Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
angalieni huko nyuma nilipomuambia ayaweke hadharani aliyonitumia kwenye PM, nimemwambia si mara moja amenijibu nini? Huwezi kusema vitu kama hivyo ukaviweka in strict confidence, ukimya wake na kupuuzia kwake ombi langu kumenipa haki ya kuweka hadharani alichosema.. one can not be a bigot in private!!
Kama ningetaka kuweka hadharani bila kumpa nafasi ya kunikataza ningefanya hivyo!
Halafu Dua, niliposema hilo la vitu exclusive you know better ilikuwa inahusu nini. Mtu hawezi kunitumia PM za kunitukana, kutishia maisha mtu/watu n.k ukitegemea kuwa that is a private conversation. Itakuwa ni kutowajibika kwa upande wangu nikijifanya kufumbia macho maandishi ya namna hiyo!
Na badala ya kuangalia alichosema bila kujali mazingira ya kauli hiyo watu wanageuza kuwa mimi ndiyo hoja! Baada ya kukemea kauli za kibaguzi watu wanaguswa na maneno ya tafsiri yangu ya kuelewa kinachomsukuma ndugu yetu.
Hili haliwezi kufumbiwa macho, you can make me the topic if you want, but inapobidi tutaita kijiko kijiko. Mtu yeyote anayo haki ya kunikosoa mimi kama maandishi yangu yanachochea uhalifu au hisia za kibaguzi. Na ikionekana hivyo au ikitafsirika hivyo niko tayari kuweka sawa, kukiri nimekosea na kuomba mwongozo.
Sisi wote ni binadamu, hukosea lakini tunakuwa waungwana pale tunapokiri makosa yetu badala ya kujifanya hatuyaoni!!!