Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
Jamaal Malinzi hii haikubaliki

Mwesigwa UWEZO wake ni MDOGO sana na hata alifukuzwa na Yanga!

Huyu jamaa alikuja hapa JF wakati wa kampeni kumbe ziro kabisa!Haiwezekani ni WAHAYA tu ndiyo wanafaa kuongoza TFF!Tupo watz karibia Million 50
 
Last edited by a moderator:
Daah nendeni na tra mpunguze wachaga uko..mbna cjawaskia mkilalamika kuhusu mtembezi kupendelra kwao bagamoyo?mbna amjamsema mwakyembe anavopendelea wanyakyusa ofsin kwake..?la malinzi ndo mnajifanya linawauma saana..hasa hasa nyie wachanga ndo mnapiga kelele za kishamba hapa jukwaani..acheni wivu wa kifala..kwa hyo sisi wahaya atutakiwa kuomba kuajiliwa tff kwakua rais ni wakabila letu?watanzania mtaishia kulalamik! tu..
 
Wana yao waache na umbulula wao. Kuangalia ukabila tu utafikiria wanataka kutambika ndo maana hatuendelei.
Eti Zitto anachukiwa kwa unini wake? Nikumbushe nimesahau.....aah; ulisema ni kwa u-non chaga wake.
 
Mamndenyi umeona inavyouma eeeh!!! We mwenyewe umejawa na ukabila kwa kuikandia chadema eti ni ya wachaga.

Kumbe nawe umenotice, honestly huwa simuelewi huyu mmama. Anaway ngoja nimpotezee.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Alie innitiate huu mjadala ni eddo kumwembe and tatizo kubwa ni kua shaffih dauda kapata yeye kakosa
 
Ulitaka umpende ukamchumbie au umpendee nini.

naona mhaya upo bize unamtetea mhaya mwenzako. Nashindwa kuelewa kwa nini nyie wahaya mnakuwa wakabila kiasi hiki.
Jamaa kuwa raisi mwezi mmoja tu amewajaza wahaya wenzake hapo tu. Inamaana hamna watanzania wengine wenye sifa za kuwa viongozi tff. Prove me wrong
 
Sijajua kwanini wa2 wanakazania MALINZI kutoa ufafanuzi. Yeye mwenyewe jana alilitolea maelezo kuwa hajali dini, mtu au kabila lake. Anachokijali ni soka la bongo na utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi. Kelele za nini sasa, watu mnawahi kuangalia majina ya ubini badala ya weledi wa mtu?

After all we work with the people we know best!
Kiuzoefu Henry Tandau Na Mwesigwa nani anafaa? Kigezo CHA Uhaya ndo kimembeba Mwesigwa
 
Jamaal Malinzi hii haikubaliki

Mwesigwa UWEZO wake ni MDOGO sana na hata alifukuzwa na Yanga!

Huyu jamaa alikuja hapa JF wakati wa kampeni kumbe ziro kabisa!Haiwezekani ni WAHAYA tu ndiyo wanafaa kuongoza TFF!Tupo watz karibia Million 50

Mkuu nakubaliana na wewe. uwezo wa kielimu na kishule wa mwesigwa ni mdogo sana ukilinganisha na watu aliokuwa anagombea nao. Yeye kuwa mhaya ikawa tiketi ya kuchaguliwa
 
pumba fu kwani walijichagua? acha u senge je kama imetokea by coincidence je? nyie ndo wale ------- msemo chadema ya wachaga, mwacgen malnz apige kaz yake, maadam hai wahaya wamechaguliwa na kamati tendaji na anaina wanafaa kufikia lengo lake

Hivi haiwezekani kutoa hoja na kueleweka bila kuweka matusi ndani yake? Nyie ndio mnasababisha sie wengine tuiogope JF siku hizi
 
Kuna mambo ambayo kama wapenda mpira lazima tuyakemee kwa nguvu zote. Kitendo cha malinzi kuwajaza watu TFF kwa vigezo vya makabila yao hakikubaliki. Chukua mfano nafasi ya katibu mkuu, tangazo lao lilitaka mtu mwenye sifa zifuatazo

Key qualifications and experience
-At least seven years' working experience, with at least three years in managerial post;
-Hold a related second degree in Business Administration, Sports Administration and Management, Physical Education or equivalent qualifications
-Self-starter, proactive, independent, motivated, team work and with an outgoing personality;
-Excellent communication skills;
-Strong interest in sports, especially football;
-Strong Kiswahili and English communication skills (Oral, written and presentational). Knowledge of other International languages shall be an added advantage;
-Proficient in computer system and micro office suites
-A football background, i.e a former player, referee, coach or administrator but not necessarily at international level will be an added advantage.

