Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Kalamu
Hili ni swali: Hivi Dau ndio Dua? Maanake Mswahili anapommwagia sifa Dau, Dua naye anamkingia kifua!
Lakini siamini kuwa Dua ni mtu mwenye msimamo alionao Mswahili. Michango yake ya EAF haionyeshi mwelekeo wa kuwakataa waTanzania wengine kwa sababu tu za dini au ukabila wao.

Hivi ni wapi nilimkingia kifua? I am only Dua. For your information Dau CEO NSSF in Tanzania.
 
Mzee Mwanakijiji

Hivi Mswahili alipokuuliza hayo maswali wewe ulimjibu nini? Halafu naona umebadili hii hoja ya ukabila kuwa ni hoja ya Mswahili what is cooking? Aliyeanzisha hii thread ni Samvulachole, Je una habari ambazo sisi hatufahamu?
 
Ndio maana wengine tulikaa pembeni na kubakia kuwa watazamaji!
 
Mzee Defunkadelic,

Heshima mbele mkuu, ".....huyu ana-twist facts to work in his favor!........"

mzee wangu husemi yote unayoyajua kuhusu hii ishu, bado unatuacha hewani ilikuwaje huyo mbongo mwingine hakuchangiwa na walipigwa risasi wote kwa pamoja, ikawaje huyu mmoja yaani Tobi ndiye akawa muhimu kuliko huyo mwingine, na wakati imeshakuwa established kuwa mmoja ni muuza unga, au na huyu mwingine pia?

Wazee hebu tumwagieni hapa ili kuiweka hii ishu to the rest! Mzee Defunkadelic, husemi yote na hasa unaposema Mzee MMJ ana-twists facts ni zipi hizo?

Halafu inahitajika input ya Mswahili, ninaendelea kumtafuta aje naye atuweke sawa!
 
Ndugu Wanabodi.

Nimesikitiswa sana na tabia ya baadhi ya wanabodi (Mwanakjj na Phillimon mikael) ambao wanatumia kila hila kuona wanaharibu jina langu au kutaka nifukuzwe humu JF. na wana wafuasi wao kama Kalamu na wenzao wanaofuata tu upepo bila kujua ukweli wa mambo.

Nashukuru wako wanabodi wenye akili ambao hawavamii jambo bila kulifanyia utafiti wa kutosha.

Naamini sheria inatoa nafasi kubwa ya kusikiliza suala kwa pande zote mbili kabla ya kuhukumu( Fairness Hearing) Mwaka juzi kulikuwa na kesi ya Michael Jackson kabla ya kesi kupelekwa mahakamani wakatokea mahakimu wenye makengeza kama Phillimon Mikael na kumuhukumu Jackson, kabla ya kumfikisha mahakamani na kumpa nafasi ya kusikika(kujitetea) Matokeo ya kesi ile sote tunayajua.

Tony Blair aliliambia bunge la serikali yake kuwa Saddam Hussein ana silaha za nyuklia zinazoweza kuangamiza dunia ndani ya dakika 45, kwa vile Saddam hakupewa nafasi ya kujitetea na kueleza ukweli wa mambo matokeo yake kila mtu anajua silaha hadi leo hazijapatikana na watu wanakufa tu kisa uzushi wa watu wachache kwa maslahi yao.

Mwanakjj na Phillimon mikael msiwe mnawachukia watu kiasi hiki nakutunga uongo na story na kumchafua mtu ili tu kulinda maslahi yenu. leo Mtammaliza Mswahili kesho mtahamia kwa Dua na Kesho kutwa Mkandara.

Kilichotokea kwangu siku za nyuma Mwanakjj alileta uzushi mkubwa kwangu kuwa nimesema ni muuza madawa ya kulevya na wakatokea kina PM na kunilaani wakati sentensi niliyoaindika ilikuwa wazi na kila mtu anaiona inajieleza, baada ya kushindwa hilo sasa umekuja uzushi huu wa Private Message.

Wanabodi.

Ukweli wa jambo hili ni uzushi tu wa mwanakjj kunitengezea story na
sijui kafanya vipi kwani yeye ni Moderetor wa hii JF.

Wiki iliyopita kulikuwa na uongo aliouleta Mwanakjj kuwa ana source toka juu sana serikali lakini story iliyokuwepo kwenye thread na connection yake haikuwepo kabisa nikajaribu kumbana kwa hoja na ile thread ilifutwa kuna vitu vingi niliuliza juu ya Mwanakjj na redio yake, majibu yake ndio haya niliyoyapata hapa kwa kuzushiwa uongo kiasi hiki.

