Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

mswahili mapenzi yako kwa tenga yameanza lini...au unataka kuikarabati hoja yako..thaat is what we call DEVIDE AND RULE...
 
I Tell U Always Mswahili Anatumiwa ...sasa Angalieni Yeye Kashindwa Hoja Anaanza Kumshambulia Mjj ,,..sio Fresh...that Is A Very Strong Allegations!!!!!!!!!!!!! Omba Radhi...
 
Mzee, mimi mwenyewe nimetukanwa na mswahili sana tu kuna kipindi nilitaka na mimi kumkamia lakini nikajirudi nakasema..you can not argue with a fool because people might not note the difference"
huwezi kusema allegation mswahili aliyemtupia mjj ni dongo la kawaida,na ghafla unaingia kumtetea '
lakini hata hivyo kwa heshima uliyonayo najua huwezi kushabikia allegation kama hiyo kwa mtu yoyote,mzee wewe ni kama greese unaingia ulainisha vyuma visije vikasagana..thanks
 
Sijui nani atashinda hii lakini najua kuwa panapo uhai by december hii itakuwa moja kati ya THREADS of the year
 
Jamani wana forum,
Naona hili suala la mambo ya ukabila linataka kutupeteka pabaya sasa.

Ili mjadala huu ulete maana, issues ambazo ziko too personal, na ambazo mchangiaji ama hataki kwa makusudi, au la hana info za kusupport/justify hizo allegetion zake alizopost hapa foramuni naomba tuziache.

Mimi binafsi nina ipenda sana JF, na nawaheshimu watu wote wanaokata issue hapa, na Watu kama mimi wenye mapenzi na JF wapo wengi sana.
Sasa msitukatishe tamaa, kwa kuifanya JF kuwa sehemu ya kupiga soga, kama zilivyo forum nyingi tu tunazozijua (sina haja ya kuzitaja hapa).

Ndugu Mswahili,
Kwa heshima na taadhima, tunaomba ufafanuzi kuhusu suala la MKJJ na madawa ya kulevya, au la MTAKE RADHI MKJJ NA WANA JF KWA UJUMLA.
Napenda kutoa hoja.
 
Hakuna mtu yeyote ambaye alikwenda very serious na post ya mswahili kwamba MKJJ ni muuza unga msianze kupoteza mwelekeo. Mimi sikuamini maneno hayo na watu wote makini hawakuamini maneno hayo. Kama mliokuwa mnasema hakuna ukabila mmepata sababu ya kuvuruga hii mada ni sawa tu, kwa sababu Mswahili amekua mvumilivu mara nyingi tu na amesema nyie endeleeni kumtukana, sasa mzaha moja kwa MKJJ basi imekuwa nongwa. Hebu wale wote wanaoamini MKJJ ni muuza unga waweke hoja zao hapa tuone. Na kama hivyo ndivyo mbona hamsemi wakati ana wapa ukweli kuhusu ukabila uliokithiri pale TRA? Kwa nini hamtaki kujibu hoja zilizoulizwa.

Wote sasa mmeibuka kwa kupata kisingizio au siyo? Turudi kwenye mada na mjibu maswali yaliyoulizwa ili tuhamie kwenye Ikulu au foreign n.k. naona sasa tumekuwa wengi mlikuwa wapi? Mnamuoneya aibu nani?

Acheni ghadhabu ambazo hazina msingi. Issue ambazo Mswahili ame-raise ni valid na budi tuzijadili na kutafuta ufumbuzi wake -Msibadili hii mada kumjadili Mswahili yeye siyo issue, ukweli utabakia pale pale na hilo ndio la msingi kulijadili. HAKUNA ALIYETUMWA HAPA NA YULE AMBAYE ANASEMA AMETUMWA YEYE KATUMWA NA NANI? mkuki kwa nguruwe binadamu uchungu.


Mswahili

Mwaga data hapa tuendelee kupata ukweli wa hawa wanaoendeleza ukabila pale TRA na sehemu zilizobakia. Achana na malumbano ya kibinafsi. Tujadili mambo ya hii thread sio mambo binafsi.

