Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Heshima kwako mzee,

MKJJ .. samahani mkuu nayatoa hayo maneno mdomoni kwako
 
nungwi.. inaonekana una tatizo la kuelewa...hebu rudi ukurasa mmoja hapo nyuma.. ikitokea nitawaambia..!
 
Mwanakjj.
Nikupe namba ya Kittlya tufanye interview yetu? nimeahirisha safari kwa kusubiri interview hujanitendea wema. utanifanya in future nisiamini maneno yako.
 
Mswahili, kabla sijajibu hoja yako nikuhakikishie jambo moja nalo ni kuwa wewe kutoamini maneno yangu hakuniathiri mimi kwa namna yoyote kwani sina uwezo wa kutawala imani za watu. Pili, kama una namba nyingine zaidi ya ile ya ofisini nipitishie na jitihada zangu zitaendelea. Tatu, inasikitisha kuwa umeacha safari yako kwa kusubiri mahojiano ambayo hayakupangwa tarehe wala muda.
 
Mswahili,

Mpe muda Mwanakjj usiwe na papala ....

Tusonge mbele kuangalia office nyengine tuone kama kweli nako kuna huo unaoitwa ukabila au la.
 
mswahili wewe hiyo safari yako nenda na mpe namba yako mkjj nnategemea mambo yakiwa tayari atakujuilisha tu.

halafu mkjj wacha kuongozwa na hisia ulijuaje kuwa mswahili hakuamini?
 
duh..! mtumwitu, ni yeye aliyesema hivi.. labda hukusoma vizuri.. siongozwi na hisia.. hoja hujibiwa kwa hoja!

"utanifanya in future nisiamini maneno yako."
 
mswahili...mie nafikiri tumpe time mkjj ili aandae hicho kipindi,na zaidi siku hizi DUNIA IMEKUWA KIJIJI so any time or any place utakapoenda naamini unaweza kupata ICT.

mkjj....fanya mambo ili hili suala limalizike twende ktk KITENGO CHENGINE,manake hapa kuna vitengo kama IKULU,Bot etc.
 
JJ...asante mkuu kwa ukaribisho.

JF MEMBERS...........samahani kwa hilo,ingawa nimeingia pasina kubisha hodi.....HESHIMA ZENU ALL MEMBERS.
 
mkuu wa engeneer karibu, maana humu ndani inaonekana kuna madokta wengi ila maengineer kidogo karibu muhandisi wetu sijui wa nini? karibu japo umeingia kwa mlango wa uwani karibu, karibu hadi chumbani tukupe nini? chai au kahawa au uji wa ulezi sema muhandisi, jee tukutandikie mkeka au kigoda au kwenye meza? sema muhandisi wewe ndio wewe karibu kaRIBU
 
Mtumwitu,

Mbona umekuwa mkarimu sana kwa Engineer? Pamoja na kuwa ukaraibu ndio jadi yetu watanzania lakini basi ndio moja kwa moja mpaka chumbani? Makubwa haya jamani. Wantisha sana Mtumwitu.
 
unajua hii nyumba ya familia sasa akaribie hadi vyumbani kwa kaka zake, kyaruzi, mila zetu zinakataza nymba ya mtu na mwandani wake wanandugu kuingia, kwa hiyo nyumba hiyo afikie ukumbini. ila hii ya JF ya family akiwa amechoka akaribie kitanda chochota na apumzike cha john au suleimani
 
Mtumwitu

Are you an engineer by profession?
 
Back
Top Bottom