Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

***###@@@&&&****+";,!!?%%%&****###@@@ "-----........;;;;;''''''''!!!!!!!!++++++///////€€€€¥¥¥¥¥&#65510;&#65510;&#65510;&#65510;&#65510;®®®®©©©©§§§}}}}]]|||||||_====>>»«\¢¥¡¿=~©°`][|}{><_=~$€¡¿¥&#65510;🙂x-🙂-o:-@:-qxd:-x=-o:-*😱:-/:-$:-|:-!:-o:-@:-qxd:-v<3o🙂;-):-🙂-):-*o_o:-/b-):-$:-!x-🙂-|o_o:-d:-x:'🙂-\#####*&$¥&#65510;§^`°°]§&#65510;«\¡£¢§^®©.

kama wewe ndiye msomi unayetegemewa tutegemee nini kwa akina yakhe? Hii nchi kazi tunayo!
 
bahati yako naheshimu kununi zinazo liongoza jukwaa hili, lasivyo ningekupa tusi hilo hata baba yako na mama yako hawajawahi kulisikia. Tena naomba usini quote.

kufanya kazi nzuri mnataka, lakini juhudi za kuandaa mazingira ya kazi nzuri hamtaki!
 
sio rahisi kwa zama hizi kuweza kupata nafasi yoyote ya kazi kwa mgongo wa ukabila, hasa taasisi kubwa kama TFF
watu wamepata kazi kutokana na sifa zao na uzoefuwa kazi na si vinginevyo!
 
bakari mbonde(mbunge-rufiji 1990-2000) alikuwa waziri ofisi ya waziri mkuu kutoka mwaka 1990-95!

Mbonde anatoka rufiji

huyu jamaa ananishangaza sana kwani hata historia ndogo ya jimbo lake haifahamu, atakuwa na hangover ya ngoma ya kumnema mwali huyu.
 
Mamdenyi wachakaeekeamba kotema na. Tondo. Now a tondo mleke mbovha ichu naitema name kite nesia
 
Naangalia hapa akuna mchaga wala mhaya anaejibu...kama shuleipo Aachen mbiona wachagatumejaaa Tra.ITV.bimakidogo.bandarikiasi....makanisani zaidii
 
Well done Jamal Malinzi...

Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...

Asante sana. World cup here we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
Mhaya sawa na mtusi tu. Atajidai wameangalia uwezo na sifa wakati kila kitu kimepikwa kupendelea wahaya. Wengi tulikua na mashaka na malinzi kuhusu good governance. Tenga alisifika kwa utawala bora cha ajabu malinzi ametimua personnel yote ya tenga ili awajaze wahaya.
 
Jamali vipi kaja kujibu?nilishaona dalili huyu jamaa hata siku aliotangazwa kushinda,alijishauri sana kuja kutoa shukrani
 
Last edited by a moderator:
Mbona sijaona uhaya katika majina ya hao walioteuliwa/ajiriwa?
 
Mbona sijaona uhaya katika majina ya hao walioteuliwa/ajiriwa?

Majina ya asili yamefunikwa, wewe Katavi ukitumia majina ya kizungu yote mawili tutajuaje wa kutoka kwa kina Kayanza Mizengo?
 
Last edited by a moderator:
sio rahisi kwa zama hizi kuweza kupata nafasi yoyote ya kazi kwa mgongo wa ukabila, hasa taasisi kubwa kama TFF
watu wamepata kazi kutokana na sifa zao na uzoefuwa kazi na si vinginevyo!

je mwesiga anauzoefu gani!? na mbona hana masters kama ilivyoainishwa kwenye qualifications!?
 
Unataka ufanyiwe wewe hiyo kate. Unaota ndoto kwamba malinzi kapatia utajiri tff ambako hata mishahara mitatu hajaipokea. Nawa miguu uendelee kukoroma.

Hawa matajiri uchwara hawaridhiki na walichoiba watataka kuiba zaidi!! Kwani hawa wahindi waliotuibia kwenye EPA walikuwa maskini? Wizi ni tabia ya mtu na matajiri ndio wezi wakubwa.
 
Back
Top Bottom