Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ogah,
Nipo nawe mia kwa mia. Tusonge mbele kukata issue.
Labda tuingie sehemu nyingine maanake TRA tayari imesha anza kutazamwa kwa ukaribu na muungwana atapewa data zote kulingana na habari za mtaani maanake jamani hili swala nilifikiria dogo sana kumbe kubwa wala halina kipimo.
Haya wenye data za Ikulu, Ujenzi, mambo ya nje, Mipango na Benki kuu shusheni mambo.
Nimepumzika sana kusikia TRA ipo ktk radar!
 
heee yameisha tukate ishu kuna msemo watu wanasema "kunya anye bata tu akinya kuku huwa mwao" heee nnaaamini mmenipata hapo.

tukate ishu wakuu tuko karibu saana na hii issue very interested
 
something fishy going on here,
I have been carefully observing this thread for more than a week. It is normal to disagree but having a different opinion from another member doesnt give one the right to personally attack him worse enough with false atak.
Mswahili posed very strong points in the beggining but later turned to be an attacker-it would make him more principled to come here and prove to us about the issue of MKJJ being one of the chain in drugs, if he's sure why fear please we wish to ger PROOF
second; Why Dua keeps mswahili was not serious? are you guys the same person? or are having equal thoughts that when one writes something the other can automatically tell that it was no from his heart?
third, Mzee Es says mswahili has been accused of "Ametumwa" ,"dishwasher", but did he follow closely to see who accused him? its definately not MKJJ and even if he was accussed, was that enough reason to make him accuse someone else? Its a pity that some members had very strong hoja and were well respected could be so self centered.
Many people are observing this Forum and it has Good motives but i think with such motives soon it will be a gossip corner.
Please admin we dont want such things to happen.
Many observants will want to see this matter cleared then we can proceed to have more discussion on the topic.
 
Habari ya wote? Naamini w/end ilikuwa njema kwa kila mmoja. Kila w/end nimegundua huwa kunakuwa na mikwaruzano *Hasa Jumapili* na huenda ni kwakuwa Forum inakuwa haina viongozi walio online wakti huo.

Wengine wanasema "Flani anaogopewa kwenye Forum" au "Flani hawezi kusemwa hata akikosea" na wengine hata kusema "Admin ni wa Kaskazini" etc. Ni mawazo tu; lakini napenda kuwakumbusha kuwa kuna sheria zetu.

Katika chunguza yangu nimegundua kuwa kuna watu wanakuwa wanaongelea mambo ki-utaniutani nami kwa akili zangu ndogo nadhani ni utani kwakuwa huenda wanachama hawa wamezoeana. Sipendi kuingilia uhuru wa utanianaji... Nitaonekana mkorofi bure!

Lakini kwa sasa nimepata picha nyingine ambayo sikuitarajia... Kuwa pale mtu anapotania sasa NI LAZIMA AWEKE KWENYE MABANO KUWA ALICHOONGEA ANATANIA (Just Kidding) itasaidia sana kwa yule ambaye umemtumia ujumbe husika (wengine wanasema dongo) kujua kuwa umemtania japo yawezekana utani huo umeandika "Utani" kumbe unamaanisha "Ukweli". Nasisitiza kuwa endapo mwanachama ataonesha kuwa HAJAPENDEZWA na kutaniwa na mwenzake basi mhusika hana budi kumwomba radhi kuwa hakuwa na dhamira mbaya. This must be publicized and not thru PM ili wanachama wote wajue AMANI IPO.

Nikumbushe jambo moja muhimu... Hatupo hapa kutibuana akili na kuumizana vichwa juu ya kwanini flani anifuatilie! Binafsi napenda kuona tunafurahi na kujadili mustakbari wa taifa letu. Haipendezi kabisa kuona mada inageuka kuwa uwanja wa vita. Haitovumilika KABISA hali hii. Nasikitika kuwa huenda nikaonekana mbaya pale nitakapochukua uamuzi wa kutoa ban ya muda kwa member. I never prefer banning any person. Naheshimu michango ya kila mmoja as long as naamini ni kwa manufaa ya taifa.

mswahili,

Pale unapotoa hoja yoyote na ukajua UNATANIA tafadhali sema UNATANIA. Hii itapunguza lawama zinazoweza kukuandama. Nielewe, napenda amani...

