UK, France & Canada leaders: We strongly oppose expansion of israel's military operations in gaza

Hemu tuwe serious kidogo! Unazani waliopanga na kutekeleza mauwaji ya Ismail hanniyeh ndani ya Iran( katikati ya Tehran) walitoka Israel moja kwa moja?
Sasa wew mtu wa Handeni ukajue mipango yoteee miovu ya Iran dhidi ya Israel halafu mossad walioko ndani ya Iran wasijue!!!!!!!!!!?????
Yaaaaniiiii watu wajue leo Hassan Nasarah atakuwa sehemu fulani na kamanda wa Iran chumba fulani chini ya ardhi halafu wew mtu kutoka Mvomero u doubt kuhusu credibility ya vyombo vya Israel!!!!!
Kwaiyo mnajisifia kwa Ugaidi kutoka kuwa Taifa lenye nguvu za kijeshi adi kuvizia watu wamelala Usiku!!!!!

Je ule sio Ugaidi ??? Wangefanya Hamas mngeitaje tukio ilo ilo!!!!

haaaaaa kumbe Israel nao matendo yao ndio yamefikia uko !!!!

umeona wapi Iran ikifanya Ugaidi Iran anakuchapa popote ulipo kutokea Iran apo apo.. !!!

sasa Israel imefikia uko bado kuvaaa mabomu tu!!!!! Taifa teule linayoyoma linavizia Wachovu tu.!!
 
Kumbe ulitaka Israel ivamie Iran kumuuwa Ismail hanniyeh? Au ulitaka Iivamie Qatar huko aliyokuwa kaweka makazi ya kudumu? Mimi tangu uniambie Joshua Mollel (R.I.P) alikuwa mwanajeshi wa IDF nmekuwa nakutafakari sana.
Ngoja nikomee hapa kwa leo...
 
Wanaukumbi.

Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi cha chakula katika Gaza halitoshi kabisa. Tunatoa wito kwa Serikali ya Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza na kuruhusu mara moja misaada ya kibinadamu kuingia Gaza. Hii lazima ijumuishe kushirikiana na Umoja wa Mataifa ili kuhakikisha kurejea kwa utoaji wa misaada kulingana na kanuni za kibinadamu. Tunatoa wito kwa Hamas kuwaachilia mara moja mateka waliosalia ambao wamewashikilia kikatili tangu tarehe 7 Oktoba 2023.

Hatua ya Serikali ya Israeli kunyima usaidizi muhimu wa kibinadamu kwa raia haikubaliki na inahatarisha ukiukaji wa Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu. Tunalaani lugha ya kuchukiza iliyotumiwa hivi majuzi na wajumbe wa Serikali ya Israel, tukitishia kwamba, katika kukata tamaa kwao katika uharibifu wa Gaza, raia wataanza kuhama. Uhamisho wa kudumu wa kulazimishwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
================
We strongly oppose the expansion of Israel’s military operations in Gaza. The level of human suffering in Gaza is intolerable. Yesterday’s announcement that Israel will allow a basic quantity of food into Gaza is wholly inadequate. We call on the Israeli Government to stop its military operations in Gaza and immediately allow humanitarian aid to enter Gaza. This must include engaging with the UN to ensure a return to delivery of aid in line with humanitarian principles. We call on Hamas to release immediately the remaining hostages they have so cruelly held since 7 October 2023.

The Israeli Government’s denial of essential humanitarian assistance to the civilian population is unacceptable and risks breaching International Humanitarian Law. We condemn the abhorrent language used recently by members of the Israeli Government, threatening that, in their despair at the destruction of Gaza, civilians will start to relocate. Permanent forced displacement is a breach of international humanitarian law.

SOURCE: 👇🏽

Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank. Source: GOV.UK Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank
Hichi ndicho wapalestina walikuwa wanakitafuta kwa miaka mingi.
Haiwezekani uende nchi ya watu, uue, ubake na kuchukua mateka na kuwapeleka Gaza huku wapalestina wakishangilia wakisema Allahu Akbar.
Umeua, kubaka na kuchukua raia halafu unategemea utatendewa wema
 
Kwaiyo mnajisifia kwa Ugaidi kutoka kuwa Taifa lenye nguvu za kijeshi adi kuvizia watu wamelala Usiku!!!!!