Narudi kwenye mjadala huu kuwa kuna sehemu Mwanakjj kasema nikipewa mapanga naweza kuwafyeka wachagga. hii ni kauli ya uchonganishi na ilitakiwa kina pm wamuhoji kwa kuchochea uovu, lakini wamekuwa makengeza tu.nakuthibitishia Mwanakjj imani yangu inakata kumuua mtu naomba uelewe unless kuwe na sababu ya kisheria.

lakini tutizameni vizuri hayo Maandishi anayodai Mwanakjj kuwa mimi nimeyasema "Naona una mchumba wa kichagga au vipi?na uongeze wafanya kazi wawili wa kichagga, ulichosema ni kweli ningekuwa na uwezo ningefanya YALE ULIONISHAURI".

hapo juu objective evidence inaonesha ni watu wanaofanyiana masihara na pia kuna information zina miss kwani inaonekana kabisa(mawasiliano ni ya pande mbili hapo yameletwa nusu tu) unless uwe makengekeza kama PM, kuwa Mwanakjjj alisema kitu na kumshauri Mswahili kitu au vitu ambavyo Mswahili anakubaliana na ushauri wa Mwanakjj na inaonesha mengi Mwakjj ammemshauri Mswahili.

kuna sehemu anaonekana Mswahili kuwapendelea wachagga kwa kumshauri aongeze ajira kwa wachagga wawili kupata kazi KLH NEWS redio ya kimataifa inayosikika dunia nzima, inapodaiwa kuwa anawachukia wakati hapa anawapia chapua waendelee kupata ajira hadi kwenye redio ya kimaitafa.

Sehemu ya pili inasema "Nadhani wale wayahudi walikuwa millioni sita jee wachagga wanafika million 6? ikaendelea NAOMBA USHAURI WAKO? ikamalizia NIPE JIBU LAKO. hapo Mwanakjj unaonekana wewe ndio mastermind wa mpango mzima inaonekana Mswahili hawezi kufanya kitu bila USHAURI WAKO na akamalizia kuwa nipe JIBU LAKO.
KAMA itafuatwa sheria wewe(Mwankjj) huwezi kukwepa kuwepo humu kama kuna hujuma kama inavyodaiwa ,na hakuna sentensi inayosema wachagga wauliwe, haijitoshelezi sentensi. ni sawa na mtu kusema HAKUNA Mungu... akahukumiwa bila kujua the whole sentensi ilikusudia nini, kumbe alikuwa akikusudia kusema HAKUNA MUNGU ILA ALLAH S.W.

Wanabodi hapo juu kilichotengezwa ni majungu na hata kama ingekuwa kweli nimesema hizo sentensi hazijitosheleze kuniweka hatiani na kama kuna Hatia the brain behind ni Mwanakjj. na HAPA HUYU Mwankjj hajaleta mawasiliano yao wote wawili ameleta nusu ushahidi tu. cha ajabu prosector na hakimu wote tayari wako bias, Mwanakjj huwezi kuwa daktari ukamfanyia operation baba yako au dada yako sheria za udaktari zinakataza. huwezi kuomba kazi referee akawa mkeo sheria inakataza. wewe unaandikia gazeti la Mbowe na una tenda na wachagga huwezi kuwa hakimu wa kweli na pia ushahidi wako utakuwa bias.

Mwanakjj wewe ni muumini wa kikristo kama kweli una imani ya kweli thibitisha humu lini ulinitumia PM? kwa hili nitajua kama kweli wewe ni mkweli au laa. pia naomba admin afuatilie kama kweli kuna PM nimewahi kutumiwa na MWANAKJJ kuniulizia aweke hadharani habari hii na anadai si chini ya mara moja mimi naomba hiyo mara moja tu. kama ipo unifute humu JF.

HATA ukifuatilia zaidi hii story aliyoweka Mwanakjj ni mchezo wa kuigiza tu. yeye kapost 10.17 PM na baada ya dakika 20 akaja Phillimon Mikael na kuandika ALLAH AKHBAR BADALA YA ALLAH AKBAR! namsamehe ni kutokana na matatizo ya makengeza yake,akaja kunihukumu kuwa mimi ni mnafiki.

PM sheria ina sema huwezi kutoa hukumu ya kweli until usikie other side ya kesi hata kesi ya saddam hussien pamoja na kuwa na hukumu mkononi alipewa muda wa kusikilizwa, hakuhukumiwa ndani ya dakika 20.
Baada ya Masaa matatu akaja tena Mwanakjj kusema kuwa kuwa kimya kwangu ni ukweli wa tuhuma zake kwangu.

ADMIN.

naomba tena kama niliwahi kumtumia PM ya matusi MWANAKJJ AU kASHFA yeyote ile japo neno moja tu likithibitika hilo najitoa hata kusoma JF.Usinivumilie bali unifukuze.

mimi nilimtumia salamu za pole kwa kuumwa kwake lakini hata kusema Asante Mswahili ilimshinda. huyu ndio Mwanakjj-Mtangazaji wa redio na Mwandishi wa gazeti la Mbowe-TD.

Mwisho namuomba Mwanasiasa aje kusoma na kutoa kauli yake jee maneno aliyosema Mwanakjj dhidi yangu yanatosha kunihukumu? nahisi Mwanasiasa yuko so fair haongozwi na jazba.
 
Es. Suala la Tobi ni zito na kama sheria inafuatwa inatakiwa Mwanakjj atiwe hatiani.
Hivi karibuni kuna kijana alifariki Zambia akiwa na madawa ya kulevya Tumboni wakatokea jamaa kwenye genge lao wakajifanya wasamaria wema kwenda kuichukua maiti ile Zambia, huyo Marehemu alizikwa Tanga na hao walioshiriki walikamatwa na polisi-mkoa wa Mbeya. kama tukifuata kesi hiyo kama ni authority basi mwanakjj inabidi nae abanwe na SOCCA (Taasisi ya kimataifa ya kupambana na madawa ya kulevya) au DCI manumba.

