Gaza na itakuwa mali yao, na ifuatayo ni moja ya nukuu alozungumza raisi Trump-

“The US will take over the Gaza Strip and we will do a job with it too. We’ll own it and be responsible for dismantling all of the dangerous unexploded bombs and other weapons on the site, level the site and get rid of the destroyed buildings, level it out. Create an economic development that will supply unlimited numbers of jobs and housing for the people of the area … do a real job, do something different"- mwisho wa kunukuu.

Hivyo, hata hizi nchi za magharibi wakija na kauli mbalimbali kwamba eti oooh, kwamba kuna nini na nini hiyo yote ni siasa la ulaghai suala ni kwamba wote hao ni wamoja na waufahamu mpango mzima wa Marekani kuigeuza Gaza kuwa Riviela hiyo kwa mujibu wa raisi Trump.

Sababu kubwa ya raisi Trump kufanya ziara katika nchi hizo tatu za kiarabu ni katika kuhitimisha mpango huohuo wa kuipa Israeli fursa ya kufanya wanavyotaka kuuchukua mazima ukanda huo wa Gaza ikiwa ni pamoja na jeshi la IDF kuingia Gaza, kuwatawanya wapalestina na kuwaweka kwenye makambi maalum yanolindwa na IDF pamoja na kuwahamisha kwa lazima wapalestina hao kwenda nchini Libya (yasemwa wapalestina wapatao milioni 1).

Hii operesheni ya Gideon Chariots ndo operesheni yenyewe ilopangwa kitambo na tarehe 5 mwezi huu Benjamini Netanyahu akatangaza kuwa ingeanza rasmi. Akizungumzia hili la OC waziri wa fedha Bezarel Smortich linukuliwa akisema -

" Within a year, Gaza will be entirely destroyed, civilians will be sent to the south to a humanitarian zone, and from there they will start to leave in great numbers to third countries- mwisho wa kunukuu.

Hivyo basi, ukiangalia ziara ya raisi Trump Saudia, na khasa Syria ambako alikutana na kiongozi wa serikali ilo chini ya Al Qaeda, ilikuwa ni katika mpango wa kuitaka Syria na Libya ziwachukue wapapetina wataokuwa wakiondoshwa kwa nguvu kutoka Gaza.

Televisheni ya NBC ilitaarifu juu la hili kupitia kichwa chake cha habari "Trump administration working on plan to move 1 million Palestinians to Libya.” na baadae wakalionglea kiufupi katika sehemu ifuatayo:

" The Trump administration is working on a plan to permanently relocate up to 1 million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, five people with knowledge of the effort told NBC News. ... Syria, with its new leadership following the ouster of Bashar al-Assad in December, is also under discussion as a possible location for resettling Palestinians currently in Gaza".

Kwahiyo, ni lazima ieleweke kuwa hawa jamaa waweza kuwa waongelea jambo fulani na kulipigia sana kelele lakini kiuhalisia jambo hilo si kama lilivyo bali ni kinyume chake.

Gaza imeharibiwa na wapalestina waliopo hapo wote watahamishwa kwa nguvu kutoka katika sehemu yao ya asili na kupelekwa katika sehemu zingine mpya kabisa hiyo ni "ethnic cleansing" na kuchukua ardhi iso yako (annex) na hayo ndo moono ya raisi Trump juu ya Gaza mpya baada ya vita vya kuchonga kati ya Hamas na Israeli.
 
Kauli ya Netanyahu ya hivi punde:
....
Statement by Prime Minister Benjamin Netanyahu.
"By asking Israel to end a defensive war for our survival before Hamas terrorists on our border are destroyed and by demanding a Palestinian state, the leaders in London, Ottawa and Paris are offering a huge prize for the genocidal attack on Israel on October 7 while inviting more such atrocities.
The war began on October 7 when Palestinian terrorists stormed our borders, murdered 1,200 innocent people and abducted over 250 more innocents to the dungeons of Gaza.
Israel accepts President Trump's vision and urges all European leaders to do the same.
The war can end tomorrow if the remaining hostages are released, Hamas lays down its arms, its murderous leaders are exiled and Gaza is demilitarized. No nation can be expected to accept anything less and Israel certainly won't.
This is a war of civilization over barbarism. Israel will continue to defend itself by just means until total victory is achieved."
 