Je ule sio Ugaidi ??? Wangefanya Hamas mngeitaje tukio ilo ilo!!!!

haaaaaa kumbe Israel nao matendo yao ndio yamefikia uko !!!!

umeona wapi Iran ikifanya Ugaidi Iran anakuchapa popote ulipo kutokea Iran apo apo.. !!!

sasa Israel imefikia uko bado kuvaaa mabomu tu!!!!! Taifa teule linayoyoma linavizia Wachovu tu.!!
Mliyatafuta October 27. Kipimo mlichotumia ndicho mnachopimiwa
Sina msaada nao wapestina, mwanakulitafuta mwanakulipata
 
Msanii wa Kipalestina Ibtisam Nassar ameuawa asubuhi ya leo pamoja na mwanawe wa kiume na watu 13 wa familia yake katika shambulio la Israel dhidi ya makazi yao katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat, katikati mwa Gaza.

Mumewe na wanawe wengine wawili walikuwa wameuawa hapo awali wakati wa mauaji ya kimbari yanayoendelea Israel.

View: https://x.com/qudsnen/status/1924721011330548217?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hivi mji wako utawala wako and unajiita upo kambi ya ukimbizi? appartment ya ghorofa saba.. hahaha uongo wa dunia hii unaachwa hadi umekuwa kama kweli..

You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people all the time So now we see the light
 
Wanaukumbi.

Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi cha chakula katika Gaza halitoshi kabisa. Tunatoa wito kwa Serikali ya Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza na kuruhusu mara moja misaada ya kibinadamu kuingia Gaza. Hii lazima ijumuishe kushirikiana na Umoja wa Mataifa ili kuhakikisha kurejea kwa utoaji wa misaada kulingana na kanuni za kibinadamu. Tunatoa wito kwa Hamas kuwaachilia mara moja mateka waliosalia ambao wamewashikilia kikatili tangu tarehe 7 Oktoba 2023.

Hatua ya Serikali ya Israeli kunyima usaidizi muhimu wa kibinadamu kwa raia haikubaliki na inahatarisha ukiukaji wa Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu. Tunalaani lugha ya kuchukiza iliyotumiwa hivi majuzi na wajumbe wa Serikali ya Israel, tukitishia kwamba, katika kukata tamaa kwao katika uharibifu wa Gaza, raia wataanza kuhama. Uhamisho wa kudumu wa kulazimishwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
================
We strongly oppose the expansion of Israel’s military operations in Gaza. The level of human suffering in Gaza is intolerable. Yesterday’s announcement that Israel will allow a basic quantity of food into Gaza is wholly inadequate. We call on the Israeli Government to stop its military operations in Gaza and immediately allow humanitarian aid to enter Gaza. This must include engaging with the UN to ensure a return to delivery of aid in line with humanitarian principles. We call on Hamas to release immediately the remaining hostages they have so cruelly held since 7 October 2023.

The Israeli Government’s denial of essential humanitarian assistance to the civilian population is unacceptable and risks breaching International Humanitarian Law. We condemn the abhorrent language used recently by members of the Israeli Government, threatening that, in their despair at the destruction of Gaza, civilians will start to relocate. Permanent forced displacement is a breach of international humanitarian law.