PM, MKJJ na wengineo mlioibuka jibuni hoja tuendelee.
 
Endapo Mswahili atathibitisha kuwa mimi nahusika na uuzaji wa madawa wa kulevya nitaifunga KLH News na kujitoa humu. Madai hayo ni mazito na kuna watu wanaochukulia kwa urahisi kama vile madai ya ukabila yanavyotolewa na watu kuyakumbatia. Mbona mswahili hajaniuliza mimi kuomba watu wachangie msiba wa vijana a Detroit waliouawa, au mama Rupia kule Boston? Mbona hajawaambia kuwa mara utata wa kile kilichompeleka Tobi Brazil niliweka matangazo kutaka maelezo ya kutosha na kutaka radhi.

Hivi mimi najua ninyi mnaosoma mnafanya shughuli gani? Hivi najua nani hapa ni mhalifu au siyo mhalifu. Ninaposema hoja hujibiwa kwa hoja nina maana hiyo. Lakini ad hominem attacks ndiyo mbinu ya kuzima hoja! Mswahili wala sihitaji radhi yako na wale wanaokuunga mkono waendelee kukuunga mkono. Break the principle and principle will find a way of breaking you!! Umesema nimenufaika na ukabila nikakuuliza kwani mimi kabila gani, ukasema utanitumia kwenye PM leo ni wiki nzima hujafanya hivyo.. unakuja na madai ya mimi ni muuza madawa...! Na mtu mwingine akaja akasema Mimi sina kazi nakesha humu!!

Watu wanataka tupuuzie madai ya Mswahili dhidi yangu. Why, kwa sababu wanakubaliana nayo na wanaamini, kwani Mswahili akitoa "fact" hakuna mwenye haki ya kuuliza au kuhoji!! Nimewaambia, ninyi mnaunga mkono Mswahili na mnaamini kuwa mimi nimuuza madawa come straight and say it! Ati watu wanasema Mswahili amefanya mzaha! really? Ni wapi yeye amesema ni mzaha!! kasema "tunajua" na ina maana ana ushahidi! Mbona kama ni mzaha hajajitokeza hadi sasa kusema kuwa huo ni mzaha! Of course, kwa vile hana ushahidi na madai hayo hayana msingi of course hana budi kusema ni "mzaha"!

Wale ambao mmethubutu kumhoji Mswahili juu ya jambo hili nashukuru kwani hamburuzwi!!
 
Jamani aombwe kwanza radhi Mzeee Kulikoni, na baadaye Mswahili kwa matusii yote waliyorushiwa kwanza,

Mswahili hakusema Mzee MMJ kuwa ni muuuza unga, hiyo ni sababu tu inataka kutumiwa kumgeuza Mswahili aanze kufuata bendera, Mzeee MMJ alipokuwa upande wa CCM alitukanwa weeee sasa toka aonekane anakubalika na huo upande, basi sasa mambo yamegeuka,

Utoto huuu, mtu mmoja tu anaaka kutufanya wote humu tukubali mawazo yake, unajua nimeufuatilia kwa makini mjadala wa Zitto kujitoa, ndio utaona ukweli ulipo, mana huyo bwana mwenye majina mengi na anyeogopwa humu hana la kusema sana kwa hiyo na wayangu nao wamenyamaza kimyaaa,

Mswahili siye aliyesema juu ya shamba kuonekana kuwa la mahindi, kumbe ni ....., Mzeee Mswahili kuna tunaokuelewa msimamo wako na hoja zako na ni valid, asikutishe mtu yoyote hapa weka vitu mwanangu, kama ni radhi waanze wao kuomba! Asikubabaishe mtu hapa!

Tena ninashukuru kwamba hii ishu imetokea at the right time, sasa watu wazima tuamue kama tunataka siasa za namna gani, za personal au za kweli, Mzeee MMMJ wewe unadai umedhalilishwa, Mzeee Kulikoni amedhalilishwa, Mswahili amedhalilishwa, na mimi pia nimedhalilishwa kwa kupewa baba ambaye hanihusu, hii yote ni katika siasa hizi za personal ambazo mimi nimekuwa mstari wa mbele kuzipiga vita kuwa zisipewe nafasi humu, sasa watu wazima tuamue tuendeleee na hizi siasa za personal au?
 