Tobi alikuwa maarufu kwenye hizo shughuli, cha ajabu akatoke Mwanakjj kunadai kumsaidie yule marehemu ili maiti izikwe nyumbani, kuna watu wanatumia njia za kusema tunapeleka kuzika maiti huku ndani ya Tumbo la maiti kuna mali,
cha kujiuliza hao watu wanaouza sumu na wanapesa za kutosha iweje sisi tuwachangie? na hawa watu wanaliangamiza taifa lakini Mwakjj akashupaa asaidiwe tu. yaani yeye anajua kumsakama spika na JK tu, lakini hawa wauza madawa ya kulevya anataka kuwafariji,aliipona watu wameshituka akajifanya alikuwa hajui.

kitu ambacho sipati jibu yeye anadai ana redio yenye nyeti nyingi jee hafanyi vetting ya habari? au akipewa habari na chadema anakurupuka tu?

ilitakiwa kama ni responsible journalist hufanya utafiti wa habari kabla ya kukurupuka tu, jee ingekuwa mkataba wa madini unoulalamikia si ungekuwa umetutosa?

Basil Mramba alipoambiwa asinunue ndege ya rais alikuja juu na kusema hata majani wananchi wale lakini ndege ya rais lazima inunuliwe kisa ana ten percent yake, hakutaka kufanya utafiti wala nini?

ndio maana tunalia na ukabila kuwa unarudisha nyuma maendeleo ya taifa.
na hili la kusema kabila fulani wapo sehemu fulani watizamwe kwa macho mawili halina tatizo ni jambo la kawaida sana na lipo dunia nzima. leo Mramba tungemtazama kwa macho mawili ndege mbovu ya rais isingekuwepo.

Mwanakjj na PM.

ukisafiri katika international airport kama za .UK inapokuja ndege toka Nigeria basi hata immigration officers wa Airport huwekwa maalum. na unapo deal na Mnigeria wa kabila la Ibo unatakiwa umtolee macho mara mbili ukizubaa atakuacha.

Ukienda benki ukisema Mnigeria kuna baadhi za benki hawakuruhusu kufungua account.

hata jela wafungwa wanawekwa sehemu kutokana na uzoefu wao au watukutu wana vyumba vyao. sioni dhambi kuwatolea macho wachagga so long wameonesha kuwa ni wakabila na baadhi yao si waaminifu.
kama kulalamika wangelalamika wanigeria au wa IBO.

Huwezi kuona Hausa analeta ujanja wa kijinga in most cases ni Ibo.

katika hiyo PM ulidai nimekutumia imeonesha wazi hujui kitu kinaitwa data protection yaani redio yako haina data protection.hata email ya mtu huwezi kumtumia bila ya ridhaa yake. na kwenye habari kuna kitu kinaitwa off-record.
kwa mada hii uliyoIleta nazidi kuhoji credibility ya the so called redio KLH news (mwanakjj).
hapa kuna defamation nimefanyiwa lakini kwa vile redio ina operate chini ya uvungu wa kitanda sijui nienda wapi Nikashtaki? kwani sijui kama serikali ya Marekani ina taarifa kuwa katika orodha ya redio zake kuna Redio Mwanakijiji kama ni phd basi ni zile feki za PWU, ni sawa Mary Nagu kujaribu kusema kuna chuo kimenipa PHD feki wakati serikali ya marekani haina hicho chuo,

wataniuliza kabla ya kudeal na redio Mwanakjj ulicheki kama kwenye orodha ya redio zetu tu hiyo redio? na ignorance is not an excuse, naomba wanasheria mje kunishauri wapi nikamshtaki REDIO Mwanakjj kwa defamation? aau breach of confidential,jee TZ au MAREKANI?.
 
Fact is, your stand on issues on hand are vividly discernible through your statements made variously in JF. It is on the basis of those statements that I consider you to be a dangerous bigot. You cannot run away from those statements now, or can you!
 
QUOTES:

(1). ".....suala la Tobi ni zito na kama sheria inafuatwa inatakiwa Mzee MMJ atiwe hatiani....."

SWALI: Ni sheria gani Mzee MMJ aliyoivunja?

(2). "....Kama tukifuata kesi hiyo kama ni authority, basi Mzee MMJ inabidi abanwe na SOCCA au DCI Manumba....."

SWALI: Kwa kosa gani alilolifanya Mzee MMJ?

(3). "......Lakini hawa wauza madawa ya kulevya anataka kuwafariji, alipoona watu wameshituka akajifanya alikuwa hajui......"

SWALI: Watu walishituka kitu gani ambacho kinamuhusisha MZEE MMJ na hawa wauza madawa ya kulevya?

I am just being curious!
 
