Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Mzalendo halisi pia unatakiwa ufahamu kwamba hata ajira za pale hazitangazwi straight. Mfano mwaka juzi BOT ilikuwa inataka wahandisi mbalimbali , lakini nafasi zikatoka kama vile interconsult ndio inataka hao watu. Ikumbukwe kwamba inter si employment agent. Mwaka jana pia walihitajika watu wa biashara na uchumi tangazo likatoka kwamba ni PWC wanahitaji hao watu. Watu competent baadhi wamefanya ktk hizo firms na hawataki hata kuzisikia lakini ingekuwa BOT moja kwa moja wengi tungeapply. Kwa kifupi ni kwamba Hata ajira zikiwepo pale huwa utangazwaji wake hauko straight. Hoja basi, hao watoto wa vigogo nahisi huwa wanaambiwa kwamba apply hapo siyo interconsult hiyo. Is this a fair competition???????????
 
naomba kumtoa kijana THOMAS MONGELA,huyu kijana ni kichwa ile mbaya..amemaliza mlimani na ana GPA ya 3.8,ana CPA NA ana MSC IN FINANCE..Aliyomalizia pale Ifm,
kabla ya kuja BOT Alikuwa standard chartered kwa muda wa miaka miwili,
huyu ni competent,ila JABIR KIGODA hamna kitu,
shy,hivi anafanya kazi gani?

Thomas Mongela ame struggle. Correction ni kuwa Thomas alipata GPA ya 4.2 amemaliza Mlimani Bcomm Accounting mwaka 1998.

Form Six alipata B B A, division one point tano!
 
Thomas Mongela ame struggle. Correction ni kuwa Thomas alipata GPA ya 4.2 amemaliza Mlimani Bcomm Accounting mwaka 1998.

Form Six alipata B B A, division one point tano!

at least FD umeweza kuisaidia,tuache majungu kwa vitu vingine,hatuwezi kuacha kumchukua wataal kama thom mongela kisa eti ana undugu na Mama Mongella,after all sio mtoto wa mama Getrude mongella..hata mtoto wa mama Getrude Mongella naye yuko fiti na nondo zimetulia na kama sikosei yuko pale PSPF Director of operations..huyu yuko fiti na anastruggle mwenyewe upata maisha yake
 
Mkombozi,

Ila kama ni kichwa nakubaliana na wewe kabisa kaka. Jamaa mzuri.

Kama unakumbuka niliwahi kusema tusiangalie majina, tuangalie shule na utendaji wao wa kazi. Baba yangu kuwa Salim A Salim kusininyime kazi BOT wala PPF wala IKULU.
 
kama baba yako ni salim A. salim sahau kabisa ...subiri mpaka 2015...endelea kubeba mabox tu(joke)
 
Ngoja nikauke, usije ukajua Id yangu. Unajua wengi humu huchukulia kuwa ukiitetea CCM basi wewe ni mtoto wa Mkubwa!. Sio kweli, angalau wangeniuliza kwanini naitetea au kwanini mimi ni mwanachama wa CCM. Nina majibu mazuri sana!

Naelewa Mzee usijali, ila AU naweza kupata kazi eeh?
 
Ha ha haaaa! Mie niko hapa kazini yaani nacheka kama chizi...This is unbelievable and funny too! Hivi Tanzania yetu ina ugonjwa gani haswa? Mie naona huu ni UKIMWI wa UONGOZI! He he.

There really is nothing much we can do about this BOT issue. There are bigger fish to fry out there ...fish that we haven't even started cleaning yet, sembuse hawa waajiriwa wa BOT? Scandal za migodi, rada, etc havijafanyiwa kitu chochote, itakuwa hawa watoto wa vibosile?

But all in all, these "vibosile" and their families should remember what happened in Rwanda, Burudi and Zimbabwe - Segregation, job discrimination and too many poor people surrounded by a few rich/privelleged people.

The day will come (and very soon too) when all self-respecting Tanzanians will come together and say "enough is enough"! And then all hell will break loose!

Everything has a beginning, and an end. I am frustrated and dissapointed with a lot of issues and things that are happening in Tanzania right now, but then, I hopeful and patient enough to know that this won't last. The small riples that we are making in the waters right now are being noticed out there. Within no time, the ripples will make one big wave that will sweep all this trash to the shore!

Let's not loose hope. Let's keep trying and look forward to a better Tanzania ;-)!
 
Kwa kuongezea tu... naona hao watoto na ndugu wa vibosile wana favor mno, maana (wasichana) hawapitii kero za kutakwa na mabosi kabla hujahakikishiwa kazi. Loh, kweli umaskini huu ni kitu kibaya!