Nikumbushie baadhi ya sheria za jukwaa hili kwa wale ambao huenda hawajazifuatilia. SOMA KWA MAKINI zinavyosema.

Kuna threads kadhaa NIMEZIFUNGA mwenyewe bila hata kutoa maelezo... Yes, msimwandame DrWHO kwa thread mbili nilizofunga. Huenda walioanzisha thread hizo hawakusoma sheria hizi. Zipo kwenye database na kama ni ujumbe kwa DrWHO ulifika sikuona sababu ya kuendelea kujadili hoja hizo kwani ujumbe ULIFIKA.

SHERIA ZETU ZIKO HIVI (Kiingereza):

Forum Rules
1 - Flaming, Bashing, and Trolling:
Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (trolling) is also asked to be avoided.

2 - Profanity:
Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

3 - Spam:
Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

4 - Email & Private Message Spam:
If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

7 - Off-Topic Posts:
There is no major punishment for off-topic posters. But let's be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

8 - Circumventing a Ban:
If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re-register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

9 - Nudity / Porn:
Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

10 - Signatures & Avatars:
We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 64x64 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.

11 - Questionable Content:
Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.
 
Bwana Admin, hapo sikubaliani na maneno yako kabisa, you can ban me if you want, WHy mention Mswahili? Mswahili amekosa nini?

Ban me if you want lakini ulichoandika hapo juuu ndicho exactly ninachokisema pure NONESENSE!Kwa sababu ni njia tu ya kumkingia kifua huyo mjinga ambaye bado yupo hapo na majina yake na upuuuzi wake, thank God kwamba hakuna aliyelala hapa,

Lakini tunaweza kumuachia forum akaendelea na mijadala yake, Mzeee wangu Mswahili do not buy into any of this si nilikwambia nafikrii umeyaona mwenyewe! Hoja zako zimemuuuhdi huyu mkubwa!

Sasa zinaanza zile zile hadithi za politically correct, Mswahili hakufanya lolote tofauti na aliyofanyiwa, Kinyau you are very smart man ila ni kwenye forum hiii tu,

Kwako Admin, here I am ban me lakini ninasema my mind, unamuogopa huyu bwana Kinyau, mimi nilifikiri kuwa wewe utakuwa tofauti, sasa we are going to figure out what to do next, nafikiri it is about time kufungua forum nyingine, maana hayo maneno yako hapo juu yameniklatisha tamaaa kabisaa bro na hiii forum sikufichi!
 
Jamani utani unajulikana na hakuna anayeweza kuhoji utani. Utani una tone yake, na sio vigumu kugundua. Tukubaliane kwamba yameisha tusonge mbele. Yaani:

i) Mwanakijiji hana biashara wala shamba la madawa ya kulenya
ii) Mzee ES sio mtoto wa mzee JM

Basi, yaishe twende mbele. Watu wakitaka kuombana radhi wafanye hivyo kwenye PM, 'washikane mikono' hukohuko.

Sasa tunaendelea na hii mada, nami naendelea kama ifuatavyo.

Sehemu ingine yenye ukabila ni pale UDSM mlimani kwenye kitengo cha Computing Centre. Pale wameajiriwa wahaya kibao. Yaani wafanyakazi zaidi ya 75% ni wahaya. Ilifikia hatua watu hadi kubadili majina wanapoomba kazi ili waonekane na wahaya. Yule Mkurugenzi wa pale anatisha, hata aibu hana. Ikitokea ameajiriwa asiye mhaya hakai, atafanyiwa vituko hadi akome. It was really serious. Sijui sasa hivi kama imebadilika kutokana na uongozi mpya.

Kuna katatizo pia kwa hawa ndugu zetu wahaya, wachaga na wanyakyusa. Popote palipo na boss wa kabila hili basi watajaa watu wa kwao. Kulikoni?
 
Mzee ES,

Thanks AM TALKING NONSENSE; sishtuki juu ya hilo na penye wengi pana mengi. I never thought you could translate the way you've made it. Anyway, Bravo bro.

Tatizo la threads za UDINI na UKABILA huishia hivi. Inasikitisha mtu kama wewe kunielewa inversely. Sidhani kama umenisoma vema ama umeamua KUJIBU bila kunisoma.