Mswahili, nimekuvulia kofia..! Niliposema uandike ulioniandikia chembe ulikana? Niliposema tena useme kila kinachokuongoza na kukusukuma ulikana. Niliposema je niyaweke mimi hadharani ulikataa? Majibu ya maswali yote ni NO NO NO. Sasa yamewekwa hadharani unaamua kuyageuza? Mimi siyo moderator hapa!! Ilasasa nimeelewa nazungumza na mtu wa aina gani. Inawezekana ni mchezo kwako, lakini kwangu I take very seriously kile kitu watu wanasema. Ungekuwa na ujasiri kutetea msimamo wako hadharani badala ya vifichoni!!

Mswahili, siyo kwamba hukuona maneno yangu au ombi langu! You trapped me and I fell for it. Ningekaa kimya na ulichosema kwangu hakuna mtu ambaye angejua, ningeweka hadharani ungekuja na kukanusha.. in whatever case, I LOSE! for that one I give props to you! and if that was the chase game.. you really CHECKED ME!

Defunc.. inasikitisha kuwa kwa ushawishi wa moyo wako umejaribu kutengeneza "facts" ambazo mimi nilikuwa "najua" wakati ninarusha matangazo kwa mara ya kwanza. Kama kweli wewe ni msikilizaji utakumbuka kuwa "facts" za mwanzo nilizokuwa nazo zote zilikuwa si sahihi. "Facts" hizo zikuzishusha toka hewani bali nilipewa na mtu aitwaye Kobe Majisu ambaye alikuwa anashughulia habari za maiti huko Uingereza.

Ni yeye ndiye aliyeniambia kuwa marehemu amekuwa kwa "ajali ya gari" na ni yeye ndiye aliyesema kuwa Marehemu alienda Brazili kumtembelea rafiki yake. Ni wangapi hapa huwa tunatembelewa na marafiki zetu (wa kike a wa kiume) Kuna marafiki zangu ambao wamewahi kuja kunitembelea toka Uingereza, hilo si jambo geni. That was the original story. Baada ya watu kuuliza juu ya jambo hilo pale KLH News nilipiga simu tena na mtu akaanza kubabaika kwa kunimislead mimi na matokeo yake nilisahihisha hewani as soon as the story seems to have changed.

Narudia tena, matangazo ya kwanza nilipotangaza that was the information I had at hand. Is that unthinkable? Katika fani hii makosa hutokea na wakati mwingine tunapewa kama waandishi taarifa ambazo si sahihi licha ya kuwa chanzo cha taarifa hizo tumetokea kukiamini. Wakati Dan Rather alipokuja na ripoti yake kuhusu George Bush na kutangaza hewani na kuitetea alikuwa ameamini source yake. It turned out he was dead wrong! Does that mean he shouldn't report on any other report just because he was misled by someone else? Mimi nilisahihisha habari hiyo haraka zaidi kuliko Dan Rather alivyong'ang'ania story yake. Kama ningetaka kung'ang'ania ningesema tu "that is my story and I'll stick to it" I DID NOT.

Sasa kama wewe una UHAKIKA kuwa kwa makusudi niliamua kuwa mislead watu hapa I DARE YOU to bring the proof/s, and if you do NITAACHA MAMBO YA KLH NEWS, withdraw from Jambo Forums, APOLOGIZE UNCONDITIONALLY TO ALL THE MEMBERS here, kwa sababu sistahili kushikilia microphone! Kama unajua mimi nilikuwa najua mambo ya huyo kijana kujihusisha na madawa ya kulevya(kama mnavyodai) au sababu ya safari yake Brazili, na kwamba ninachosema hapa ni kutwist facts, THUBUTU kutoa ushahidi huo hapa AMA SIVYO admit kwamba HAUNA USHAHIDI HUO na ulichosema hakina MSINGI katika ukweli. Na nitakusamehe na tutaendelea na ishu nyingine.

Kwa upande wangu ushahidi wangu ni mahojiano yangu na Kobe Majisu ambayo kwa manufaa ya watu wengi ambao hawakuyasikia na wanaikuta hii issue hapa nimeamua kuyabandika tena KLH News. Ingia KLH News na sikiliza mada isemayo "Penye Ukweli..Uongo Hujitenga" That was the original episode siku ile habari za msiba zilipofika tu. YOU BE THE JUDGE, halafu jiweke kwenye kiti changu!

Kumbuka: Introduction monologue imetokana na mahojiano na Kobe. Marudio haya nitayaweka hadi Jumatatu asubuhi.
 
Es. Suala la Tobi ni zito na kama sheria inafuatwa inatakiwa Mwanakjj atiwe hatiani.
Hivi karibuni kuna kijana alifariki Zambia akiwa na madawa ya kulevya Tumboni wakatokea jamaa kwenye genge lao wakajifanya wasamaria wema kwenda kuichukua maiti ile Zambia, huyo Marehemu alizikwa Tanga na hao walioshiriki walikamatwa na polisi-mkoa wa Mbeya. kama tukifuata kesi hiyo kama ni authority basi mwanakjj inabidi nae abanwe na SOCCA (Taasisi ya kimataifa ya kupambana na madawa ya kulevya) au DCI manumba.