SOURCE: 👇🏽

Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank. Source: GOV.UK Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank

View: https://youtu.be/o7rU2ihqj_c?si=bBpWkZBtashc36_k
 
Kauli ya Netanyahu ya hivi punde:
....
Statement by Prime Minister Benjamin Netanyahu.
"By asking Israel to end a defensive war for our survival before Hamas terrorists on our border are destroyed and by demanding a Palestinian state, the leaders in London, Ottawa and Paris are offering a huge prize for the genocidal attack on Israel on October 7 while inviting more such atrocities.
The war began on October 7 when Palestinian terrorists stormed our borders, murdered 1,200 innocent people and abducted over 250 more innocents to the dungeons of Gaza.
Israel accepts President Trump's vision and urges all European leaders to do the same.
The war can end tomorrow if the remaining hostages are released, Hamas lays down its arms, its murderous leaders are exiled and Gaza is demilitarized. No nation can be expected to accept anything less and Israel certainly won't.
This is a war of civilization over barbarism. Israel will continue to defend itself by just means until total victory is achieved."
Dunia nzima inajua vita haikuanza Oktoba 7 bali Agosti 23 Israel ilipovamia mashamba ya Wana Gaza na kuwakanyaga kwa vifaru.
 
Hichi ndicho wapalestina walikuwa wanakitafuta kwa miaka mingi.
Haiwezekani uende nchi ya watu, uue, ubake na kuchukua mateka na kuwapeleka Gaza huku wapalestina wakishangilia wakisema Allahu Akbar.
Umeua, kubaka na kuchukua raia halafu unategemea utatendewa wema
Ni fala kama wewe ataongea unachoongea.
Kabla Hamas hawajalipiza Oktoba 7 tambua Kila mwaka watoto wasiopungua 200 wenye umri chini ya miaka 12 hukamatwa na IDF na kuzuiliwa katika magereza ya jeshi.
Kila mwaka Israel inafanya demolition ya makazi sio chini ya 20 ya Wapalestina.
Je ulitaka Palestina wakae tu kimya!??
 
Hawa mapunguani wengi hawajui hata wanachokshabikia huu mgogoro wa Israel na Palestina wameujulia JF ndiyo maana kila kiazi anakuambia vita vimeanza Oct 7
 
Ni fala kama wewe ataongea unachoongea.
Kabla Hamas hawajalipiza Oktoba 7 tambua Kila mwaka watoto wasiopungua 200 wenye umri chini ya miaka 12 hukamatwa na IDF na kuzuiliwa katika magereza ya jeshi.
Kila mwaka Israel inafanya demolition ya makazi sio chini ya 20 ya Wapalestina.
Je ulitaka Palestina wakae tu kimya!??
Huu uharo wako kawadanganye wale wafuasi wa Mudi wasiojua kusoma wala kuandika.
Huu muda wa kuwaita watu fala, ungeutumia kujifunza lugha ya kiarabu ili allah asikunyime mabikra 72 akhera
Hao wapelestina ni wavamizi Gaza na hawapaswi kuishi wala kuonewa huruma.
Kama ilivyofanyika Zanzibar revolution kuwafukuza wavaa kobazi ndivyo inatakiwa ifanye kuwatimua wapelestina wote waende kwao walikotoka.
Ukiona unawaonea huruma wavamizi wa kipalestina, nenda Gaza ukajiunge na magaidi wa wakipalestina ukatofyolewe ukapewe mabikra 72 na allah
 
Mkate umekuwa ndoto kwa watoto wa Gaza. Usafirishaji wa unga wa lori 65 ulifikia wachache tu na hautadumu siku mbili. Mtoto mmoja, akiwa ameshika vifuko viwili vidogo vya mkate kama hazina, anasihi ulimwengu: acheni mauaji na aruhusu misaada ili
Mkate umekuwa ndoto kwa watoto wa Gaza. Usafirishaji wa unga wa lori 65 ulifikia wachache tu na hautadumu siku mbili. Mtoto mmoja, akiwa ameshika vifuko viwili vidogo vya mkate kama hazina, anasihi ulimwengu: acheni mauaji na aruhusu misaada ili watu waishi!

View: https://x.com/suppressednws/status/1925806990594277517?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

watu waishi!