Haya nyie watoto wa vibosile, enjoy yourselves.....ha ha.
 
yeeaaahh:::::vijana nimefurahi kusoma mada zenu kweli zinaonyesha halihalisi kwanini watanzania wanaoenda nje hawarudi
naomba mungu mwenye enzi yote amfunulie jk blog hii kumfumbua macho,,mwisho na wapa changamoto vijana wetu uko nje uku hali ni ngumu bado BOT,PPF,TIC vibopa ni walewale "FISADI JR",msije kusema hamkuambiwa,,wazee na familia zao bado wanazungusha,kuna EL"S,MAHITA"s,MONGEL"S,NK,hapo naona wamekosekana wakina EPSONS"S waunde serikali yao kabisa,,jamani maombi tu ndio yatakayotutoa hapa tulipo ucichoke kumba mungu yupo
 
Unajua hakuna check and balance. Hata wakuu wa wilaya, mikoa wanatesa kivyao. Na asiyetesa ni yule asiyenacho.

Kama tukitaka mafanikio ni lazima tupate watu watakao-implement Zero Tolerance katika level zote za utawala na sio kuwataka vigogo wawajibike - period.
 
yeeaaahh:::::vijana nimefurahi kusoma mada zenu kweli zinaonyesha halihalisi kwanini watanzania wanaoenda nje hawarudi
naomba mungu mwenye enzi yote amfunulie jk blog hii kumfumbua macho,,mwisho na wapa changamoto vijana wetu uko nje uku hali ni ngumu bado BOT,PPF,TIC vibopa ni walewale "FISADI JR",msije kusema hamkuambiwa,,wazee na familia zao bado wanazungusha,kuna EL"S,MAHITA"s,MONGEL"S,NK,hapo naona wamekosekana wakina EPSONS"S waunde serikali yao kabisa,,jamani maombi tu ndio yatakayotutoa hapa tulipo ucichoke kumba mungu yupo

Mzee wa mavituz...utatosha tu,hii ndio inaitwa system..kama mzee wako hakuwahi kuingia humo basi sahau..tujitahidi tu kuwang'oa wazee wao kwa kutumia sanduku la kura na hawa parasite wataachia ngazi huko..
 
naomba kumtoa kijana THOMAS MONGELA,huyu kijana ni kichwa ile mbaya..amemaliza mlimani na ana GPA ya 3.8,ana CPA NA ana MSC IN FINANCE..Aliyomalizia pale Ifm,
kabla ya kuja BOT Alikuwa standard chartered kwa muda wa miaka miwili,
huyu ni competent
,ila JABIR KIGODA hamna kitu,
shy,hivi anafanya kazi gani?

INAWEZA KUWA NI KUTELEZA, lakini Ndio maana niliwahi kusema kwamba JF ni kiboko na hili la kutojuana (isipokua wachache) ni jambo jema sana, linatusaidia, kwamba tunaweza kuwa na watu kutoka popote, BoT, Buzwagi, Bulyanhulu, Polisi, Usalama, jeshini, waandishi, wakulima, wanakijiji, wanasiasa, matapeli, wachungaji, mashehe, warembo, na sisi akina ........... TUENDELEE KUENZI HALI HIYO BILA KUVURUGANA KWA MASLAHI YA TAIFA NA VIZAZI VYETU.. SOTE TUNA AKILI TIMAMU. JF KEEP IT UP.

Ama kuhusu uwezo wa elimu wa baadhi ya watoto hao, nina maoni tofauti kwamba; Kwanza kabisa ukiondoa wachache, wengi wa watoto hao kweli wana elimu nzuri na sababu kwa wengi zinafahamika ni za kimazingira (rejea mfano wa Kayumba) lakini pia ni wangapi wenye uwezo kama huo pia lakini wako mitaani wanazurura kama hawataajiriwa katika sekta binafsi baadhi ambazo hazina hata UHAKIKA WA MAISHA YAO YA BAADAE? Kwa ufupi taasisi nyeti za umma kama BoT na TRA zingekua zinapokea watoto wa masikini ambao wangesaidiwa kwa makusudi ili waweze kuinua familia zao ambazo ni duni na zinamtegemea msomi mmoja ambaye hawezi kuinuka kwa kuwa na kundi kubwa la watu wanaomtegemea. NI MAONI YANGU, ambayo naamini wengi watapingana nayo na wapo watakaoelewa. Mimi kihistoria, NIMEVAA VIATU SEKONDARI TENA PEA MOJA KWA MIAKA MITATU ikipasuka INASHONWA NA KUWEKWA VIRAKA, Chai ya asubuhi ilikua anasa (Day school), nilikua NADOWEA kwa jamaa, wakati mwingine nasubiri chakula cha mchana shuleni (wakati ule bure) na ukishakula ndio wakati mwingine hadi kesho tena, huku mwendo wa kutoka nyumbani hadi shule ni masaa matatu.... HAYA JAMANI INAUMA SAAAAANA
 
ndio niko BOT,wewe unataka nini?kwani watu wa bot hawaruhusiwwi kuchangia?au unataka nikutajie Gavana Mpya atakayeanza kazi December??anaitwa N
 
Mbona unaanza kuleta kiburi kama mkoloni Karl Peter?

bila kuwa na kiburi hauwezi kukata ngebe za watu,Mie nipo kutetea haki tu,Mnyonge mnyongeni ila haki yajke mmpe..ndio maana siku zote siwezi kukumbatia mafisadi ..
nitasema ukweli daima uongo kwangu mwiko
 