Tobi alikuwa maarufu kwenye hizo shughuli, cha ajabu akatoke Mwanakjj kunadai kumsaidie yule marehemu ili maiti izikwe nyumbani, kuna watu wanatumia njia za kusema tunapeleka kuzika maiti huku ndani ya Tumbo la maiti kuna mali,
cha kujiuliza hao watu wanaouza sumu na wanapesa za kutosha iweje sisi tuwachangie? na hawa watu wanaliangamiza taifa lakini Mwakjj akashupaa asaidiwe tu. yaani yeye anajua kumsakama spika na JK tu, lakini hawa wauza madawa ya kulevya anataka kuwafariji,aliipona watu wameshituka akajifanya alikuwa hajui.

kitu ambacho sipati jibu yeye anadai ana redio yenye nyeti nyingi jee hafanyi vetting ya habari? au akipewa habari na chadema anakurupuka tu?

ilitakiwa kama ni responsible journalist hufanya utafiti wa habari kabla ya kukurupuka tu, jee ingekuwa mkataba wa madini unoulalamikia si ungekuwa umetutosa?

Basil Mramba alipoambiwa asinunue ndege ya rais alikuja juu na kusema hata majani wananchi wale lakini ndege ya rais lazima inunuliwe kisa ana ten percent yake, hakutaka kufanya utafiti wala nini?

ndio maana tunalia na ukabila kuwa unarudisha nyuma maendeleo ya taifa.
na hili la kusema kabila fulani wapo sehemu fulani watizamwe kwa macho mawili halina tatizo ni jambo la kawaida sana na lipo dunia nzima. leo Mramba tungemtazama kwa macho mawili ndege mbovu ya rais isingekuwepo.

Mwanakjj na PM.

ukisafiri katika international airport kama za .UK inapokuja ndege toka Nigeria basi hata immigration officers wa Airport huwekwa maalum. na unapo deal na Mnigeria wa kabila la Ibo unatakiwa umtolee macho mara mbili ukizubaa atakuacha.

Ukienda benki ukisema Mnigeria kuna baadhi za benki hawakuruhusu kufungua account.

hata jela wafungwa wanawekwa sehemu kutokana na uzoefu wao au watukutu wana vyumba vyao. sioni dhambi kuwatolea macho wachagga so long wameonesha kuwa ni wakabila na baadhi yao si waaminifu.
kama kulalamika wangelalamika wanigeria au wa IBO.

Huwezi kuona Hausa analeta ujanja wa kijinga in most cases ni Ibo.

katika hiyo PM ulidai nimekutumia imeonesha wazi hujui kitu kinaitwa data protection yaani redio yako haina data protection.hata email ya mtu huwezi kumtumia bila ya ridhaa yake. na kwenye habari kuna kitu kinaitwa off-record.
kwa mada hii uliyoIleta nazidi kuhoji credibility ya the so called redio KLH news (mwanakjj).
hapa kuna defamation nimefanyiwa lakini kwa vile redio ina operate chini ya uvungu wa kitanda sijui nienda wapi Nikashtaki? kwani sijui kama serikali ya Marekani ina taarifa kuwa katika orodha ya redio zake kuna Redio Mwanakijiji kama ni phd basi ni zile feki za PWU, ni sawa Mary Nagu kujaribu kusema kuna chuo kimenipa PHD feki wakati serikali ya marekani haina hicho chuo,

wataniuliza kabla ya kudeal na redio Mwanakjj ulicheki kama kwenye orodha ya redio zetu tu hiyo redio? na ignorance is not an excuse, naomba wanasheria mje kunishauri wapi nikamshtaki REDIO Mwanakjj kwa defamation? aau breach of confidential,jee TZ au MAREKANI?.

mswahili,kauli yako hapa juu na hata huko nyuma zinaonyesha wewe ni mtu wa namna gani na unaamini nini...vipi uliposema "hata ukienda muhimbili hutibiwi na daktari mchagga? then ukaendelea....nadhani wayahudi walikuwa milioni 6,je wachagga wanafika milioni 6?....ukamalizia.."hakuna tatizo kwani hawa watu asili yao ni ethiopia"
hakuna tatizo.....kuwauwa au kuwafukuza any of those ni dhambi !
NAOMBA KUTOA ANGALIZO-HUMU NDANI WATU WANAONEKANA MAFUNDI WAKUBADILI MWELEKEO WA MAJADILIANO HASA PALE HOJA ZINAZOWAGUSA ZINAPOELEMEA...TUACHE TABIA HII YA KITOTO..ni kama kuongelea uchumi ghafla mtu anapandishia hoja ya zilipendwa ili kuhamisha malengo...why!!!!
 
Baya zaidi ni kuwa siyo ikulu tu. Polisi, Uhamiaji, Magereza wanaoajiriwa ni watoto wa maafisa. Hio ni hatari kweli. Huo ni undugunaizesheni. Ama kweli padre huli madhabahuni...
 
MKJJ, you have given me a conditional apology. If you can prove that I am a mkabila, then I will prove you knew what you were doing.
While you are at it, also explain why you did not put much effort in regards to the other drug dealer? I thought you were being humanitarian?
Also, if we can get the thread that was on Tanzatl, it will answer a lot of the questions. But it dont exist because of the re-designing of the website.

