Kuna mambo ambayo kama wapenda mpira lazima tuyakemee kwa nguvu zote. Kitendo cha malinzi kuwajaza watu TFF kwa vigezo vya makabila yao hakikubaliki. Chukua mfano nafasi ya katibu mkuu, tangazo lao lilitaka mtu mwenye sifa zifuatazo
Key qualifications and experience
-At least seven years' working experience, with at least three years in managerial post;
-Hold a related second degree in Business Administration, Sports Administration and Management, Physical Education or equivalent qualifications
-Self-starter, proactive, independent, motivated, team work and with an outgoing personality;
-Excellent communication skills;
-Strong interest in sports, especially football;
-Strong Kiswahili and English communication skills (Oral, written and presentational). Knowledge of other International languages shall be an added advantage;
-Proficient in computer system and micro office suites
-A football background, i.e a former player, referee, coach or administrator but not necessarily at international level will be an added advantage.
Lakini huyo mwesigwa hana sifa hizo. Kulingana na tangazo la malinzi mwesigwa ana bachelor ya international relation, nafasi ya katibu mkuu ilihitaji mtu awe na masters ya uongozi, michezo na Physical education. Sasa kama siyo ukabila kwa nini wamemchukua mtu ambaye hana sifa na kuwaacha watu kama henry tandau wenye elimu inayohitajika na experience. Naweza kusema jamaa ameanza vibaya na hata fika mbali kwa uongozi huu wa kikabila