Lakini huyo mwesigwa hana sifa hizo. Kulingana na tangazo la malinzi mwesigwa ana bachelor ya international relation, nafasi ya katibu mkuu ilihitaji mtu awe na masters ya uongozi, michezo na Physical education. Sasa kama siyo ukabila kwa nini wamemchukua mtu ambaye hana sifa na kuwaacha watu kama henry tandau wenye elimu inayohitajika na experience. Naweza kusema jamaa ameanza vibaya na hata fika mbali kwa uongozi huu wa kikabila
 
Kisa we ni Mhaya unatetea upuuzi huo kwani makabila mengine hayawezi kuongoza mpira? hapo ndo Nyerere tunapomkumbuka kuhusu haya makabila 3

Acha umbea naww,unapoanza kumchungua mtu kwa kabila lake n dhambi kunwa sana y usimchunguze kwa utendaj wake?
Ndo Rais huyo utake ustake unataka kuleta mawazo mfu kama ya muasisi wa Chadema aliposema tume ya Katiba imejaza Waislam tupu.....hahahahha kabla hujapost uliza watu wanaokuznguka kwanza div v ww
 
Kumbe kule kuanza kwa "kishindo" ilikuwa ni "diffensive mechanism". Malinzi tahadhari usiwe huu ni 'mwanzo wa mwisho wako'
 
Kumbe kule kuanza kwa "kishindo" ilikuwa ni "diffensive mechanism". Malinzi tahadhari usiwe huu ni 'mwanzo wa mwisho wako'

Haka kajamaa Malinzi ni kapu uzi tu!

Diversification ni muhimu sana kwenye mambo ya uteuzi!Hata kama Katiba inakuruhusu inabidi atumie common sense tu!Je tungejisikiaje kama JK angeteau Baraza lake lote la Mawaziri toka Pwani?

Miaka yake minne itapita hivi hivi bila lolote la maana haka kavulana!
 
Usimseme mtu usiyemjua siku ukimjua utaaibika. Ulikuwa wapi kugombea. Acha tabia za kike mwanaume wewe.

Nisingemjua kuwa ni mwizi nisingemsema, lakini kwavile namjua yeye na genge lake ndio maana nikatoa tahadhali ambayo mburula kama wewe unafikiria ni wivu!!! Katerelo imekuharibu wewe mbwiga!!!
 
Ni kweli kabisa mkuu,tena bora hata wachaga wana chembe za.utu.lakini hao wahaya loh!
Sehemu yoyote yenye ukabila wana tumia sababu ya"KUKIDHI VIGEZO" kuhalalisha ukabila.

Hizi ni baadhi ya sehemu/ofisi zenye ukabila:
1.DTV,
2.VODA
3.CRDB
4.BANDARI
5.UDSM
6.......endelea

Chuki binafsi kwa Wahaya. Kama kuna watu wema na wastaarabu ktk nchi hii ni Wahaya. Watu wanaamini simulizi za kijinga kutoka kwa watu wenye wivu,husda na chuki eti Wahaya ni wakabila.
 
Soka letu ndio ninaelekea kuzimu,Malinzi zaidi ya kulipa visasi ni kuwapa ulaji marafiki,sitashangaa wakati wakiongea na wakuu wa kamati lugha ikawa kihaya/english kwani jamaa ni wasomi,pia yupo na DALALI darasa la saba
 
Kuna mambo ambayo kama wapenda mpira lazima tuyakemee kwa nguvu zote. Kitendo cha malinzi kuwajaza watu TFF kwa vigezo vya makabila yao hakikubaliki. Chukua mfano nafasi ya katibu mkuu, tangazo lao lilitaka mtu mwenye sifa zifuatazo

Key qualifications and experience
-At least seven years' working experience, with at least three years in managerial post;
-Hold a related second degree in Business Administration, Sports Administration and Management, Physical Education or equivalent qualifications
-Self-starter, proactive, independent, motivated, team work and with an outgoing personality;
-Excellent communication skills;
-Strong interest in sports, especially football;
-Strong Kiswahili and English communication skills (Oral, written and presentational). Knowledge of other International languages shall be an added advantage;
-Proficient in computer system and micro office suites
-A football background, i.e a former player, referee, coach or administrator but not necessarily at international level will be an added advantage.

Lakini huyo mwesigwa hana sifa hizo. Kulingana na tangazo la malinzi mwesigwa ana bachelor ya international relation, nafasi ya katibu mkuu ilihitaji mtu awe na masters ya uongozi, michezo na Physical education. Sasa kama siyo ukabila kwa nini wamemchukua mtu ambaye hana sifa na kuwaacha watu kama henry tandau wenye elimu inayohitajika na experience. Naweza kusema jamaa ameanza vibaya na hata fika mbali kwa uongozi huu wa kikabila
Mkuu bora umeweka hizi SIFA....Sasa sijui ni kipi hasa kimepelekea Mwesiga asiye na sifa kupewa nafasi hiyo...

Haya ni maajabu ya mwaka kama sio karne...
 
Back
Top Bottom