LAKINI, inaonekana wewe husomi vizuri ninachosema. Kitu cha kwanza nilichouliza mpaka tumefika hapa ni;

Kuna mtu anajaribu kung'ang'aniza kwamba, kwasababu mtu kaleta hii topiki na washabiki wake...basi huyo mtu na washabiki ni wakabila. Mambo ya kuongea kimafumbo, yanafanywa na wanawake.
Ok, kama hiyo ndiyo logic ya famous quote yake 'Hoja hujibiwa kwa hoja'.....mimi nina swali lenye hoja, ina maana; mtu anaye-mislead watu kuwachangisha hela kwaajili ya mtanzania wetu, akificha facts, wakati kila mtu anajua, na yuko convinced, na watu bado tunajua ukweli....je, kwa bidii yake hii iliyopotosha wengi..........je ni haki kumwiita mtu huyu muuza madawa ya kulevya???

Mtu huwezi kutengeneza facts zikae kivyako tu, when it suits you. Mtu hufanyi research yako. Ndio maana mheshimiwa hana time na interview na mtu ambaye hakusanyi facts vizuri.

On that account. I sign out, personally got mad love for ma Chagga peeps.

NOW, PLEASE READ THIS CAREFULLY...................
1. Just because I support there is a problem at TRA, does not make me a mkabila. On that note, just because you helped in raising funds for a drug dealer, does that make you a drug dealer?
2. If you make it a problem, I will make it a problem. It is a problem, because you have been associating everyone on mswahili's side as a mkabila, and you have been dropping dangerous words like...kufyeka fyeee. Now that has been a painfull experience. And I asked you before to re-phrase your words and apologise. The words coming out from you, yana uchochezi zaidi. Some people cant step back and read through the lines, and for those people, when they read your sentences without analysing, chuki inajengeka. Ndio maana, sijam-judge Mswahili. Maneno kama yamesemwa ni wrong. Lakini siamini AUTHENTICITY yake!!
Kuhusu interview yako, I listened that time, and the corrections, I was so put off. I got the impression all you care about is getting the 'SCOOP' ASAP kama CNN.......not caring about the source and authenticity of your SCOOP. Other than that, you should be a NEUTRAL interviewer, and with time you will do very well.
Issue ya marehemu, sio ishu kwangu, kwani haya mambo yametokea muda mrefu. Ingekuwa ishu, ningekwambia wakati ule. Lakini kwa vile umeeanza uchochezi, basi nami nitachambua hiyo ishu, kwani there are more questions that answers.
Kuna topic nyingi tu hapa, I may be in the know. Lakini siko interested kuchangia, kwani najua limits zangu. Just because I keep quiet, doesnt mean I dont know. Kwavile sifichi ID yangu, kwanini nijiweke hatarini au mtu mwingine? Therefore I keep quiet.
 
Ndugu Wanabodi.

Nimesikitiswa sana na tabia ya baadhi ya wanabodi (Mwanakjj na Phillimon mikael) ambao wanatumia kila hila kuona wanaharibu jina langu au kutaka nifukuzwe humu JF. na wana wafuasi wao kama Kalamu na wenzao wanaofuata tu upepo bila kujua ukweli wa mambo.

Nashukuru wako wanabodi wenye akili ambao hawavamii jambo bila kulifanyia utafiti wa kutosha.

Naamini sheria inatoa nafasi kubwa ya kusikiliza suala kwa pande zote mbili kabla ya kuhukumu( Fairness Hearing) Mwaka juzi kulikuwa na kesi ya Michael Jackson kabla ya kesi kupelekwa mahakamani wakatokea mahakimu wenye makengeza kama Phillimon Mikael na kumuhukumu Jackson, kabla ya kumfikisha mahakamani na kumpa nafasi ya kusikika(kujitetea) Matokeo ya kesi ile sote tunayajua.

Tony Blair aliliambia bunge la serikali yake kuwa Saddam Hussein ana silaha za nyuklia zinazoweza kuangamiza dunia ndani ya dakika 45, kwa vile Saddam hakupewa nafasi ya kujitetea na kueleza ukweli wa mambo matokeo yake kila mtu anajua silaha hadi leo hazijapatikana na watu wanakufa tu kisa uzushi wa watu wachache kwa maslahi yao.

Mwanakjj na Phillimon mikael msiwe mnawachukia watu kiasi hiki nakutunga uongo na story na kumchafua mtu ili tu kulinda maslahi yenu. leo Mtammaliza Mswahili kesho mtahamia kwa Dua na Kesho kutwa Mkandara.

Kilichotokea kwangu siku za nyuma Mwanakjj alileta uzushi mkubwa kwangu kuwa nimesema ni muuza madawa ya kulevya na wakatokea kina PM na kunilaani wakati sentensi niliyoaindika ilikuwa wazi na kila mtu anaiona inajieleza, baada ya kushindwa hilo sasa umekuja uzushi huu wa Private Message.

Wanabodi.

Ukweli wa jambo hili ni uzushi tu wa mwanakjj kunitengezea story na
sijui kafanya vipi kwani yeye ni Moderetor wa hii JF.

Wiki iliyopita kulikuwa na uongo aliouleta Mwanakjj kuwa ana source toka juu sana serikali lakini story iliyokuwepo kwenye thread na connection yake haikuwepo kabisa nikajaribu kumbana kwa hoja na ile thread ilifutwa kuna vitu vingi niliuliza juu ya Mwanakjj na redio yake, majibu yake ndio haya niliyoyapata hapa kwa kuzushiwa uongo kiasi hiki.

