Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Dua, Mswahili, et al... naombeni majibu yenu...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, TRA wanasema nini? Mabosi wawili wa TRA wamekubali kushiriki kwenye mdahalo nitakaouandaa kuhusu ukabila TRA tukipitia "data" za ndugu yetu "Mswahili" moja baada ya nyingine. Hata hivyo ili mjadala huu unoge nawaomba "Mswahili" na "Dua" na mtu mwingine yeyote kama Mkandara hivi washiriki upande wa wale wanaotetea uwepo wa ukabila. Kama mko tayari ili kukata kizabizabina hiki cha ukabila tupangesiku katika ya weekend hii ya tarehe 17 na ile ya tarehe 24 kufanya majadiliano hayo kwa njia ya simu. Msiwe na shaka mitambo yangu inaweza kuunganisha hadi watu 6 kwa wakati mmoja.
Naomba mkubali ombi langu.
M. M.
naomba muwashinikize wakubali.... ili tuweza kujua zipi pumba na upi mchele!
Dua, Mswahili, et al... naombeni majibu yenu...!
Inafurahisha sana kuona mtu anaandika msg then anajijibu.
Kweli mnaendelea vizuri sana siku hizi. Karibuni sana.
FD
nimeshakutumia... naona mlikuwa mnachukua muda kusema "ndiyo au hapa" na nikijua mko tayari kushiriki basi mipango iendelee kwa haraka.. jambo hili linahitaji majibu thabiti. Nashukuru kwa kukubali kwako. Namsubiri mheshimiwa Mkandara na Mswahili.
Kwani tunaingia kwenye mtandao wakati mmoja? Lazima uelewe kila mtu ana kuja kwa mpango wake na jinsi mtu anavyosoma ndio anajibu. Nimejibu kama mimi binafsi na ni muda mfupi tu ndio nimeingia.
quote from Hansard:
MHE. STEPHEN M. KAHUMBI: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza ninakiri
aliyosema Waziri wa Fedha kwamba, tumefanya kazi kwa muda mrefu vizuri sana na
hatuna matatizo na ndiyo maana nilikuwa nasitasita kuzungumza wakati wa hotuba yake
ya kwanza. Sasa kilichonistusha mimi ni ile barua kwa sababu nilichangia tarehe 29
tarehe 2 ikaandikwa barua na ukichukua na yale majibu aliyoyajibu Waziri wa Kazi,
nikapewa nakala. Kwanza, mimi sikuwepo kwenye kesi, angepewa nakala aliyehukumu,
Waziri wa Kazi kwamba, hatukuikubali. Lakini maelezo aliyoyatoa Mheshimiwa Waziri,
yameniridhisha. Mimi sikujua yalivyokuwa huko ndani. Kwa hiyo, mimi namwomba
Waziri wa Fedha, tuendelee kama kawaida. (Makofi)
Hongera Baada ya miaka mingapi umeingia mjini?Vijiwe vingi havina shamra shamra uliyoizoea na wengi uliwazoea hawapo tena.Fuatilia tupate ukweli.Salaam kwa wote wa kunyumba!Mzee Mwanakijiji,
Nipo ndani ya Dar -es-Salaaama
Mji watu wa na aso mwana aeleke jiwe! nitafuatilia swala hili kwa undani zaidi nikiwa ndani... subirini majibu.
Wanabodi wa Dar nitafuteni napatikana mitaa ya K Tea shop, Chef Pride kwa saaana na Steers. Unjuua tena wapambe wa mjini. Jioni leo ktk chips vumbi ngoma nzito hiyo wala sii mchezo. Home sweet home!
Looh bwana wee hizi speed ya internet mwenyewe nimeshachoka!...
MKJJ!nimesema ni mabosi wenye uwezo wa kujua chochote kinachoendelea TRA na wana majibu.. sasa makabila yao yanahusu nini.. mnaona hatari mliyoianzisha Dua, Mswahili, Mkandara et al.. sasa hata kuzungumza na mtu inabidi ujue kabila lake... !!
Hii ni kampeni ya kuwachonganisha wachaga na makabila mengine ya Tanzania. Jamboforums imekuwa kama gazeti la kihutu kangura lilokuwa likihamisha chuki dhidi ya watutsi.
bwana mswahili,
CHUKI yako na wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro
Dua,
shutuma unazozielekeza kwa wachaga hazina tofauti na makala za chuki gazeti kihutu, kanguru.