NETANYAHU AJUI

tu ni nguvu ipi itayozuiya mpango wake lkn Ukweli upo ivi Israel inavyouwa viongozi wa Hamas ndio pia inavoivuta IRAN !!!!

endelea kusoma mchezo ulivo elimika zaid weka ufaamu wako sawa ujue mchezo ulivo !!!!

nawakumbusha Hamas pamoja na kusaidiwa na IRAN lkn Hamas sio SHIA ni SUNI!!!!!

Mtakumbuka Viongozi wa Hamas walimgomea IRAN kipindi cha Mzozo wa Kwanza unaanza pale SYRIA !!!!

IRAN ilitaka mchango wa Wajeda!!! kutoka Hamas waende kusaidia Serikali ya Assad kama vile walivofanya hezbollah

Hamas waligoma kwenda SYRIA kwanni waligoma !!!!

ipo ivi mgogolo wa SYRIA nchi ya QATAR ilikuwa inasaidia waasi kumuondosha Assad !!!!

Tukumbuke pia HAMAS inafadhiliwa pakubwa na Qatar !!!

uku IRAN ikiwasaidia kijesh zaid na kimafunzo kwa Wajeda wa Hamas kitendo kile kilimkasilisha sana Ayatollah!!!!

ivyo ndiomana nawaambia kila Israel inapowauwa Viongozi wa Hamas ndivo pia Ukombozi wa Gaza unakalibia !!!!

pale Yemen kafanilkiwa kuweka SHIA ivyo wanamtiii mojakwamoja Ayatollah na Hezbollah pia ni SHIA !!!

sasa Hamas nikama wanaondoshwa kwenye mfumo wa kutawala Gaza Hamas ndio Viongozi i wa GAZA makundi yote mengine yanatakiwa kuwa Chini ya Hamas kwa chochote kile,, !!!!

IRAN ni watu wenyekutumia fursa vizuri uku wakitamani kumiliki maeneo matakatifu yote ya mashariki ya kati !!!

kwaiyo apo Nguvu ya Hamas inapotea Viongozi wake muimu wanadhidi kufa mwisho tutakuja kusikia kundi jipya ndio Watawala wa Gaza !!!!

GAZA ikiwa chini ya Makundi ya Iran mjue sasa ndio Ukombozi wa iyo Ardhi utafatia alaka !¡!!!

kwasasa Israel inacheza ngoma ya IRAN uku yenyewe iyo Israel ikidhani inaenda kutwaa mazima Gaza !!!!

Utawala mpya chini ya Mashia Utapendwa alaka na Vijana wote Sababu utatoa vipigo vikubwa kiasi Israel itaanza kukata tamaa !!!!!

vipigo kutokea YEMEN vitakuwa vikubwa kuliko sasaivi !!!!

mwisho wa yote Israel itajutia kuwauwa Viongozi wa Hamas kwatamaa yake ya kuitwaa Gaza!!!

Israel nisawa na Fisi inaponyemelea mkono wa Binadamu akidhani utaanguka !!!

kwasasa Israel wao wananyemelea Gaza kwa kuivunja Hamas lkn kile kitotokea awatoamini macho yao..!!!!

kumbuka Iran ndio watu wenye Akili zaid apo Mashariki ya kati ukiacha propaganda za ISRAEL!!!!

nawakumbusha tena Marekani wakati wanaivunja mifupa ya IRAQ chini ya SADAM !!!

IRAN chini chini walikuwa wanaunda Serikali ya IRAQ Marekan kuja kushtuka kachelewa adi Sasa IRAN inanguvu kubwa za Ushawishi apo IRAQ tofaut kabisa na kipindi cha SADAM!!!!

Iran ukiwaekea Vikwazo wao wanaitumia iyo kama changamoto ya kutafutia majibu yake.!!!!

Vita vyasasa apo GAZA IRAN inatoka na Utawala mpya wenye kumtiii Ayatollah tu sio Qatar wala nchi nyengine yoyote Muda ndio mwalimu mtaelewa tu. ,,
 
Si mlesema IDF akiingiza Majeshi Gaza atamalizwa vipi mbona mnalia.. hivi FaizaFoxy Allah took her or? maana Allah alimuangusha sana...

Mwacheni Netanyahu aiweke Nchi yake salama. Tanzania tu Rwanda alisumbua Kikwete akakaza na kuwafukuza Wanyarwanda kule mpakani... Vita sio Siasa.. upiigane wewe alafu wengine wanataka Ushindwe.. Trump mwenyewe kasema Netanyahu ana hasira. Hamas hawasameheki alafu hizo nchi hazitaki wakimbizi hao wa Gaza hahahaha
Pia hawawajui wazungu hawa waoshabikia hilo tamko...hilo tamko limetamkwa hadharani kwa sababu za kisiasa tu maana IDF imepanga kufumua juu chini ardhi ya Gaza.

