Habari ya wote? Naamini w/end ilikuwa njema kwa kila mmoja. Kila w/end nimegundua huwa kunakuwa na mikwaruzano *Hasa Jumapili* na huenda ni kwakuwa Forum inakuwa haina viongozi walio online wakti huo.
Wengine wanasema "Flani anaogopewa kwenye Forum" au "Flani hawezi kusemwa hata akikosea" na wengine hata kusema "Admin ni wa Kaskazini" etc. Ni mawazo tu; lakini napenda kuwakumbusha kuwa kuna sheria zetu.
Katika chunguza yangu nimegundua kuwa kuna watu wanakuwa wanaongelea mambo ki-utaniutani nami kwa akili zangu ndogo nadhani ni utani kwakuwa huenda wanachama hawa wamezoeana. Sipendi kuingilia uhuru wa utanianaji... Nitaonekana mkorofi bure!
Lakini kwa sasa nimepata picha nyingine ambayo sikuitarajia... Kuwa pale mtu anapotania sasa NI LAZIMA AWEKE KWENYE MABANO KUWA ALICHOONGEA ANATANIA (Just Kidding) itasaidia sana kwa yule ambaye umemtumia ujumbe husika (wengine wanasema dongo) kujua kuwa umemtania japo yawezekana utani huo umeandika "Utani" kumbe unamaanisha "Ukweli". Nasisitiza kuwa endapo mwanachama ataonesha kuwa HAJAPENDEZWA na kutaniwa na mwenzake basi mhusika hana budi kumwomba radhi kuwa hakuwa na dhamira mbaya. This must be publicized and not thru PM ili wanachama wote wajue AMANI IPO.
Nikumbushe jambo moja muhimu... Hatupo hapa kutibuana akili na kuumizana vichwa juu ya kwanini flani anifuatilie! Binafsi napenda kuona tunafurahi na kujadili mustakbari wa taifa letu. Haipendezi kabisa kuona mada inageuka kuwa uwanja wa vita. Haitovumilika KABISA hali hii. Nasikitika kuwa huenda nikaonekana mbaya pale nitakapochukua uamuzi wa kutoa ban ya muda kwa member. I never prefer banning any person. Naheshimu michango ya kila mmoja as long as naamini ni kwa manufaa ya taifa.
mswahili,
Pale unapotoa hoja yoyote na ukajua UNATANIA tafadhali sema UNATANIA. Hii itapunguza lawama zinazoweza kukuandama. Nielewe, napenda amani...
Nikumbushie baadhi ya sheria za jukwaa hili kwa wale ambao huenda hawajazifuatilia. SOMA KWA MAKINI zinavyosema.
Kuna threads kadhaa NIMEZIFUNGA mwenyewe bila hata kutoa maelezo... Yes, msimwandame DrWHO kwa thread mbili nilizofunga. Huenda walioanzisha thread hizo hawakusoma sheria hizi. Zipo kwenye database na kama ni ujumbe kwa DrWHO ulifika sikuona sababu ya kuendelea kujadili hoja hizo kwani ujumbe ULIFIKA.
SHERIA ZETU ZIKO HIVI (Kiingereza):
Forum Rules
1 - Flaming, Bashing, and Trolling:
Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (trolling) is also asked to be avoided.
2 - Profanity:
Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.
3 - Spam:
Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.
4 - Email & Private Message Spam:
If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.
7 - Off-Topic Posts:
There is no major punishment for off-topic posters. But let's be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.
8 - Circumventing a Ban:
If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may
NOT re-register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.
9 - Nudity / Porn:
Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.
10 - Signatures & Avatars:
We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 64x64 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.
11 - Questionable Content:
Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.