Hakuna mtu yeyote ambaye alikwenda very serious na post ya mswahili kwamba MKJJ ni muuza unga msianze kupoteza mwelekeo. Mimi sikuamini maneno hayo na watu wote makini hawakuamini maneno hayo. Kama mliokuwa mnasema hakuna ukabila mmepata sababu ya kuvuruga hii mada ni sawa tu, kwa sababu Mswahili amekua mvumilivu mara nyingi tu na amesema nyie endeleeni kumtukana, sasa mzaha moja kwa MKJJ basi imekuwa nongwa. Hebu wale wote wanaoamini MKJJ ni muuza unga waweke hoja zao hapa tuone. Na kama hivyo ndivyo mbona hamsemi wakati ana wapa ukweli kuhusu ukabila uliokithiri pale TRA? Kwa nini hamtaki kujibu hoja zilizoulizwa.
PM, MKJJ na wengineo mlioibuka jibuni hoja tuendelee.

Kwanini usiamini maneno ya Mswahili kuwa mimi ni muuza Unga wakati anachosea yeye ni "fact"!? Unajuaje kuwa mimi si muuza unga, labda Mswahili amewaambia ukweli!! Kwa vile yeye ni bingwa wa ushahidi basi alete ushahidi huo ama sivyo kama ana kitu chochote kinachofanana na kujiheshimu akanushe maneno hayo unqualified!!
 
Jamani aombwe kwanza radhi Mzeee Kulikoni, na baadaye Mswahili kwa matusii yote waliyorushiwa kwanza,

Mswahili hakusema Mzee MMJ kuwa ni muuuza unga, hiyo ni sababu tu inataka kutumiwa kumgeuza Mswahili aanze kufuata bendera, Mzeee MMJ alipokuwa upande wa CCM alitukanwa weeee sasa toka aonekane anakubalika na huo upande, basi sasa mambo yamegeuka,

Utoto huuu, mtu mmoja tu anaaka kutufanya wote humu tukubali mawazo yake, unajua nimeufuatilia kwa makini mjadala wa Zitto kujitoa, ndio utaona ukweli ulipo, mana huyo bwana mwenye majina mengi na anyeogopwa humu hana la kusema sana kwa hiyo na wayangu nao wamenyamaza kimyaaa,

Mswahili siye aliyesema juu ya shamba kuonekana kuwa la mahindi, kumbe ni ....., Mzeee Mswahili kuna tunaokuelewa msimamo wako na hoja zako na ni valid, asikutishe mtu yoyote hapa weka vitu mwanangu, kama ni radhi waanze wao kuomba!


Mzee ES, nakupa changamoto, tafuta postings zangu zote zote na unioneshe mahali popote ambapo nimewahi kumtukana mtu, kumsingizia mtu, au kumshambuliamtu badala ya hoja!! ukinionesha nitaomba radhi!! Na pia unioneshe ni wapi nimeshambulia nafsi ya Mswahili hadi nikampa sababu ya yeye kunishambulia!!

Sasa, mimi niko kama semi-public figure... hivyo people can make me the subject if they want to. Kama Mswahili anataka kuzungumzia mimi kuchangisha fedha kwenye msiba wa Tobi, Walter na Vonie, au wa Mama Rupia aanzishe mada tutazungumza! Kama watu wanataka kuzungumza kuhusu udhaifu wa KLH News kama "kiredio cha uvunguni" that is fine anzisheni mada!! Kama wanataka kujadili mimi kujihusisha na mtandao wa wauzaji wa madawa ya kulevya, that is fine.. mwambieni awaletee ushahidi!!

Mimi siyo mara ya kwanza watu kunitukana au kunishambulia, nakumbuka vyema nilivyotukanwa baada ya kusema Mzee Malecela Ajiuzulu! Lakini sikujibu tusi kwa tusi!!

Hoja hujibiwa kwa hoja!!
 