Hawajui yanayofanywa gizani na nchi hizo hizo ambazo zotee viongozi wake walipanda jet kwenda Israel kuomboleza baada ya October 7,na walipofika Israel kila kiongozi aliahidi kila anachoweza matokeo yake ndo kama mnavyoiona gaza leo. Ikumbukwe mwanzoni walipga kura kuzuia maazimio kibao dhidi ya Israel.

Ili tujue wako serious wawaite mabalozi wa Israel nchini mwao wawapige biti tuone kama wako serious.... maana IDF wameruhusu maroli matano tu sawa na tone kwenye bahari
 
Mabosi wa Netanyau ni wakubwa kuliko hao mawaziri ndio maana leo jaji wa icc analia
Kibaraka wa masson
Leo umeongea ukiwa na free mind kbs. Na huo ndo ukweli....sasa Ritz ana rely kwenye hilo tamko la kisiasa tu amid mipango ya Israel kuanza kufumua mahandaki.
Wanajua operation ya sasa itakuwa mbaya sana hivyo wanatuliza tu upepo kwenye nchi zao kusije kutokea maandamano ya kuwaunga mkono wapalestina
 
Mkuu,

Nililongelea hili jambo la Israeli na mpango wao wa kuichukua mazima Gaza yote, nafikiri ni mwaka unusu sasa.

Huu ni mpango ambao hizo nchi za magharibi waufahamu uzuri na pia ziara ya raisi Donals Trump huko Saudia, UAE na Qatar hivi majuzi ni katika kukamilisha mpango huo.

Sasa mpango ni upi?

Mpango ni Israeli kuichukua Gaza yote kuwa ni sehemu yake "permanently" na ikiwa ni majivu, kisha UAE na Qatar ndo wataojenga upya sehemu hiyo kuwa ni mali ya US.

Kama mwakumbuka mwezi Februari raisi Trump akiongea kuhusu Gaza alisema kuwa Marekani yaenda kuichukua mazima Gaza na itakuwa mali yao, na ifuatayo ni moja ya nukuu alozungumza raisi Trump-

“The US will take over the Gaza Strip and we will do a job with it too. We’ll own it and be responsible for dismantling all of the dangerous unexploded bombs and other weapons on the site, level the site and get rid of the destroyed buildings, level it out. Create an economic development that will supply unlimited numbers of jobs and housing for the people of the area … do a real job, do something different"- mwisho wa kunukuu.

Hivyo, hata hizi nchi za magharibi wakija na kauli mbalimbali kwamba eti oooh, kwamba kuna nini na nini hiyo yote ni siasa la ulaghai suala ni kwamba wote hao ni wamoja na waufahamu mpango mzima wa Marekani kuigeuza Gaza kuwa Riviela hiyo kwa mujibu wa raisi Trump.

Sababu kubwa ya raisi Trump kufanya ziara katika nchi hizo tatu za kiarabu ni katika kuhitimisha mpango huohuo wa kuipa Israeli fursa ya kufanya wanavyotaka kuuchukua mazima ukanda huo wa Gaza ikiwa ni pamoja na jeshi la IDF kuingia Gaza, kuwatawanya wapalestina na kuwaweka kwenye makambi maalum yanolindwa na IDF pamoja na kuwahamisha kwa lazima wapalestina hao kwenda nchini Libya (yasemwa wapalestina wapatao milioni 1).

Hii operesheni ya Gideon Chariots ndo operesheni yenyewe ilopangwa kitambo na tarehe 5 mwezi huu Benjamini Netanyahu akatangaza kuwa ingeanza rasmi. Akizungumzia hili la OC waziri wa fedha Bezarel Smortich linukuliwa akisema -

" Within a year, Gaza will be entirely destroyed, civilians will be sent to the south to a humanitarian zone, and from there they will start to leave in great numbers to third countries- mwisho wa kunukuu.

Hivyo basi, ukiangalia ziara ya raisi Trump Saudia, na khasa Syria ambako alikutana na kiongozi wa serikali ilo chini ya Al Qaeda, ilikuwa ni katika mpango wa kuitaka Syria na Libya ziwachukue wapapetina wataokuwa wakiondoshwa kwa nguvu kutoka Gaza.

