Jamaal Malinzi hii haikubalikiRais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
Eti Zitto anachukiwa kwa unini wake? Nikumbushe nimesahau.....aah; ulisema ni kwa u-non chaga wake.Wana yao waache na umbulula wao. Kuangalia ukabila tu utafikiria wanataka kutambika ndo maana hatuendelei.
Ulitaka umpende ukamchumbie au umpendee nini.
Kiuzoefu Henry Tandau Na Mwesigwa nani anafaa? Kigezo CHA Uhaya ndo kimembeba MwesigwaSijajua kwanini wa2 wanakazania MALINZI kutoa ufafanuzi. Yeye mwenyewe jana alilitolea maelezo kuwa hajali dini, mtu au kabila lake. Anachokijali ni soka la bongo na utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi. Kelele za nini sasa, watu mnawahi kuangalia majina ya ubini badala ya weledi wa mtu?
After all we work with the people we know best!
Jamaal Malinzi hii haikubaliki
Mwesigwa UWEZO wake ni MDOGO sana na hata alifukuzwa na Yanga!
Huyu jamaa alikuja hapa JF wakati wa kampeni kumbe ziro kabisa!Haiwezekani ni WAHAYA tu ndiyo wanafaa kuongoza TFF!Tupo watz karibia Million 50
pumba fu kwani walijichagua? acha u senge je kama imetokea by coincidence je? nyie ndo wale ------- msemo chadema ya wachaga, mwacgen malnz apige kaz yake, maadam hai wahaya wamechaguliwa na kamati tendaji na anaina wanafaa kufikia lengo lake
Acha umbea naww,unapoanza kumchungua mtu kwa kabila lake n dhambi kunwa sana y usimchunguze kwa utendaj wake?
Ndo Rais huyo utake ustake unataka kuleta mawazo mfu kama ya muasisi wa Chadema aliposema tume ya Katiba imejaza Waislam tupu.....hahahahha kabla hujapost uliza watu wanaokuznguka kwanza div v ww
Kumbe kule kuanza kwa "kishindo" ilikuwa ni "diffensive mechanism". Malinzi tahadhari usiwe huu ni 'mwanzo wa mwisho wako'
Usimseme mtu usiyemjua siku ukimjua utaaibika. Ulikuwa wapi kugombea. Acha tabia za kike mwanaume wewe.
Ni kweli kabisa mkuu,tena bora hata wachaga wana chembe za.utu.lakini hao wahaya loh!
Sehemu yoyote yenye ukabila wana tumia sababu ya"KUKIDHI VIGEZO" kuhalalisha ukabila.
Hizi ni baadhi ya sehemu/ofisi zenye ukabila:
1.DTV,
2.VODA
3.CRDB
4.BANDARI
5.UDSM
6.......endelea
wewe ulishashindwa acha wenzio wafanye kazi ,eti niliwaonya .
Ni mtazamo tu mkuu wala sikupingi!!!!Kiuzoefu Henry Tandau Na Mwesigwa nani anafaa? Kigezo CHA Uhaya ndo kimembeba Mwesigwa
Mkuu bora umeweka hizi SIFA....Sasa sijui ni kipi hasa kimepelekea Mwesiga asiye na sifa kupewa nafasi hiyo...Kuna mambo ambayo kama wapenda mpira lazima tuyakemee kwa nguvu zote. Kitendo cha malinzi kuwajaza watu TFF kwa vigezo vya makabila yao hakikubaliki. Chukua mfano nafasi ya katibu mkuu, tangazo lao lilitaka mtu mwenye sifa zifuatazo
Key qualifications and experience
-At least seven years' working experience, with at least three years in managerial post;
-Hold a related second degree in Business Administration, Sports Administration and Management, Physical Education or equivalent qualifications
-Self-starter, proactive, independent, motivated, team work and with an outgoing personality;
-Excellent communication skills;
-Strong interest in sports, especially football;
-Strong Kiswahili and English communication skills (Oral, written and presentational). Knowledge of other International languages shall be an added advantage;
-Proficient in computer system and micro office suites
-A football background, i.e a former player, referee, coach or administrator but not necessarily at international level will be an added advantage.
Lakini huyo mwesigwa hana sifa hizo. Kulingana na tangazo la malinzi mwesigwa ana bachelor ya international relation, nafasi ya katibu mkuu ilihitaji mtu awe na masters ya uongozi, michezo na Physical education. Sasa kama siyo ukabila kwa nini wamemchukua mtu ambaye hana sifa na kuwaacha watu kama henry tandau wenye elimu inayohitajika na experience. Naweza kusema jamaa ameanza vibaya na hata fika mbali kwa uongozi huu wa kikabila