Natambua wazi mswahili mwenyewe niliyeandika jina lake kaelewa kuwa simaanishi mswahili kama mswahili bali namaanisha board members wote ila yeye katumika kama reference as he was the one who was referred to in this thread.

Aidha yeye kwa kuona kuwa nilichoongea hakijam-offend kakaa kimya na hakujibu hivi ulivyokuja. I beg your sorry if am misread but am not intending to ban anyone as I believe kanuni hizi hazikusomwa na wote awali. Aidha hizi kanuni natambua kuwa ulizipinga tangu awali ila hazijamlenga mswahili ama ES tu bali yeyote ambaye anajua umuhimu wa kufanya kitu chini ya guidelines.

On the other hand, nadhani kumwona mwenzako anaongea NONSENSE ni kumdharau vya kutosha. Huenda upeo wangu ni mdogo kiasi hicho cha kuongea NONSENSE lakini sijaipenda kauli hii. Hapa ndo watu huharibu mada na kupoteza ladha ya hoja.

Ningeambiwa naongea NONSENSE baada ya kusema nilifuta zile thread mbili dhidi ya DrWHO hapo ama kweli ningepokea hii attack ya kuona akili zangu zina upeo mwembamba sana (kilaza) hadi naandika NONSENSE. I hate the word for sure man!

Sorry, I never expected to reply into this thread lakini nimelazimika. mswahili kama nawe wahisi nimekulenga vibaya niwie radhi sikulengi wewe tu bali watanzania wote wanaochangia kwenye mijadala yoyote hapa wajaribu kuonesha pale wanapotumia lugha ya utani waseme.

Najua Mzee ES hajatania kusema naongea NONSENSE, anajua wazi kuwa I always talk NONSENSE. Mh, watanzania nadhani hii thread sasa ifungwe as long as ujumbe TRA utakuwa umefika.

Kumradhi kwa wote
 
Kwanini unataka kuifunga?
 
Knkcu,

Hii thread ni nzuri na ingependeza ingejadiliwa bila mzaha; mizaha imeingia, wengine wakafikia wakti wa kushambuliana kwa lugha zisizo sahihi, wengine wakawa frustrated na hata wengine kutoa hoja zilizo nje ya hoja inayoongeleka.

Yani mada iko wazi watu wanapindisha kiaina tu ili mradi kuchanganya board members wengine. Kauli kama za mwanasiasa ni kauli za kiungwana na ni mtu ambaye ameonesha kuwa hajapenda namna mjadala ulivyopindishwa. Haipendezi; siwezi kufunga lakini kama wengi mnaona kujadili ukabila ni kuibua "bifu" na wengine basi inakuwa haijakaa sawa. Sawa, naiacha iendelee na nashauri iendelee alikofikia mwanasiasa.

Ni mapito tu; ila tuzingatie kanuni ambazo wengi tumekubaliana nazo. Itapendeza sana pale mtu akiandika utani akasema (Am just kidding) kama afanyavyo Kulikoni, Jasusi, Mkandara etc. Hata mi mtu akinitusi akasema (he/she is just kidding) bado ntachukulia ni utani na ntajifunza tokana na utani wake kwani lisemwalo lipo...

Thanks na nadhani tuendelee alikofikia mwanasiasa...
 
hee hee kazi huwa kazi pale muamuzi kuamua kuingia uwanjani kucheza, hapo panakuwa patamu
 
Invisible,

Unajua kuna watu wanapenda sana kuchochea vitu makusudi sana. Hili la Mzee Mwanakijiji wanalikataa kabisa na kusema sio Utani na kama ni utani sisi tumejua vipi?... good question!

Je, sio kati yao mmoja kasema Mswahili ni ...blaaa blaaa blaa! was it utani ama ni kweli?
Je, kinachouma zaidi ni kipi ikiwa nyie hili hamulioni kama ni utani yaani mnaamini kabisa kuwa Mswahili ni mwosha vyombo vya wazungu!..nani hapa katukana ikiwa msemaji na kundi zima mnaamini hivyo!..

Binafsi nilisema yote haya niliyachukulia kuwa utani kwa sababu Mswahili kayachukulia maneno ya Mzee mwanakijiji kuwa ni accusation za kuwa mwongo na amejaa wivu, chuki ya Wachagga. Ukisoma maelezo mengi yanamfunga Mswahili ktk kundi hilo.