View: https://x.com/suppressednws/status/1925806990594277517?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Unaenda Israel, unaua raia, unabaka na kuwachukua mateka unaenda nao Gaza. Mpaka sasa umeshikilia mateka na hutaki kuwaachia.
Kwa kuwa wapelestina wanawaona watu hawajui kusoma na kuandika kama mtume, wanataka kuwaaminisha watu kuwa waliofanya hivyo ni Hamas na siyo wapalestina kwahiyo wapalestina waendelee kula bata huku Israel ikipigana na Hamas
Houthi na Lebanon badala waambie Hamas iwaachie mateka wao wanazidi kurusha makombora kwenda Israel na kuwaaminisha dunia kuwa Israel wabaya na wao ni wema kama walivyofanya tukio la october 7
Hamas ni wapalestina na wanatoka Gaza, kwa tukio la October 7 mpaka walimuua mtanzania mwenzangu. Hicho ndicho wanachokivuna
 
Huu uharo wako kawadanganye wale wafuasi wa Mudi wasiojua kusoma wala kuandika.
Huu muda wa kuwaita watu fala, ungeutumia kujifunza lugha ya kiarabu ili allah asikunyime mabikra 72 akhera
Hao wapelestina ni wavamizi Gaza na hawapaswi kuishi wala kuonewa huruma.
Kama ilivyofanyika Zanzibar revolution kuwafukuza wavaa kobazi ndivyo inatakiwa ifanye kuwatimua wapelestina wote waende kwao walikotoka.
Ukiona unawaonea huruma wavamizi wa kipalestina, nenda Gaza ukajiunge na magaidi wa wakipalestina ukatofyolewe ukapewe mabikra 72 na allah
Still wewe ni fala kama mafala wengine ngoja nikuoneshe kwanini wewe fala.
 
Huu uharo wako kawadanganye wale wafuasi wa Mudi wasiojua kusoma wala kuandika.
Huu muda wa kuwaita watu fala, ungeutumia kujifunza lugha ya kiarabu ili allah asikunyime mabikra 72 akhera
Hao wapelestina ni wavamizi Gaza na hawapaswi kuishi wala kuonewa huruma.
Kama ilivyofanyika Zanzibar revolution kuwafukuza wavaa kobazi ndivyo inatakiwa ifanye kuwatimua wapelestina wote waende kwao walikotoka.
Ukiona unawaonea huruma wavamizi wa kipalestina, nenda Gaza ukajiunge na magaidi wa wakipalestina ukatofyolewe ukapewe mabikra 72 na allah
Usijiite tu fala jiite MSENGE kabisa.
Naanza na ushahidi wa watoto kunyanyaswa katika jela za ISRAEL.
Halafu pia watukane na UNICEF.
Screenshot_20250524-123949.png
Screenshot_20250524-123957.png
 
Huu uharo wako kawadanganye wale wafuasi wa Mudi wasiojua kusoma wala kuandika.
Huu muda wa kuwaita watu fala, ungeutumia kujifunza lugha ya kiarabu ili allah asikunyime mabikra 72 akhera
Hao wapelestina ni wavamizi Gaza na hawapaswi kuishi wala kuonewa huruma.
Kama ilivyofanyika Zanzibar revolution kuwafukuza wavaa kobazi ndivyo inatakiwa ifanye kuwatimua wapelestina wote waende kwao walikotoka.
Ukiona unawaonea huruma wavamizi wa kipalestina, nenda Gaza ukajiunge na magaidi wa wakipalestina ukatofyolewe ukapewe mabikra 72 na allah
Ulivyokua mpumbavu sasa nani kakwambia Palestina pale sio kwake!?
Miaka tangu ya zamani waarabu na wayahudi wamekua wakiishi pamoja.
Unaweza ukanitajia nyumbani kwa wapalestina wapi kama sio hapo!?
Still naongea na jitu SENGE.
Middle east ni ya waarabu na wayahudi.Waliokuja kuharibu amani ya mwarabu na myahudi kuishi pamoja ni MZAYUNI ambaye alijidai ni myahudi anayetaka kuanzisha taifa la Israel.
Sema wewe ni msenge huna utakaloelewa.
 
Wanaukumbi.

Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi cha chakula katika Gaza halitoshi kabisa. Tunatoa wito kwa Serikali ya Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza na kuruhusu mara moja misaada ya kibinadamu kuingia Gaza. Hii lazima ijumuishe kushirikiana na Umoja wa Mataifa ili kuhakikisha kurejea kwa utoaji wa misaada kulingana na kanuni za kibinadamu. Tunatoa wito kwa Hamas kuwaachilia mara moja mateka waliosalia ambao wamewashikilia kikatili tangu tarehe 7 Oktoba 2023.

Hatua ya Serikali ya Israeli kunyima usaidizi muhimu wa kibinadamu kwa raia haikubaliki na inahatarisha ukiukaji wa Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu. Tunalaani lugha ya kuchukiza iliyotumiwa hivi majuzi na wajumbe wa Serikali ya Israel, tukitishia kwamba, katika kukata tamaa kwao katika uharibifu wa Gaza, raia wataanza kuhama. Uhamisho wa kudumu wa kulazimishwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
================
We strongly oppose the expansion of Israel’s military operations in Gaza. The level of human suffering in Gaza is intolerable. Yesterday’s announcement that Israel will allow a basic quantity of food into Gaza is wholly inadequate. We call on the Israeli Government to stop its military operations in Gaza and immediately allow humanitarian aid to enter Gaza. This must include engaging with the UN to ensure a return to delivery of aid in line with humanitarian principles. We call on Hamas to release immediately the remaining hostages they have so cruelly held since 7 October 2023.

The Israeli Government’s denial of essential humanitarian assistance to the civilian population is unacceptable and risks breaching International Humanitarian Law. We condemn the abhorrent language used recently by members of the Israeli Government, threatening that, in their despair at the destruction of Gaza, civilians will start to relocate. Permanent forced displacement is a breach of international humanitarian law.

SOURCE: 👇🏽

Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank. Source: GOV.UK Joint statement from the leaders of the United Kingdom, France and Canada on the situation in Gaza and the West Bank
Huu ni upuuzi wa hali ya juu unao onyweshwa na nchi hizo tatu kinachonishangaza zaidi hawawezi hata kuona hata tu kuongelea madhira wanayoyapata mateka wanaoshikiliwa kwenye mahandaki ya magaidi huko Gaza.

Kama wao Uingereza,Ufransa na Kanada hawatambui kuwa vita vinavyoendelea leo hii huko Gaza na mazao ya Oct 07,2023 kwa Israel kutaka mateka wake waachiliwe huru na Hamas kukataa na kuendelea kuwashikiria mateka hao pamoja na kung’ang’ania maiti walizoziteka nyara na hawatakai kuzirudisha ili zikazikwe na wapendwa hao. Hii inaonyesha ni jinsi gani Hamas walivyo wahuni na vibaka wasio na Ubinadami kabisa.

Ina sikitisha sana kuona Magaidi wa Hamas wanawasifia Uingereza,Ufaransa na Kanada kwa Ujinga na Upumbavu waliouonyesha kwa kuwaunga mkono magaidi walifanya unyama wa kutisha Oct 07,2023.
 
Ulivyokua mpumbavu sasa nani kakwambia Palestina pale sio kwake!?
Miaka tangu ya zamani waarabu na wayahudi wamekua wakiishi pamoja.
Unaweza ukanitajia nyumbani kwa wapalestina wapi kama sio hapo!?
Still naongea na jitu SENGE.
Middle east ni ya waarabu na wayahudi.Waliokuja kuharibu amani ya mwarabu na myahudi kuishi pamoja ni MZAYUNI ambaye alijidai ni myahudi anayetaka kuanzisha taifa la Israel.
Sema wewe ni msenge huna utakaloelewa.
Msenge ni Allah aliyeshindwa kumfundisha Mtume Mohamad kujua kusoma na kuandika.
Gaza siyo ya wapalestina na wanatakiwa wasafishwe hata wote wauwe wote
 
Back
Top Bottom