Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Mwl Nyerere Alisema.. kubaguana ni kama kula nyama ya mtu!
Siamini kama watu bado tuko roho za kibaguzi hivi!
Duh!
 
M. Mwanakijiji.
Hao wengine wachaga tunazungumza kiswahili hapa.
Kwani nyinyi munadhani kitendo cha wachga kujaza mabaa kila kona ya Dar na Tanga kuendeleza nasio kuharibu.
Kufuga maguruwe sehemu zakuishi watu harufu mbaya kila mali Tanga sasa.
 
Bakaa,
On this I think you are out of order. Kama mabaa yamejaa kila kona mjini Dar ni kwa sababu kuna wateja. Hakuna mtu kalazimishwa kunywa bia au kula nguruwe.
 
Jasusi.
Mumejenga mabaa katika sehemu za kuishi watu kwani hamlijui hilo.
Wachaga munaharibu mazingira.
Nawachaga wanafuga nguruwe sehemu wanazo ishi watu.
Turudi kwenye mada hicho kilikuwa ni kibwagizo tu.
TRA wachaga mumeifanya yakwenu.(nimesema kuwa wamejazwa Tanga,moshi na holili.)
 
Bakaa,
On this I think you are out of order. Kama mabaa yamejaa kila kona mjini Dar ni kwa sababu kuna wateja. Hakuna mtu kalazimishwa kunywa bia au kula nguruwe.


Mbavu zangu!

Anyway, kifupi tusipindishe mada bana. Hii ya kujaa kwa bar/guest/mabucha ya vitimoto etc inaweza kuanzishwa kama topic kama ina umuhimu wake lakini issue hapa ni Ukabila IKULU, UJENZI, MAMBO YA NJE, MIPANGO, TRA, BENKI KUU na OFISI NYETI ZA SERIKALI.

Bado tumepaandama TRA tu bado Ikulu, Ujenzi, Mambo ya Nje, Mipango, BoT na ofisi nyeti (kama alivyosema mwanzishaji wa topic) za serikali.

Vipi kwingine mbona hatugusi???
 
Good point worM. Mimi nasubiri majibu yangu kabla sijaingia sehemu nyingine.
 
Jasusi, nimesema toka mwanzo.. start breaking the principle and the principle will find a way of breaking you..! watu wameanzia TRA, hawataishia huko! wameanzia na Wachagga hawataishia huko!... Ubaguzi wa kikabila unaodaiwa kuwepo TRA hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi usiopingika! at least siyo ushahidi wa kisayansi! zaidi ni ushahidi wa idadi!

Je wachagga waliopo TRA wamekula njama kushirikiana?
Je, katika njama hizo wanaiibia serikali?
Je, wachagga wote wanafahamiana? Hivi tukikuta wasukuma nane kwenye idara fulani ni lazima wajuane?
Kama suala ni idadi ya watu wa kabila moja kwenye nafasi nyeti nimewapa mfano wa Mahakama Kuu mbona hilo hakuna anayeangalia.

Dua amekuwa akisisitiza maneno ya Mmanda kuhusu jeshi, alichosema Mmanda ni kweli kuwa kama mnaangalia idadi tu na kutoka idadi basi mnahitimisha ukabila, sasa tuseme jeshini kuna ukabila kwa vile kuna/kulikuwa na vijana wengi toka Musoma? Kama suala ni idadi katika nafasi nyeti lets keep breaking the principle twende Chuo Kikuu Mlimani na MUCHS.
 
MKJJ

Hatuongelei idadi au wingi wa wafanyakazi bali kitendo cha ukabila uliokithiri. Sasa wewe unampinga Mmanda ambaye anafanya kazi pale? Wanaofanya ukabila pale ni wale wenye uwezo wa kuajiri, unataka kuniambia wachaga wote wanaofanya kazi pale wana uwezo huo?