Televisheni ya NBC ilitaarifu juu la hili kupitia kichwa chake cha habari "Trump administration working on plan to move 1 million Palestinians to Libya.” na baadae wakalionglea kiufupi katika sehemu ifuatayo:

" The Trump administration is working on a plan to permanently relocate up to 1 million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, five people with knowledge of the effort told NBC News. ... Syria, with its new leadership following the ouster of Bashar al-Assad in December, is also under discussion as a possible location for resettling Palestinians currently in Gaza".

Kwahiyo, ni lazima ieleweke kuwa hawa jamaa waweza kuwa waongelea jambo fulani na kulipigia sana kelele lakini kiuhalisia jambo hilo si kama lilivyo bali ni kinyume chake.

Gaza imeharibiwa na wapalestina waliopo hapo wote watahamishwa kwa nguvu kutoka katika sehemu yao ya asili na kupelekwa katika sehemu zingine mpya kabisa hiyo ni "ethnic cleansing" na kuchukua ardhi iso yako (annex) na hayo ndo moono ya raisi Trump juu ya Gaza mpya baada ya vita vya kuchonga kati ya Hamas na Israeli.
Sahihi kabsa
 
Ji
NETANYAHU AJUI

tu ni nguvu ipi itayozuiya mpango wake lkn Ukweli upo ivi Israel inavyouwa viongozi wa Hamas ndio pia inavoivuta IRAN !!!!

endelea kusoma mchezo ulivo elimika zaid weka ufaamu wako sawa ujue mchezo ulivo !!!!

nawakumbusha Hamas pamoja na kusaidiwa na IRAN lkn Hamas sio SHIA ni SUNI!!!!!

Mtakumbuka Viongozi wa Hamas walimgomea IRAN kipindi cha Mzozo wa Kwanza unaanza pale SYRIA !!!!

IRAN ilitaka mchango wa Wajeda!!! kutoka Hamas waende kusaidia Serikali ya Assad kama vile walivofanya hezbollah

Hamas waligoma kwenda SYRIA kwanni waligoma !!!!

ipo ivi mgogolo wa SYRIA nchi ya QATAR ilikuwa inasaidia waasi kumuondosha Assad !!!!

Tukumbuke pia HAMAS inafadhiliwa pakubwa na Qatar !!!

uku IRAN ikiwasaidia kijesh zaid na kimafunzo kwa Wajeda wa Hamas kitendo kile kilimkasilisha sana Ayatollah!!!!

ivyo ndiomana nawaambia kila Israel inapowauwa Viongozi wa Hamas ndivo pia Ukombozi wa Gaza unakalibia !!!!

pale Yemen kafanilkiwa kuweka SHIA ivyo wanamtiii mojakwamoja Ayatollah na Hezbollah pia ni SHIA !!!

sasa Hamas nikama wanaondoshwa kwenye mfumo wa kutawala Gaza Hamas ndio Viongozi i wa GAZA makundi yote mengine yanatakiwa kuwa Chini ya Hamas kwa chochote kile,, !!!!

IRAN ni watu wenyekutumia fursa vizuri uku wakitamani kumiliki maeneo matakatifu yote ya mashariki ya kati !!!

kwaiyo apo Nguvu ya Hamas inapotea Viongozi wake muimu wanadhidi kufa mwisho tutakuja kusikia kundi jipya ndio Watawala wa Gaza !!!!

GAZA ikiwa chini ya Makundi ya Iran mjue sasa ndio Ukombozi wa iyo Ardhi utafatia alaka !¡!!!

kwasasa Israel inacheza ngoma ya IRAN uku yenyewe iyo Israel ikidhani inaenda kutwaa mazima Gaza !!!!

Utawala mpya chini ya Mashia Utapendwa alaka na Vijana wote Sababu utatoa vipigo vikubwa kiasi Israel itaanza kukata tamaa !!!!!

vipigo kutokea YEMEN vitakuwa vikubwa kuliko sasaivi !!!!

mwisho wa yote Israel itajutia kuwauwa Viongozi wa Hamas kwatamaa yake ya kuitwaa Gaza!!!

Israel nisawa na Fisi inaponyemelea mkono wa Binadamu akidhani utaanguka !!!

kwasasa Israel wao wananyemelea Gaza kwa kuivunja Hamas lkn kile kitotokea awatoamini macho yao..!!!!

kumbuka Iran ndio watu wenye Akili zaid apo Mashariki ya kati ukiacha propaganda za ISRAEL!!!!

nawakumbusha tena Marekani wakati wanaivunja mifupa ya IRAQ chini ya SADAM !!!

