Ufunuo wa Yohana
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 319
- 72
naomba kumtoa kijana THOMAS MONGELA,huyu kijana ni kichwa ile mbaya..amemaliza mlimani na ana GPA ya 3.8,ana CPA NA ana MSC IN FINANCE..Aliyomalizia pale Ifm,
kabla ya kuja BOT Alikuwa standard chartered kwa muda wa miaka miwili,
huyu ni competent,ila JABIR KIGODA hamna kitu,
shy,hivi anafanya kazi gani?
Huyo Jabir Kigoda Yuko Kwa Muda Sasa Hapo Bot Yeye Ndio Hana Kabisa Uwezo Huo Kuwa Hapo Bot Hata Elimu Yake Inatia Mashaka Sasa Hivi Ndio Anajiendeleza Kidogo Kidogo Kwa Kusoma Kozi Za Mitandaoni Huyo Analipwa Laki 7
Zitto chunguza, na ukigundua haya ni ya kweli,,,saidia kulipeleka hlii kwenye Jumba la Wawakilishi kule Dodoma!!!
Maana tunapenda kujua hiyo coincidence ya Watoto wa Wakuu kuajiriwa hapo 10 Mirambo Street.
By the way hili lina-qualify kwenda kwa PCCB, sheria mpya nadhani inatambua hii kama aina ya rushwa...
Kuna tatizo gani kupiga kelele kama wamekolifai na wanachapa kazi vizuri? Yaani hata kama wamekolifai wasifanye kazi sehemu hizo kisa baba zao ni vigogo?
heti huyu haoni tatizo.
hivi kuna tatizo gani, wewe ukiwa rais, mke wako makamu rais, na watoto wako wakawa mawaziri kama theory yako ya kuqualify ikiapply kila mahali? watu wengine bwana, tukimwambia afikiri kabla ya kutenda anasema eti tunamwonea, hata kwa hili?
Kuna tatizo gani kupiga kelele kama wamekolifai na wanachapa kazi vizuri? Yaani hata kama wamekolifai wasifanye kazi sehemu hizo kisa baba zao ni vigogo?
Jamani- the other side of the coin!
1. Yaani leo ndo mnaona haya majina ya watoto wa vigogo BoT? Mbona ajira za vimemo zimejaa sehemu zote nyeti za serikali tangu wakati wa AHM? Yaani kama rushwa kubwa kubwa za mabilioni serikali inakaa kimya-sembuse ajira za vimemo?
Mimi sioni jipya- ngonjera ni ile ile!
Njia nzuri ni kubainisha haya majina mwanzoni wakati wa hiyo memo inaandikwa, wakati wa interview na if they do not qualify- wewe kama una fununu mtu haqualify na kuna mpango kumwajiri sehemu nyeti- sema wakati huo huo! Kama mtu ameshafanya kazi miaka 5 au 10-15 sasa- je mnadhani ataondoshwa kazini? Kwa sheria ipi ya kazi?
2. Kama wanqualify na wamepitia process ya kuajiriwa na kupata kazi- hawana dhambi hawa ni Watz kama Watz wengine! Tatizo ni kama hawaqualify. Je haya majina ni % ngapi ya wafanyakazi wote wa BoT? Je hawa watoto wa Vigogo wao wafanye kazi wapi? Mbinguni? Je hawa sii Watanzania? Kwa nini leo hii tunaanza kuwabagua?
Hayo mashirika binafsi basi usiseme!Mzalendo:
Si kuna mashirika binafsi yanayolipa zaidi ya mashirika ya serikali? Kama wao ni wazuri tuwaone katika mashirika binafsi.
Mwana Wa Maryam,
Yes conflict of interest- Waziri Mkuu ni wa Jamhuri yote- sasa mtoto wake yeye akafanye kazi Kenya? Au aajiriwe sehemu tu ya hovyo hovyo isiyokuwa ya maana ili kuondoa conflict of interest?
If mtoto anaqualify- mimi sijaona dhambi ya huyu mtoto wa EL kufanya kazi BOT! Hivi ni dhambi sasa kuzaliwa mtoto wa kigogo?
Tatizo langu tu ni kama hawa watoto hawaqualify na wanapata hizi kazi kiujanjajanja!
Pia kuna growing feeling that watoto wote wa vigogo mara zote hupendelewa- hii sii dhana ya kweli!
Hayo mashirika binafsi basi usiseme!
Waziri Mkuu ana influence mashirika binafsi pia! My point is kama mtu anaqualify--- then asibaguliwe!
Ubadhirifu unaojitokeza wengi walioiba na kutuhumiwa wala sii watoto wa vigogo- ni watoto wa wakulima na wafanyakazi!
Sitetei upendeleo- mimi nakataa ubaguzi!