majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
***###@@@&&&****+";,!!?%%%&****###@@@ "-----........;;;;;''''''''!!!!!!!!++++++///////¥¥¥¥¥₩₩₩₩₩®®®®©©©©§§§}}}}]]|||||||_====>>»«\¢¥¡¿=~©°`][|}{><_=~$¡¿¥₩🙂x-🙂-o:-@:-qxd:-x=-o:-*😱:-/:-$:-|:-!:-o:-@:-qxd:-v<3o🙂;-):-🙂-):-*o_o:-/b-):-$:-!x-🙂-|o_o:-d:-x:'🙂-\#####*&$¥₩§^`°°]§₩«\¡£¢§^®©.
bahati yako naheshimu kununi zinazo liongoza jukwaa hili, lasivyo ningekupa tusi hilo hata baba yako na mama yako hawajawahi kulisikia. Tena naomba usini quote.
bakari mbonde(mbunge-rufiji 1990-2000) alikuwa waziri ofisi ya waziri mkuu kutoka mwaka 1990-95!
Mbonde anatoka rufiji
umeamua kumwaga radhi?
Mhaya akiwa rais wa nchi unapata picha gani hapo.
Mamdenyi wachakaeekeamba kotema na. Tondo. Now a tondo mleke mbovha ichu naitema name kite nesia
Mhaya sawa na mtusi tu. Atajidai wameangalia uwezo na sifa wakati kila kitu kimepikwa kupendelea wahaya. Wengi tulikua na mashaka na malinzi kuhusu good governance. Tenga alisifika kwa utawala bora cha ajabu malinzi ametimua personnel yote ya tenga ili awajaze wahaya.Well done Jamal Malinzi...
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...
Asante sana. World cup here we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
okay basi Malinzi ajitokeze hadharani kutoa ufafanuzi, vinginevyo hatuwezi kumuelewaaiseeee alitakiwa kumix?imekuwa pilau hiyo?
Hivi kuna wenye sifa walinyimwa? Hivi jamali ndio anafanya usaili?
Umetumwa au unaota.
sio rahisi kwa zama hizi kuweza kupata nafasi yoyote ya kazi kwa mgongo wa ukabila, hasa taasisi kubwa kama TFF
watu wamepata kazi kutokana na sifa zao na uzoefuwa kazi na si vinginevyo!
Unataka ufanyiwe wewe hiyo kate. Unaota ndoto kwamba malinzi kapatia utajiri tff ambako hata mishahara mitatu hajaipokea. Nawa miguu uendelee kukoroma.