Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Mzee Es......

heshima yako mkuu,asante kwa ukaribisho.tuendelee kukata issue ili tufikieni MILLENIUM GOALS,si unajua tena mambo ya MKARABITA,MKUKUTA,SACCOS etc lazima mola akipenda 2020 WAZEE WOTE WAJUE KUSOMA NA KUANDIKA.......mwendo mdundo mzee.

Masatu.......

heshima mkuu wangu,wacha hizo.naogopa kuibadilisha mada ya watu,manake hapa tunajadili UKABILA WA TRA jee kweli hayo?wataalamu wameleta data za kila namna lkn bado watu hawaamini.

mkjj......

wa-tz wote ni ndugu mkuu,kwa hivyo lisikupe BP/KIHARUSI ndio MUONGO-NO ooopsss MUUNGANO huo.
 
Mhandisi Mohammed,
Karibu sana. Tunasubiri mchango wako.
 
Injinia Mohammed.
Karibu sana jamvini.

Mwanakijiji.

ulisema interview itakuwa jumamosi ya wiki ile. au Flu ilivyokupata umepoteza kumbukumbu?

Phillimon Michael.

uko wapi swahiba yangu? au umemtapeli Kittlya? umechukua chake kuja kumtetea wakati hufanyi kazi yeyote ile.
 
Mtumwitu,

unatisha mtumwitu ... unamkaribisha mtu mpaka chumbani?? au ndio SAS mwengine?
 
Jembajemba.
Mtumwitu nadhani anataka kuleta uanglikana kama ulifuatia mkutano walioufanya majuzi Hapa Bongo kulikuwa na ajenda kuu. wanaona kina Elton John na David wanafaidi sana. nao wanataka iwe RUKSA.
 
mswahili... natumaini hujaribu kusema kuwa nilifake flu ili nikwepe interview..! basi unaniunderestimate...!
 
waungwana

kwanza nnasikitishwa kwa kunifahamu vibaya, au kupindisha maelezo yangu kwa makusudi hata wewe Mkjj ? uanglikana no, silo nililokusudia kabisa, nilichokusudia akaribie kukata issue na hapa hakuna udini waislamu na wakristo sote tunakata issue,

sasa huo uanglikana wa nini? niombeni radhi wakuu.

mswahili wacha zako hizo, au huu mchezo unaupenda?

nakanusha tena no, no no sina uhusiano na uanglikana huo unaomstahili
Mzee Ole
profesheni ni kweli umepatia.
 
mtu mwitu.. naona umenielewa vibaya mawazo yangu hayakuwa huko yaliko ya wengine.. niliposema "waarabu wapemba" nilikuwa na maana.. mnajuana... aidha in real life or by profession... kwa sababu kama mnafahamiana na jamaa naye akajiunga (labda kwa kuelekezwa naye) wewe ndio mwenyeji wake na una haki zote za kumkaribisha kigoda, ulanzi.. na mbege... na kama anakunywa togwa basi na togwa na kama anapenda sana hata mnazi!! Usinisome sana.
 
waswahili ni wakarimu,watakukaribisha vingi na popote...ila utapata kadri utakavyokuta. siku hizi wapo wenye huo uangilikani...lakini wengi ni watu wa maadili..ya pwani.

hawana ukabila kamwe...ila utani mwingi...ndio maana kila mtu anajisikia nyumbani akiwa daslam!

karibuni basi!...issue zimwagwe!
 
Hii thread imeingia kwenye rekodi ya kuwa imechangiwa kuliko yeyote humu, na ni ya pili kwa kusomwa (haitakuwa muda mrefu itakuwa ya kwanza) kuliko yeyote, and still going...

Hii inamaanisha kuwa tukubali kuwa kuna issue katika hili suala na linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wake hasa ukitilia maanani upeo walio pro/against ambao wote kwa imani yangu ni watu wenye upeo mkubwa.

Nawakilisha
 
ni kweli inasomwa na kuandikwa sana,kwa kuwa kuna tatizo. ila,la msingi zaidi ni kuwa watanzania wanapendana na ndio maana wanaeleweshana kuhusu hili.

kingine ni kuwa hii mada inachanganywa na nyingi na hivyo watu wanapata uwanja mpana hapa kukata issue tofauti tofauti kwa pamoja[all in one].

we niulize ni maisha gani ya mtanzania leo hii hayaguswi na ukabila....ukienda kila sehemu utayakuta[in a positive way].simply its a melting pot!

mswahili,mdundiko siku hizi haba yakhe!...hata buguruni hakurindimi kama zamani!labda twende msanga!
 
njaa iliopo kuna mdundiko siku hizi, enzi zile wazaramu hadi wa unguja huja dari la salama kwa harusi au kuwacheza wana.
leo wapi harusi ya siku saba la mdundiko vanga na tukunyema wapi? umepita ule, leo mlo mmoja unamshinda, labda baraka ya mabaa kila kona, hao ndugu zetu tunaowaita wasomi wameiharibu dari salama sasa inavuja ikinyesha mvua. na miale ya jua hupenya hadi kuunguza likichomoza
 
nikweli njaa ipo....sasa,neema ile ilipotezwa na nani,hawa wakuja nini?[no offence wakuja!].halafu haya mabaa....dada zetu wamekuwa nanihii kuliko zamani!

mi nilikuwa nikifurahi wakina-mama walipokuwa wakiunguza mboga mdundiko unapopita mtaani...ebwana eeh! ilikuwa shughuli kweli kweli.

hivi....tuna wazaramo wangapi tra...achilia mbali kama ni wa unguja,ngazija au la.....mswahili una data?
 
Hii thread imeingia kwenye rekodi ya kuwa imechangiwa kuliko yeyote humu, na ni ya pili kwa kusomwa (haitakuwa muda mrefu itakuwa ya kwanza) kuliko yeyote, and still going...

Hii inamaanisha kuwa tukubali kuwa kuna issue katika hili suala na linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wake hasa ukitilia maanani upeo walio pro/against ambao wote kwa imani yangu ni watu wenye upeo mkubwa.

Nawakilisha

ni kweli thread imekuwa maarufu ila madhara yake unaonaje? na inaelekea kupoteza mwelekeo si muda mrefu.
 
hao wahusika wa TRA watasema jambo gani jipya kuondoa IMANI iliyojengeka jamboforums kwamba kuna ukabila?

majina ya watumishi wa idara mbalimbali za TRA yalishaletwa hapa jamboforums. baada ya kuonekana wachaga hawapo wengi, watu wakadai eti kuna waliobadilisha majina.

wakati tunasubiri hiyo interview naomba walioanzisha mjadala huu-- wanaodai wana data, wahamishe harakati zao ktk idara nyingine. kinyume cha hivyo tutalazimika kuamini kwamba nia yao ilikuwa kulenga wachaga peke yao.
 
Dar si Lamu.. hivi kuna Wazaramo wangapi Tanzania? na kuna Wachagga wangapi? clue: angalia mwanzoni mwa mada hii....
 
Back
Top Bottom