Well, wapo wengi kati yetu ambao hawawezi kukubali msemo huo hasa wanapofahamu kuwa maelezo yao ni ya ukweli mtupu.

Mimi sio mtoto mdogo and I know for sure hapa kuna watu wanao jaribu kuupeleka mjadala huu nje kabisa ya hoja. Hizi ni mbinu za mijadala na wajinga tu watakubali kuwa utani hauwezi kuchambuliwa toka ktk matusi na watu ambao ni mabingwa wa kuchambua pumba nje ya mchele safi.
 
Hivi suala la Tobi na suala la Ukabila vinahusiana vipi? Ni mswahili aliyeleta na wengine wawili kuongezea suala la mimi kusaidia kuchangisha msiba wa Tobi ili kuhoji my credibility or intergrity. Now, kama hilo wangetaka liwe hoja wangeanzisha thread nyingine and let them discuss me if that gives them any pleasure.

Sasa, Mswahili amewasiliana na mimi na kasema hakumaanisha mimi niko kwenye network ya Wauza unga bali mimi ni "network ya wanaotetea uovu TRA". That is a fair allegation.

Sitaki kuwa issue kwani inapoteza muda na mtiririko wa hoja. Sitaki kumfanya mtu hoja hasa yale nisemayo juu yake hayahusiani na hoja za mtu huyo. Itakuwa ni pigo kubwa kama kile hoja zikiwa za moto tunaanza kuhamia kwenye "umesema hivi kwa vile wewe ni mtoto wa fulani", "unasema hivi kwa sababu huna kazi, n.k n.k"

Kama mtu huna hoja, ni bora ukae kimya na uendelee kusoma mada and enjoy it! Sasa, hebu tuachane na "mwanakijiji" na issues ambazo tunazo kibinafsi. Ieleweke kuwa sina kinyongo au beef na mtu yeyote humu tunayepingana kwa hoja. Wapo marafiki humu ambao kwenye suala hili tuko pande mbili tofauti na hilo halipunguzi heshima yangu kwao!

turudi kwenye issue: Kuna ukabila TRA kwa vile kuna watu wa kabila moja wengi?
 
Mzee Mwanakijiji,
Bravo!... Bravo!

Kuna Ukabila kwa sababu ajira NYINGI zinatolewa kwa kigezo cha kabila. Haya ndiyo madai yaliyotangulia.
Kabila moja wengi ni matokeo ya Ukabila unao daiwa sio ushahidi wa utoaji ajira.
 
Shukrani kwa MKJJ na Mswahili kuweka mambo sawa vile vile JF Admin na wengineo wote ambao kwa namna moja au nyingine wamesaidia kutatua hili tatizo ili tuendelee kukata issues hapa.
 
something fishy going on here,
I have been carefully observing this thread for more than a week. It is normal to disagree but having a different opinion from another member doesnt give one the right to personally attack him worse enough with false atak.
Mswahili posed very strong points in the beggining but later turned to be an attacker-it would make him more principled to come here and prove to us about the issue of MKJJ being one of the chain in drugs, if he's sure why fear please we wish to ger PROOF
second; Why Dua keeps mswahili was not serious? are you guys the same person? or are having equal thoughts that when one writes something the other can automatically tell that it was no from his heart?
third, Mzee Es says mswahili has been accused of "Ametumwa" ,"dishwasher", but did he follow closely to see who accused him? its definately not MKJJ and even if he was accussed, was that enough reason to make him accuse someone else? Its a pity that some members had very strong hoja and were well respected could be so self centered.
Many people are observing this Forum and it has Good motives but i think with such motives soon it will be a gossip corner.
Please admin we dont want such things to happen.
Many observants will want to see this matter cleared then we can proceed to have more discussion on the topic.

It is a pity to see well intentioned and serious minded individuals such as MKJJ being embroiled in such useless mudslinging counter accusations. I am certain he has enough sophistication to know the motives behind all this orchestration towards character assassination. Remain focussed my friend; it is not worth loosing the focus on more important issues you have proved yourself to be very good in, which may incidentally be the cause for this uncalled for attack. You had proved your point earlier on in this 'TRA' saga. Subsequent contributions never added value to the subject from what had been discussed amptly earlier on.
 
Back
Top Bottom