Jamani haya mambo gani tena?...
Ebu nitukaneni mimi kama muuza unga kama itanikosesha usingizi. Mzee Mwanakijiji yaani hili ndilo linakupa sababu ya kubadilisha mada nzima?.. What a joke... inaonyesha kuwa hata nilipoongezea kuhusu picha ya shamba ume mind vilevile wakati kila msomaji humu anajua ni Utani.
As a fact kuna mengi mliyoyasema huko nyuma kuhusu Mswahili mimi niliyachukulia kama utani kwa sababu kuna wakti alikuwa akihusisha issue nyingine nje ya TRA.
Angalia basi mswahili alichokuwa akisema nyie tukaneni tu!..hakuna hata mmoja wetu aliyewauliza kwa nini mnamtukana. Tulijua ni utani ndani ya hoja kumbeeee!...
Damn!... hata hivyo hii issue nimesikia inaanza kutazamwa kwa hiyo nyie wote ndani ya TRA...jifungeni mikanda, siku yenu ipo karibu sana.
 
MKJJ

Mimi nipo hapa kwenye hii JF kusoma na kutafakari nini kinasemwa na wakati gani, na facts gani zinatumika kuweza kufahamu hilo. Unakumbuka huu mjadala wa ukabila ulipoanza nilikuwa na mawazo kwamba hakuna ukabila lakini jinsi mada ilivyoendelea na kuweza kupata information kutoka source mbalimbali BINAFSI KUTOKA BONGO niliweza kubadili mawazo yangu.

Sikalii hapa kwa ushabiki tu, naangalia kila linalosemwa hapa kwa mapana yake wala usiwe na wasi wasi mimi nakuhakikishia hilo ndio watu husema off the hook. I can gurantee you Mswahili hakuwa na maana ya kusema wewe kweli ni muuza unga. Angalia hata Mkandara akawa anaongezea jokes kusema lile shamba kumbe ndoo biashara yenyewe. COOL DOWN BROTHER.
 
Mzeee MMMJ,

Ninasema hivi, hili tatizo litatuliwe kwa ujumla, kama wewe umesingiziwa basi kuna wengi tumesingiziwa, sasa hatuwezi kulitatua hili tatizo kwako tu, ila litatuliwe kwa wote,

Matusi yako ya aina nyingi sana, na wewe umeyatuakana huko nyuma na kuna mahali ulisema kuwa uliamua kuacha, ninasema Mswahili asitishwe, kama Murangira aliyenisingizia kuhusu baba yangu hajatishwa, na ninasubiri what Admin na moderators wake watakachosema kuhusu hii ishu!

And you are damn right hoja ni lazima ijibiwe kwa hoja, na hii ianze na upande wenuu!
 
MKJJ, Mzee Es

Please can you cool down and lets take a minute on this issue PLEASE. MSWAHILI AKIWA ON LINE NITAONGEA NAYE.
 
it is funny that watu wanajua kuwa Mswahili alikuwa anfanya mzaha!! how would you know that? yeye mwenyewe hajasema hivyo na ukiangalia maneno yake utagundua hakusema kama utani, kwani hata mimi utani naujua!!
 
Mzeee Dua,

Hiii issue ni bigger than Mswahili na wote tumechoka na huu utoto, kwa nini wengine waruhusiwe kutukana wengine personal na wengine wasiruhusiwe, halafu sio wengi ni mtu mmoja tu anayefahamika hapa,

Mimi ningekuomba kwamba kama una mpanmgo wa kuonngea na Mswahili basi uongeee na anayejiita Murangira pia, kwa interest ya forum otherwise tuendelee na hizi za personal, ila hatukimbiii wala hatubadili msimamo kwa kumuogopa mtu hapa!

Hata kama anaogopwa humu na wenye hii forum!
 
