Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Unajiasifia kuvaa kitenge? Umenishangaza. Hili komeo ndo litakuja kufunga huko kunakoWewe punguani huu uzi mzito kwako rudi kwenye mipasho.
Hahaha kama WAMSAI wetu tu, kila siku tunaambiwa wameondoka, kumbe waongo tu.Raia (wapalestina) hawajaondoka wameondoshwa/ waondoshwa kwa nguvu kwa mabomu na hofu ya kuuawa.
Kwanza mwambie Netanyahu azuiwe Kubutuliwa kwa Airport ya Ben Gurion ndio kisha nikuelewe kile Israel kasema !!Ji
Jidanganye! sahau kuhusu makundi ya Iran kuja kutawala Gaza. HAPO GAZA ISRAEL HAONDOKI ALISHASEMA HAWATARUHUSU OCTOBER 7 IJURUDIE. Unajua maana ya hiyo lugha?
Hemu tuwe serious kidogo! Unazani waliopanga na kutekeleza mauwaji ya Ismail hanniyeh ndani ya Iran( katikati ya Tehran) walitoka Israel moja kwa moja?Kwanza mwambie Netanyahu azuiwe Kubutuliwa kwa Airport ya Ben Gurion ndio kisha nikuelewe kile Israel kasema !!
Iyo Airport ndio kubwa kuliko zote ndani ya Israel lkn inabutuliwa kutokea YEMEN km2000 + sasa ndio itaweza zuiya mipango ya Iran!!!