Narudi kwenye mjadala huu kuwa kuna sehemu Mwanakjj kasema nikipewa mapanga naweza kuwafyeka wachagga. hii ni kauli ya uchonganishi na ilitakiwa kina pm wamuhoji kwa kuchochea uovu, lakini wamekuwa makengeza tu.nakuthibitishia Mwanakjj imani yangu inakata kumuua mtu naomba uelewe unless kuwe na sababu ya kisheria.

lakini tutizameni vizuri hayo Maandishi anayodai Mwanakjj kuwa mimi nimeyasema "Naona una mchumba wa kichagga au vipi?na uongeze wafanya kazi wawili wa kichagga, ulichosema ni kweli ningekuwa na uwezo ningefanya YALE ULIONISHAURI".

hapo juu objective evidence inaonesha ni watu wanaofanyiana masihara na pia kuna information zina miss kwani inaonekana kabisa(mawasiliano ni ya pande mbili hapo yameletwa nusu tu) unless uwe makengekeza kama PM, kuwa Mwanakjjj alisema kitu na kumshauri Mswahili kitu au vitu ambavyo Mswahili anakubaliana na ushauri wa Mwanakjj na inaonesha mengi Mwakjj ammemshauri Mswahili.

kuna sehemu anaonekana Mswahili kuwapendelea wachagga kwa kumshauri aongeze ajira kwa wachagga wawili kupata kazi KLH NEWS redio ya kimataifa inayosikika dunia nzima, inapodaiwa kuwa anawachukia wakati hapa anawapia chapua waendelee kupata ajira hadi kwenye redio ya kimaitafa.

Sehemu ya pili inasema "Nadhani wale wayahudi walikuwa millioni sita jee wachagga wanafika million 6? ikaendelea NAOMBA USHAURI WAKO? ikamalizia NIPE JIBU LAKO. hapo Mwanakjj unaonekana wewe ndio mastermind wa mpango mzima inaonekana Mswahili hawezi kufanya kitu bila USHAURI WAKO na akamalizia kuwa nipe JIBU LAKO.
KAMA itafuatwa sheria wewe(Mwankjj) huwezi kukwepa kuwepo humu kama kuna hujuma kama inavyodaiwa ,na hakuna sentensi inayosema wachagga wauliwe, haijitoshelezi sentensi. ni sawa na mtu kusema HAKUNA Mungu... akahukumiwa bila kujua the whole sentensi ilikusudia nini, kumbe alikuwa akikusudia kusema HAKUNA MUNGU ILA ALLAH S.W.

Wanabodi hapo juu kilichotengezwa ni majungu na hata kama ingekuwa kweli nimesema hizo sentensi hazijitosheleze kuniweka hatiani na kama kuna Hatia the brain behind ni Mwanakjj. na HAPA HUYU Mwankjj hajaleta mawasiliano yao wote wawili ameleta nusu ushahidi tu. cha ajabu prosector na hakimu wote tayari wako bias, Mwanakjj huwezi kuwa daktari ukamfanyia operation baba yako au dada yako sheria za udaktari zinakataza. huwezi kuomba kazi referee akawa mkeo sheria inakataza. wewe unaandikia gazeti la Mbowe na una tenda na wachagga huwezi kuwa hakimu wa kweli na pia ushahidi wako utakuwa bias.

Mwanakjj wewe ni muumini wa kikristo kama kweli una imani ya kweli thibitisha humu lini ulinitumia PM? kwa hili nitajua kama kweli wewe ni mkweli au laa. pia naomba admin afuatilie kama kweli kuna PM nimewahi kutumiwa na MWANAKJJ kuniulizia aweke hadharani habari hii na anadai si chini ya mara moja mimi naomba hiyo mara moja tu. kama ipo unifute humu JF.

HATA ukifuatilia zaidi hii story aliyoweka Mwanakjj ni mchezo wa kuigiza tu. yeye kapost 10.17 PM na baada ya dakika 20 akaja Phillimon Mikael na kuandika ALLAH AKHBAR BADALA YA ALLAH AKBAR! namsamehe ni kutokana na matatizo ya makengeza yake,akaja kunihukumu kuwa mimi ni mnafiki.

PM sheria ina sema huwezi kutoa hukumu ya kweli until usikie other side ya kesi hata kesi ya saddam hussien pamoja na kuwa na hukumu mkononi alipewa muda wa kusikilizwa, hakuhukumiwa ndani ya dakika 20.
Baada ya Masaa matatu akaja tena Mwanakjj kusema kuwa kuwa kimya kwangu ni ukweli wa tuhuma zake kwangu.

ADMIN.

naomba tena kama niliwahi kumtumia PM ya matusi MWANAKJJ AU kASHFA yeyote ile japo neno moja tu likithibitika hilo najitoa hata kusoma JF.Usinivumilie bali unifukuze.

mimi nilimtumia salamu za pole kwa kuumwa kwake lakini hata kusema Asante Mswahili ilimshinda. huyu ndio Mwanakjj-Mtangazaji wa redio na Mwandishi wa gazeti la Mbowe-TD.