IRAN chini chini walikuwa wanaunda Serikali ya IRAQ Marekan kuja kushtuka kachelewa adi Sasa IRAN inanguvu kubwa za Ushawishi apo IRAQ tofaut kabisa na kipindi cha SADAM!!!!

Iran ukiwaekea Vikwazo wao wanaitumia iyo kama changamoto ya kutafutia majibu yake.!!!!

Vita vyasasa apo GAZA IRAN inatoka na Utawala mpya wenye kumtiii Ayatollah tu sio Qatar wala nchi nyengine yoyote Muda ndio mwalimu mtaelewa tu. ,,
Jidanganye! sahau kuhusu makundi ya Iran kuja kutawala Gaza. HAPO GAZA ISRAEL HAONDOKI ALISHASEMA HAWATARUHUSU OCTOBER 7 IJURUDIE. Unajua maana ya hiyo lugha?
 
Umetumia akili zako vizuri na ndoto yako si yakupuuzwa, tuombe umri.
 
Baada ya kumtekeza Netanyahu sasa wamemchoka 😅
Kwa hali ilipofikia bila kuzuiwa (Netapaka na genge lake)hawawezi kurudi nyuma. Aidha wang'olewe madarakani au wauwawe, kinyume na hapo vita haiwezikwisha.
(Ukatili waliokwisha kuufanya unawadhuru)
 
Si mlesema IDF akiingiza Majeshi Gaza atamalizwa vipi mbona mnalia.. hivi FaizaFoxy Allah took her or? maana Allah alimuangusha sana...

Mwacheni Netanyahu aiweke Nchi yake salama. Tanzania tu Rwanda alisumbua Kikwete akakaza na kuwafukuza Wanyarwanda kule mpakani... Vita sio Siasa.. upiigane wewe alafu wengine wanataka Ushindwe.. Trump mwenyewe kasema Netanyahu ana hasira. Hamas hawasameheki alafu hizo nchi hazitaki wakimbizi hao wa Gaza hahahaha
Wanawakimbia Hamas wanaenda kuuwa watoto hata wao wanakiri wewe muyahudi mweusi wa Nyashishi unapinga.

View: https://x.com/palhighlight/status/1924719723951915392?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi cha chakula katika Gaza halitoshi kabisa. Tunatoa wito kwa Serikali ya Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza na kuruhusu mara moja misaada ya kibinadamu kuingia Gaza. Hii lazima ijumuishe kushirikiana na Umoja wa Mataifa ili kuhakikisha kurejea kwa utoaji wa misaada kulingana na kanuni za kibinadamu. Tunatoa wito kwa Hamas kuwaachilia mara moja mateka waliosalia ambao wamewashikilia kikatili tangu tarehe 7 Oktoba 2023.

Hatua ya Serikali ya Israeli kunyima usaidizi muhimu wa kibinadamu kwa raia haikubaliki na inahatarisha ukiukaji wa Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu. Tunalaani lugha ya kuchukiza iliyotumiwa hivi majuzi na wajumbe wa Serikali ya Israel, tukitishia kwamba, katika kukata tamaa kwao katika uharibifu wa Gaza, raia wataanza kuhama. Uhamisho wa kudumu wa kulazimishwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
================
We strongly oppose the expansion of Israel’s military operations in Gaza. The level of human suffering in Gaza is intolerable. Yesterday’s announcement that Israel will allow a basic quantity of food into Gaza is wholly inadequate. We call on the Israeli Government to stop its military operations in Gaza and immediately allow humanitarian aid to enter Gaza. This must include engaging with the UN to ensure a return to delivery of aid in line with humanitarian principles. We call on Hamas to release immediately the remaining hostages they have so cruelly held since 7 October 2023.

The Israeli Government’s denial of essential humanitarian assistance to the civilian population is unacceptable and risks breaching International Humanitarian Law. We condemn the abhorrent language used recently by members of the Israeli Government, threatening that, in their despair at the destruction of Gaza, civilians will start to relocate. Permanent forced displacement is a breach of international humanitarian law.

SOURCE: 👇🏽

Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank. Source: GOV.UK Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank

Ile kesi ya Afrika Kusini iliishia wapi dogo? Huwa unakurupuka wanakuabisha. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom