Watu sio kosa lenu kwa sababu hamjui nini athari za nyuklia kwa mantiki hiyo mnaweza mkaongea tu hivyo mkiwa kwenye vijiwe vya kahawa.
Kwa akili zenu fupi mnafikiri vita vya nyuklia vinakuwa na mshindi na wala hamjui kwamba hata Uingereza naye anayo hiyo nyuklia tena mbaya zaidi.
Endeleeni kupiga porojo kwenye vijiwe vya tangawizi nyie vijana.