Matunda _Kuniga
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 231
- 178
Mseven kafanywa nini ?Kenyata kafanywa nini?Tanzania ni nchi huru tusiikanyage katiba kisa misaada kasome Katiba ya JMT ibara ya 28 kifungu cha 39 (1)a -f na 40 na sheria ya Jeshi la polisi ndipo ushangilie.Mungu aepushe. Zimbabwe imhusu Mafulugi na genge lake la wezi wa kura.
Baby cry....Transparent Investigation
Hapa mutu anakwenda kuvuliwa nguo hadharani....Dunia ni kijiji MMEKWISHAA
Spana za Lissu zimeisha nguvu?Ngoja spana zianze ndo utajua uchaguzi ulikwa wa haki ama la!
Mwandishi ni mmoja?Hizi statement Kama zinafanana
Aibu sana kwa Pombe.
Ana utoto mwingi sana
Viongozi wa dini wanaogopa sana kufa ijapokuwa kila siku wanahubiri kufa ni faida na kuishi ni neemapre-filled ballot boxes
Nitawashangaa sana viongozi wa dini wakishiriki kalamu ya kuhalalisha UFOYOMONDO uliofanyika
Wizi wowote huwa haufurahiwi duniani kote. Uhuru gani unao semaHivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
what is wrong is wrong no matter how many people see that is right. Hata kama dunia nzima itasema nibaki peke yangu,ukweli utabaki milele kuna feki zimeingizwapre-filled ballot boxes
Nitawashangaa sana viongozi wa dini wakishiriki kalamu ya kuhalalisha UFOYOMONDO uliofanyika
Tunawachagua wenyewe lakini wanatugeuka baadaye.Waafrika bila Wazungu wataangamizwa na viongozi wao hadi wataisha. Viongozi wa Kiafrika akili ndogo na makatili wa kutisha wa watu wao wenyewe.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Vishabiki maandazi vya Corona mmehamia huku? ππππMzungu Oyee
Mmechemka Corona mmekimbilia huku, dawa na ile ile, tunawanyoosha tuwhat is wrong is wrong no matter how many people see that is right. Hata kama dunia nzima itasema nibaki peke yangu,ukweli utabaki milele kuna feki zimeingizwa
Hata mfanyaje ndo mshashindwa, mlitamba saana hapa jf eti mwaka huu ..., aibu imewepata. Na endeleeni kuwajaza ujinga hao wanasiasa wenu uchwara waendelee kufanya sanaa, sisi wananchi tunawacheki tu. Bunge wataliona kwenye TV tu.Transparent Investigation
Hapa mutu anakwenda kuvuliwa nguo hadharani....Dunia ni kijiji MMEKWISHAA
Ndo maana mliambiwa huyu ni rais wa wanyonge hamkumuelewa. Anataka siku moja matonya akanunue kiwanja masaki. Sie wazee wa kunyooka tunamuelewa.Kuna watu walinunua viwanja milioni 30 wameshindwa kujenga. Wakitaka kuviuza bei inachezea milioni 8. Nadhani mwakani bei itachezea milioni 1. Huyu jiwe Mungu anamuona.
Mseven kafanywa nini ?Kenyata kafanywa nini?Tanzania ni nchi huru tusiikanyage katiba kisa misaada kasome Katiba ya JMT ibara ya 28 kifungu cha 39 (1)a -f na 40 na sheria ya Jeshi la polisi ndipo ushangilie...
Chezea wabongo weye..! Pale ambapo mbongo katapeli mzungu.Ameingizwa mkenge na Lisu na genge lake.
Na ndicho kilichowaua. Mbongo na mzungu wapi na wapi..!Beberu Amsterdam adumu milele
Unampiga virungu kwa kuandamana?Hamna kitu hapo, nyie tokeni kesho mtakula virungu, mabwana zenu watatoa statement nyingine ila ujinga ndio utakuwa umeishia hapo.