UK, France & Canada leaders: We strongly oppose expansion of israel's military operations in gaza

UK, France & Canada leaders: We strongly oppose expansion of israel's military operations in gaza

NETANYAHU AJUI

tu ni nguvu ipi itayozuiya mpango wake lkn Ukweli upo ivi Israel inavyouwa viongozi wa Hamas ndio pia inavoivuta IRAN !!!!

endelea kusoma mchezo ulivo elimika zaid weka ufaamu wako sawa ujue mchezo ulivo !!!!

nawakumbusha Hamas pamoja na kusaidiwa na IRAN lkn Hamas sio SHIA ni SUNI!!!!!

Mtakumbuka Viongozi wa Hamas walimgomea IRAN kipindi cha Mzozo wa Kwanza unaanza pale SYRIA !!!!

IRAN ilitaka mchango wa Wajeda!!! kutoka Hamas waende kusaidia Serikali ya Assad kama vile walivofanya hezbollah

Hamas waligoma kwenda SYRIA kwanni waligoma !!!!

ipo ivi mgogolo wa SYRIA nchi ya QATAR ilikuwa inasaidia waasi kumuondosha Assad !!!!

Tukumbuke pia HAMAS inafadhiliwa pakubwa na Qatar !!!

uku IRAN ikiwasaidia kijesh zaid na kimafunzo kwa Wajeda wa Hamas kitendo kile kilimkasilisha sana Ayatollah!!!!

ivyo ndiomana nawaambia kila Israel inapowauwa Viongozi wa Hamas ndivo pia Ukombozi wa Gaza unakalibia !!!!

pale Yemen kafanilkiwa kuweka SHIA ivyo wanamtiii mojakwamoja Ayatollah na Hezbollah pia ni SHIA !!!

sasa Hamas nikama wanaondoshwa kwenye mfumo wa kutawala Gaza Hamas ndio Viongozi i wa GAZA makundi yote mengine yanatakiwa kuwa Chini ya Hamas kwa chochote kile,, !!!!

IRAN ni watu wenyekutumia fursa vizuri uku wakitamani kumiliki maeneo matakatifu yote ya mashariki ya kati !!!

kwaiyo apo Nguvu ya Hamas inapotea Viongozi wake muimu wanadhidi kufa mwisho tutakuja kusikia kundi jipya ndio Watawala wa Gaza !!!!

GAZA ikiwa chini ya Makundi ya Iran mjue sasa ndio Ukombozi wa iyo Ardhi utafatia alaka !¡!!!

kwasasa Israel inacheza ngoma ya IRAN uku yenyewe iyo Israel ikidhani inaenda kutwaa mazima Gaza !!!!

Utawala mpya chini ya Mashia Utapendwa alaka na Vijana wote Sababu utatoa vipigo vikubwa kiasi Israel itaanza kukata tamaa !!!!!

vipigo kutokea YEMEN vitakuwa vikubwa kuliko sasaivi !!!!

mwisho wa yote Israel itajutia kuwauwa Viongozi wa Hamas kwatamaa yake ya kuitwaa Gaza!!!

Israel nisawa na Fisi inaponyemelea mkono wa Binadamu akidhani utaanguka !!!

kwasasa Israel wao wananyemelea Gaza kwa kuivunja Hamas lkn kile kitotokea awatoamini macho yao..!!!!

kumbuka Iran ndio watu wenye Akili zaid apo Mashariki ya kati ukiacha propaganda za ISRAEL!!!!

nawakumbusha tena Marekani wakati wanaivunja mifupa ya IRAQ chini ya SADAM !!!

IRAN chini chini walikuwa wanaunda Serikali ya IRAQ Marekan kuja kushtuka kachelewa adi Sasa IRAN inanguvu kubwa za Ushawishi apo IRAQ tofaut kabisa na kipindi cha SADAM!!!!

Iran ukiwaekea Vikwazo wao wanaitumia iyo kama changamoto ya kutafutia majibu yake.!!!!

Vita vyasasa apo GAZA IRAN inatoka na Utawala mpya wenye kumtiii Ayatollah tu sio Qatar wala nchi nyengine yoyote Muda ndio mwalimu mtaelewa tu. ,,

MAYAHUDI PIGA MAARABU. PERIOD.
 
Ile kesi ya Afrika Kusini iliishia wapi dogo? Huwa unakurupuka wanakuabisha. Za kuambiwa changanya na zako.
yaani kuniita mimi dogo unadhani kuna tatizo?

Mimi umri wangu ni sawa na Baba yako siku ukinikuta kwa bi mkbwa wako napiga mswaki huku nimejifunga kitenge chake ndiyo utaniheshimu.
 
yaani kuniita mimi dogo unadhani kuna tatizo?

Mimi umri wangu ni sawa na Baba yako siku ukinikuta kwa bi mkbwa wako napiga mswaki huku nimejifunga kitenge chake ndiyo utaniheshimu.

Kufunga kitenge unafunga ni kawaida ya wanawake kufunga vitenge. Dogo unawaya waya sana. Ile kesi ilifungulia afrika kusini na mazwazwa wenzio ilifikia wapi? Ulisema Israel wote wanakamatwa. Netanyau amefungwa miaka mingapi?

Leo hii unawakimbilia hadi makafir wakusaidie matamko. Endelea kujifunga khanga ndo vazi linakufaa. Sasa uje na kitenge unikute nimefunga msuli.... Nakupelekea moto kinyama
 
Yes Mimi pia nazungumza facts kua na upande haimanishi mtu hawezi kuzungumza facts, may be ujawahi kunizingatia

Sijawahi kwa kweli huwa najizingatia mimi mwenyewe na jamaa mmoja anatoa sana madini humu anaitwa Echolima1 huyu huwa naye anatoa updates bila upendeleo kabisa.
 
Kufunga kitenge unafunga ni kawaida ya wanawake kufunga vitenge. Dogo unawaya waya sana. Ile kesi ilifungulia afrika kusini na mazwazwa wenzio ilifikia wapi? Ulisema Israel wote wanakamatwa. Netanyau amefungwa miaka mingapi?

Leo hii unawakimbilia hadi makafir wakusaidie matamko. Endelea kujifunga khanga ndo vazi linakufaa. Sasa uje na kitenge unikute nimefunga msuli.... Nakupelekea moto kinyama
Mtoto wa kiume unajiita komeo la chuma kwa hiyo hamna kufuri unafungua tu waletee😀
 
The leaders of Britain, Canada and France threatened sanctions against Israel if it does not stop a renewed military offensive in Gaza and lift aid restrictions, piling further pressure on Prime Minister Benjamin Netanyahu.
 
Back
Top Bottom