Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
mswahili mapenzi yako kwa tenga yameanza lini...au unataka kuikarabati hoja yako..thaat is what we call DEVIDE AND RULE...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu yeyote ambaye alikwenda very serious na post ya mswahili kwamba MKJJ ni muuza unga msianze kupoteza mwelekeo. Mimi sikuamini maneno hayo na watu wote makini hawakuamini maneno hayo. Kama mliokuwa mnasema hakuna ukabila mmepata sababu ya kuvuruga hii mada ni sawa tu, kwa sababu Mswahili amekua mvumilivu mara nyingi tu na amesema nyie endeleeni kumtukana, sasa mzaha moja kwa MKJJ basi imekuwa nongwa. Hebu wale wote wanaoamini MKJJ ni muuza unga waweke hoja zao hapa tuone. Na kama hivyo ndivyo mbona hamsemi wakati ana wapa ukweli kuhusu ukabila uliokithiri pale TRA? Kwa nini hamtaki kujibu hoja zilizoulizwa.
PM, MKJJ na wengineo mlioibuka jibuni hoja tuendelee.
Jamani aombwe kwanza radhi Mzeee Kulikoni, na baadaye Mswahili kwa matusii yote waliyorushiwa kwanza,
Mswahili hakusema Mzee MMJ kuwa ni muuuza unga, hiyo ni sababu tu inataka kutumiwa kumgeuza Mswahili aanze kufuata bendera, Mzeee MMJ alipokuwa upande wa CCM alitukanwa weeee sasa toka aonekane anakubalika na huo upande, basi sasa mambo yamegeuka,
Utoto huuu, mtu mmoja tu anaaka kutufanya wote humu tukubali mawazo yake, unajua nimeufuatilia kwa makini mjadala wa Zitto kujitoa, ndio utaona ukweli ulipo, mana huyo bwana mwenye majina mengi na anyeogopwa humu hana la kusema sana kwa hiyo na wayangu nao wamenyamaza kimyaaa,
Mswahili siye aliyesema juu ya shamba kuonekana kuwa la mahindi, kumbe ni ....., Mzeee Mswahili kuna tunaokuelewa msimamo wako na hoja zako na ni valid, asikutishe mtu yoyote hapa weka vitu mwanangu, kama ni radhi waanze wao kuomba!