MKJJ, you have given me a conditional apology. If you can prove that I am a mkabila, then I will prove you knew what you were doing.
While you are at it, also explain why you did not put much effort in regards to the other drug dealer? I thought you were being humanitarian?
Also, if we can get the thread that was on Tanzatl, it will answer a lot of the questions. But it dont exist because of the re-designing of the website.
LAKINI, inaonekana wewe husomi vizuri ninachosema. Kitu cha kwanza nilichouliza mpaka tumefika hapa ni;
Kuna mtu anajaribu kung'ang'aniza kwamba, kwasababu mtu kaleta hii topiki na washabiki wake...basi huyo mtu na washabiki ni wakabila. Mambo ya kuongea kimafumbo, yanafanywa na wanawake.
Ok, kama hiyo ndiyo logic ya famous quote yake 'Hoja hujibiwa kwa hoja'.....mimi nina swali lenye hoja, ina maana; mtu anaye-mislead watu kuwachangisha hela kwaajili ya mtanzania wetu, akificha facts, wakati kila mtu anajua, na yuko convinced, na watu bado tunajua ukweli....je, kwa bidii yake hii iliyopotosha wengi..........je ni haki kumwiita mtu huyu muuza madawa ya kulevya???
Mtu huwezi kutengeneza facts zikae kivyako tu, when it suits you. Mtu hufanyi research yako. Ndio maana mheshimiwa hana time na interview na mtu ambaye hakusanyi facts vizuri.
On that account. I sign out, personally got mad love for ma Chagga peeps.
NOW, PLEASE READ THIS CAREFULLY...................
1. Just because I support there is a problem at TRA, does not make me a mkabila. On that note, just because you helped in raising funds for a drug dealer,
does that make you a drug dealer?
2. If you make it a problem, I will make it a problem. It is a problem, because you have been associating everyone on mswahili's side as a mkabila, and you have been dropping dangerous words like...kufyeka fyeee. Now that has been a painfull experience. And I asked you before to re-phrase your words and apologise. The words coming out from you, yana uchochezi zaidi. Some people cant step back and read through the lines, and for those people, when they read your sentences without analysing, chuki inajengeka. Ndio maana, sijam-judge Mswahili. Maneno kama yamesemwa ni wrong. Lakini siamini AUTHENTICITY yake!!
Kuhusu interview yako, I listened that time, and the corrections, I was so put off. I got the impression all you care about is getting the 'SCOOP' ASAP kama CNN.......not caring about the source and authenticity of your SCOOP. Other than that, you should be a NEUTRAL interviewer, and with time you will do very well.
Issue ya marehemu, sio ishu kwangu, kwani haya mambo yametokea muda mrefu. Ingekuwa ishu, ningekwambia wakati ule. Lakini kwa vile umeeanza uchochezi, basi nami nitachambua hiyo ishu, kwani there are more questions that answers.
Kuna topic nyingi tu hapa, I may be in the know. Lakini siko interested kuchangia, kwani najua limits zangu. Just because I keep quiet, doesnt mean I dont know. Kwavile sifichi ID yangu, kwanini nijiweke hatarini au mtu mwingine? Therefore I keep quiet.