Matunda _Kuniga
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 231
- 178
Mseven kafanywa nini ?Kenyata kafanywa nini?Tanzania ni nchi huru tusiikanyage katiba kisa misaada kasome Katiba ya JMT ibara ya 28 kifungu cha 39 (1)a -f na 40 na sheria ya Jeshi la polisi ndipo ushangilie.Mungu aepushe. Zimbabwe imhusu Mafulugi na genge lake la wezi wa kura.
Wanachofanya hao wanaoratibu hizi harakati kumuhusu Amir Jeshi na Rais wa JMT ni UHAINI adhabu yake ni kifo sasa maandamane kesi ikudondokee.
Ninavyojua CHADEMA hawajaomba kibali na hata kama wangeomba wasingepewa.
Demokrasia sio lazima akina Mbowe na jopo lake washinde.