Mwisho namuomba Mwanasiasa aje kusoma na kutoa kauli yake jee maneno aliyosema Mwanakjj dhidi yangu yanatosha kunihukumu? nahisi Mwanasiasa yuko so fair haongozwi na jazba.

Mswahili ndugu yangu; mbona unajenga hofu ya kufukuzwa?
Personally naona ni vema kuwa na watu kama wewe so that we know the kinds of people we have in the society..am beginning to think that my knowledge of my fellow Tanzanians was a bit shallow..najifunza mengi hapa kwenye hii issue.

Lakini mswahili bear with me kidogo unifafanulie kidogo...Mbona kwenye hili bandiko lako kuna mahali unaandika as if sio wewe...; yaani kama vile you are referring to mswahili and mwanakijiji...na hii siongelei hapo unapochambua hiyo msg; read between the line its like you are Not mswahili; na ukijumlisha the fact kwamba immediately after this post umebandika ingine ambayo tone yake nayo..duh!
Nisaidia ndugu yangu pengine na mimi nimekuwa makengeza..ingawa bado nakumbuka kuwa huko nyuma niliwahi kuku-address wewe lakini mtu mwingine aka-respond as if the msg was intended for him/her..ninapata shaka kwamba we are dealing with one person in different names..such that wakati mwingine anajisahau. Kama sivyo niwie radhi ila napenda kuwa na uhakika ndo maana nakuuliza.
na kama hukuandika hiyo pm kwa Mwanakijiji basi kazi ipo! ila kwa precedent uliyoiweka hapa, it did not come as a suprise to me at all
Am listening...
 
mtu mmoja majina kumi ... that i suspect too,ndio maana zikija hoja za msingi kabisa utaona ghafla zinaingia post nyingine nyingi tu za kubadili mwelekeo wa mjadala....hiyo trend ma detective tumeshaiona sana tu....kuna uwezekano kabisa mtu mmoja anapost hoja kutetea NA NEXT anapost kupinga as if those are two different person ,lengo likiwa kutuhamisha kabisa mawazo...naomba mara ukihisi hivyo usihangaike kujibu WEWE ENDELEA KULIMA KWENYE HOJA YA MSINGI!!!!!!!!!!!! i dont mean to aim any specific person ,ila kama kuna mtu ana mchezo huo au anafikiria kuwa nao aache!!!!!

tukate ishuu!
 
One word tells a million stories. I understand why people are anonymous.
 
Usikwazike na hilo neno detective,sasa huo udetective hapa hauna uwanja.Wewe mwanga vituz tu na usimtizame mtu usoni Hakuna kujuana hapa wala kutishana.Hakuna Mtoa Riziki hapa wote ni wapokeaji riziki na mtoaji ni mmoja tu naye muumba mungu baba!
 
Mwendapole sijakuelewa swali lako?

unaona ajabu kutuma posts mbili zilizofuatana? nimekuwa nikifanya hivyo nyuma tizama vizuri.

na post ya pili ilikuwa ikizungumzia Marehemu Tobi na mipango ya ujanja ujanja wa Mwanakjj kutaka kutuingiza mkenge kwenye mtandao wa madawa ya kulevya.kujitia hajui sheria hailijui hilo hakuna excuse kwenye sheria Mwanakjj akitake kumtupia MAJISU mpira wakati wote mlikuwa kwenye mpango mmoja.

Mwanakjj.

Naomba utoe hizo PM ulizonitumia kuhusiana na suala hili? na kama zipo nitakuwa muongo na sitashiriki humu kabisa. najua huna na muongo mkubwa!
hapa inajulikana kuwa Phillimon Mikael(makengeza) na Mwanakjj mnataka kuhamisha mada baada ya kushindwa kabisa. sio nyinyi mliosema tutafanya interview na TRA then mkaingia mitini? sio wewe Mwanakjj(mnafiki) uliyetuongopea kuwa umeunda Tume ya TRA na hakuna kilichoendelea?
na sasa umekuja na mbinu hii ya PM ili kupoteza muelekeo? sio wewe uliokuja na uongo kuwa una nyeti za serikali ? Mwanakjj sio lazima kila topik uandike au ujifanye unaijua ndio maana kuna thread mimi sichangii kama sina data zakutosha.
inajulikana Mwanakjj uko beneti na Phillimon mikael na ndoa zenu.
 
Ni wewe unayesema mambo ya ndoa, na ni wewe uliyesema kuchumbia uchaggani... au kivuli chako!!

kama nilikutumia PM si unazo toa wewe! kama huna basi si kutuma na ninakubali mimi muongo mkubwa! Period.

Defunc.. sijakuita wewe binafsi mkabila.. nimewaita wale wote wenye kutetea hoja za ukabila wa TRA kwa sababu ya chuki dhidi ya wachagga ndio wakabila, kama wewe siyo haikuhusu, na nilichoomba radhi ni kama umepata impression hiyo ya mimi kukutaja wewe. Hakuna mahali hata pamoja nilipokuita wewe binafsi mkabila. Ila kama kuna mtu anachangia hoja hii kwa sababu ana chuki dhidi ya wachagga huyo mtu ni mkabila na ni hatari!
 
Back
Top Bottom