2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Hatuwezi kuwapa kwasababu ya ego, waliyokuwa nayo ukianza kusema eti sis tumesoma tayari inaonyesha kuna kaharufu ka ukabils, wewe kama umesoma ni wewe, inapokuja swala la ajira waliokuzunguka ni watanzania wenzako, you have to respect that
Kwani hujui wachaga walijazwa tra kipindi cha mama anna mkapa
Hata nyerere aliliona hili mapema na akajua jinsi ua kudeal na watu walafi na wakabila kutoka makabila hayo.
Kuna makabila hapa nchini yanajivuna kwa kujua kufanya Mapenzi. Yaendelee kujivuna cause Hata hivyo "Sex is good."
Kuna makabila hapa yameshikilia tasnia ya Usanii, wanamuziki wengi wanatokea huko, sioni anayelalamika ukabila.
Hakuna anayewapinga kwasababu ya Ego.
Wahindi na waarabu tangu enzi ya Nyerere wanakaa magorofa ya NHC. Waswahili wanafanya kazi serikalini lakini wanakaa maeneo yalio hatari kwa afya zao pamoja na kukosa huduma. A Mji ukijengwa wao wako mjini. Hawana maskini Biashara wameshika wao. Petty na GRand Corruption za serikalini wanashiriki ile mbaya.
Hakuna anayechonga mdomo kuhusu wao kubebwa na jamhuri.
Wazenji wakiwemo wapemba na waunguja wanajichumia tu shamba LA bibi. Wakina bahkresa wanatJirika huku kwetu. Sisi huku hatuna tunachonufaika kutoka visiwani. Na hakuna mtizedi anachonga genga kulalamikia hili. Tens sometimes ukisema wanakuona mdini na unampinga baba wa Taifa.
Lakini sisi wazalendo wa hii nchi tunanung'unikiwa. Mi nadhani nafasi za makabila mengine wamechukua wageni. Muwadai hao.
N next time msilogwe kumwekA mswahili kwenye urais. Mlimweka mwinyi mlishuhudia mishahara ili vyokuwa inachelewa.
Na huyu mswahili ameua Ajira kabisa . mNAANZA kuchonga. Na mlimwita hendisome. My foot.
Nb: Edwin mtei na mchagga aliyepewa dhamana na nyerere. Tujiulize naye nyerere alikuwa mchaga akamwamini mchaga.
Mramba na wengineo.
Mpaka Leo kwenye huduma za jamii makabila haya matatu Bado yana watu. Nenda muhimbili. Na hii ni kwakuwa Wana akili sana na wanasoma vitu vigumu ambavyo hata waswahili hawawezi.mkianza kusema waondolewe huko, wakati nyinyi wengine uwezo mdogo tutafanyaje?. Nyie Lazima mkubali hawa jamaa kwenye Elimu wako juu sana.
Akili wanazo bhana. Chezea mikoa ya wanaokula ndizi.
Ugali ni tatizo.