Ndhani hii mada inawakera baadhi ya wanufaika na mpango wa "vimemo". Kwa vyovyote vile kama hiyo list ni kweli..tatizo lipo kubwa mno.Shirika moja la umma haliwezi likachukua watoto wa viongozi wengi kiasi hicho..yaani almost kila kiongozi wa juu ana mtoto/ndugu wa karibu pale!! Kuna namna. Ndugu zangu hii nchi sasa ni too corrupt, inajiendea ovyo ovyo, sasa watu wanajitahidi ku-grab as quick as possible..ndoo maana wanasaidiana na watoto na wajukuu zao. Hiyo BOT yenyewe mascandal ya ulaji chungu nzima bado inashindiliwa pontential fisadis..mmmh.
Wewe MTU na MZALENDOHALISI mkubali msikubali kuna namna chafu tuuuuu...hapo si qualification peke yake..vinginevyo hiyo concentration ya watoto wa vigogo isingekuwa kubwa hivyo; wangekuwepo wawili watatu lakini sio team kubwa hivyo. Ati GP ya 3.8..bull shit! watoto wa walalahoi wangapi wanatoka na hizo kila kukicha.

IPO SIKU WATZ WATACHOKA....Ivory Cost kulikuwa na amani na ustawi kuliko hapa lakini wachache wakaichezea..sasa wanaililia..HATUTAKATA TAMMAA.

nimesoma comments nyingi zilizotolewa na nina mawazo yafuatayo:
i) Yaonyesha wengi ya wanaoingia humu hawana upeo wa kufikiri na wanalaumu tu bila kuangalia point iko wapi. Wachache sana wakp bright, wana upeo wa kuchambua na wanatoa points accordingly

ii) Aliyeleta topic pia anaonyesha ana ufinyu wa mawazo, kwani hiyo list alipoipata haikuwa na sababu ya yeye kucomment kama alivyosema eti wanaoshikilia uchumi wa nchi yetu... mind u BOT is a financial institution but does not only employ wachumi au watu wa biashara, finance etc. Pale kuna watu wa aina mbali mbali watu wa HUman Resources Mgt, Watu wa Computer kusupport all the systems available in this developing world. Pia kuna ma-engineer, kuna watu wa afya, kuna walizi na kila aina ya kazi sasa usiseme wachumi wanaosimamia nchi si kila mtu ni mchumi

iii) BOT ina wafanyakazi zaidi ya 3000, hao mliowalist hapo ni wangapi... na ni percentage ngapi overall? kuna ubaya gani mtu mzazi wake akiwa na nafasi nae akaajiriwa ktk oganisation kubwa kama anaqualify?

iv) wengi wamesema kielimu wengi wako juu, wewe kama mzazi wako amesoma kwa kustruggle akafikia position ya juu unafikiri atakuaxha ufail maisha? Mie naamini kama wazazi wao wamefikia walipofika wana kila sababu ya kuwa somesha watoto wao, kuwapa the best education one can imagine na hata wanapotafuta kazi watapata kwa sababu wana qualify.... na mzazi mwenye busara hawezi kumbeba tu mwanae amweke ktk position ambayo sooner or later itamshinda.

V) kama bahati mbaya wewe mzazi wako hakukusomesha vile ungependa iwe, jitahidi usomeshe wanao nao siku 1 watakuwa ktk post nzuri... usikae tu kupayuka na kulalama wakati haikusaidii kitu. Cha muhimu uongozi huenda ukibadilika kama hawafai in a short period of time wazazi watatoka ktk post na tutaona kama wataendelea kuwepo....

vi) guys, upendeleo kama unakuwepo mahali si kwa sababu ya positions za wazazi tu bali ni tabia za mtu... na hapo hapo BOT kuna watu hawana qualification na wameajiriwa just bcoz wanatoa kitu fulani kwa hao wanaoajiri.... sasa nyie mwalalama kuhusu hao waliosomeshwa ambao wazazi wao wamefanya right thing, na ujuzi unatumika humu humu nchini mnawasahau wanaoingizwa kwa rushwa za ngono, wasiofaa kwa lolote... i think u r barking at the wrong trees

Be smart
 
Yani Vicky Kamata ndo meneja uhusiano BoT? they are kidding! hizi favor sasa zitatumaliza. anachojua zaidi ya kuimba nyimbo za kumsifu kikwete na serikali yake na ccm ni nini? Zaidi ya degree aliyopata SAUT miaka hii ya karibuni elimu yake nyingine ni ipi kwa mnaojua? uzoefu? ndio ajira yake ya kqwanza i guess, am i right? i am just shocked
 
Kuna mtu anajua kiwango chake cha elimu?
 
Mungu saidia wanyonge, wanyanyue toka mavumbini kwa mkono wako
usioshindwa wala kupingwa!!! Tunaekea kwenye shimo kubwa sana watanzania ...sisi watoto wa wakuliwa (wakulima) tutaendelea kuwa maskini hata tuliofluke kwa bahati bahati na kupata vidigrii tutaishia kukosa ajira
 
Back
Top Bottom