Mzee Mwanakijiji,

Nafikiri hapa ndipo tunapokosana kuelewa vitu.
Mimi huwa naamini Utani ni pale mtu anaposema kitu kisichokuwa cha kweli ktk hali isiyolingana na mhusika.
Kwa hiyo mimi naweza kabisa kuelewa utani ni upi bila hata wewe kusema zaidi lakini hauwezi kuwa utani ikiwa kweli wewe Mzee Mwanakijiji ni muuza unga ama kweli una maslahi toka TRA....
Litaniuma tu kwa sababu ukweli umekuwa exposed. otherwise kama mimi sio mtu huyo wala sina maslahi nalo.. haiwezi kunikosesha usingizi kabisa. Je, Unakumbuka enzi za bcstimes kuna watu walisema watanishtaki sijui ktk serikali kwa kuniita mimi Al - Qaeda?.. It never bother me na niliwambia bring it on!
 
Mzee Bob,

Kumbuka Mswahili naye, amerushiwa maneno mengi ya uzushi kuanzia:-

(1). Anatumwa, sasa mtu mzima mwenye akili timamu aanakujaje hapa kwa kutumwa? au kwa sababu hakubaliani na, maoni ya wakubwa hapa? Nani mwenye ushahidi kuwa Mswahili anatumwa? anatumwa na nani? ina maana Mswahili hana akili nzuri ya kufikiri mapak atumwe na wengine? Na huyo aliyeyasema anatumwa na nani au yeye ana akili sana hahitaki kutumwa? ila wengine hapa ndio wanaotumwa?

(2). Kichwamaji, yaaani kwa sababu tu ya maoni yake kutokubaliana na huyu mkubwa basi amekuwa kichwamaji? na huyu mkubwa kichwa chake kimejaa nini au akili tupu? Hiyo medical examination ilifanywa na nanni kuhakikisha kichwa cha Mswahili ni kimejaaa maji kiasi kwamba hawezi kufikiria kama huyu mkubwa mwenye kichwa kilichojaaa akili?

(3). Dishwasher, sasa toka lini maoni ya mwananchi humu yaka-describe kazi yake, au yakatokana na kazi yake? na kama ni kazi yake kuna ubaya gani mpaka aaambiwe kuwa ndio sababu ya mawazo yake? Je huyu mkubwa na wenziwe, wao wanafanya kazi gani mpaka mawazo yao ni tofauti na ya dishwasher? je kuna ushahidi gani kuwa yeye ni dishwasher?

Huuu mkuki mbona ni kwa nguruwe tu kwa binadamu unakuwa mchungu? na beside sidhani kama Mswahili amesema anayosingiziwa?

Halafu Mzee Bob, inaeleweka kuwa BCS ikuwa wazi kila mtu anaruhsiwa kutukana au kumzushia mwingine, sasa tatizo la hapa ni kwamba kuna huyu bwana mmoja anyeruhusiwa kuzushia wengine, ila ukimjibu yeye kwa lugha yake basi mada inafutwa, sasa hapo ndio sielewi inakuwaje?
 
Hivi kumbe hapa watu tumekuja kujenga majina??!!, kumbe wenzetu mwafahamiana!!! Najua kuna wachache wanaotumia majina yao halisi hapa

Mzee Mkandara nakumbuka sana ile ya bcstimes na "Al-Qaeda" hahahahahah....................si ndwele yale yakhe

BUT come on guys we can do better than this. kila mmoja wetu kwa nyakati tofauti ameathirika na baadhi ya hoja hapa, kwa hiyo kila mmoja kamkosea mwenzie, hivyo tusameheane

kilicho/kinacho ni furahisha hapa JF ni UVUMILIVU waungwana tulionao. lets leave alone this "cocky" fighting and dont tell me now the patience is GONE!!

Vipi kama Mwanakijiji hakuombwa radhi??........then what!! Jamani Tusameheane, tusahau yaliyopita tujenge hoja ktk mada tusonge mbele Tanzania yetu iko njia panda na inaendelea kusuasua......please lets move on. KWA WANAOKUBALIANA NAMI WASEME

"YES LETS MOVE ON"

Just put/imagine hii picha tunayoionyesha ya JF kwa wanaoingia humu kusoma haya. JF is bigger tha our nicknames.......lets move on

"YES LETS MOVE ON"

au unasemaje bwana Admin
 
Back
Top Bottom