Usichanganye mambo ya wizi na rushwa kwenye ukabila vitu tofauti ndugu yangu. Ushahidi wote uliotolewa wewe huwezi kuukubali kwa sababu zako unazozifahamu kwani hata angekuja malaika leo huwezi kukubali ndio tunasema kwa hili wewe endeleza huo msimamo hadi pale hatua madhubuti zitakapochukuliwa na serikali kuutokomeza ukabila huo.
 
I give UP!

Sasa mjadala umeharibika, toka leo itanibidi niwe na tune nyingine kabisa kila napotazama swala!...Sina imani na baadhi ya watu kwa kila wayasemayo. Mswahili naye sijui kafungiwa! ama kweli Bongo nchi ya watu.
Vita mpyaaaaaa!
 
Mkandara,

Hakuna alofungiwa hadi sasa. This' just for your info!
 
MKJJ

Hatuongelei idadi au wingi wa wafanyakazi bali kitendo cha ukabila uliokithiri.

Mnaouzungumzia ni ukabila upi? Je ni ajira ya watu wa kabila moja zaidi? Kama ni hilo nileteeni basi idadi kuna wachagga wangapi TRA ukilinganisha na makabila mengine?

Sasa wewe unampinga Mmanda ambaye anafanya kazi pale? Wanaofanya ukabila pale ni wale wenye uwezo wa kuajiri, unataka kuniambia wachaga wote wanaofanya kazi pale wana uwezo huo?

Kama ni suala la uwezo, nilinganishie basi wachagga waliopo hapo na watu wa makabila mengine waliopo hapo!


Sawa, lakini ukabila una athari zake siyo tu ajira bali pia kimahusiano na uchumi. Kama kuna njama ya kuajiri wachagga peke yao bila ya shaka kuna watu wananufaika!
 
hee hee
anaemwaga manyanga chini na amwage tu, si aanze kutoa visingizio hivi na vile
jamani tuendeleeni, au ndo tuseme tayari tushamfunga paka kengele?
 
TRA Kila mtu anapataka kwani mshahara wa mfagizi na mhudumu wa ofisi ni mkubwa kuliko hata wa Daktari kabla haujapandishwa mwaka jana.
 


Naomba mnitafutie idara nyingine yoyote ambayo imechukua hatua za kuzuia ufisadi kama TRA!!
 
posted by Dua:
Uliongelea James Mbatia ambaye aliajiriwa TRA bila cheti, cheti alichokuwa nacho ni cha Form VI je aliajiriwa katika mazingira gani? Alisomea Engineering kutokana na habari uliyotuletea, ilikuwaje TRA wamwajiri?
Dua, Kichuguu,wana JamboForums,
James Mbatia ameburuzwa humu ndani na Mswahili wakati alipokuwa akiwakashifu "wakilimanjaro" kwa kutoa wagombea Uraisi[Anna Senkoro,Mrema,Anna Komu] wasiokuwa na "elimu."

Nilimtetea Mbatia kwasababu hakuwahi kugombea Uraisi. Vilevile huyu James Mbatia amekosa shahada ya chuo kikuu kwasababu ya kufukuzwa kwa kuongoza mgomo wa wanafunzi. Naamini mtu yeyote fair hawezi kumuunganisha ktk kundi moja na Augustino Mrema.

Labda niongeze tu, wakati anafukuzwa, Mbatia alikuwa mwanafunzi wa kitivo cha Engineering mwaka 3. Naamini sote tunaelewa ugumu wa kujiunga UDSM miaka ile, na zaidi ku-survive mwaka wa 2 civil engineering. Narudia, Mbatia aliondolewa mlimani akiwa mwaka wa 3 faculty of engineering.

Nategemea wengi hapa mtakuwa mmejielimisha kuhusu TRA, na mnafahamu kwamba ilianzishwa rasmi mwaka 1996 kutokana na mapendekezo ya "Tume ya Edwin Mtei." Kama sijakosea James Mbatia alikuwa mbunge wa Vunjo kati ya mwaka 1995--2000. Kwa msingi huo basi, yeyote anayedai kwamba aliajiriwa TRA alikuwa na nia mbaya ya KUMCHAFUA James Mbatia kwasababu ya kabila lake MCHAGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…