Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Kapanga safu yake ya ushindi tusubiri tuone, baada ya mwaka tuta rate utendaji wake wa kazi.
 
Kweli ubinadamu kazi. Mmeanza kuichokonoa hata tff. Nafasi si zinagombewa. Hata akiteuliwa mwenye qualification zake nayo shida. Watu kushinda vijiweni wakipika umbeya na kufuatilia wenzao kwenye makalio ndo mtindo wa bongo ndo maana hamuendelei.
 
Ndiyo Watanzania tukubali kwamba kuna baadhi ya makabila hayatakiwi kukabidhiwa nchi. Kwa sababu swala la ukabila ni asili , hivyo hutokea automaticaly. Swala la kusema wana elimu ya kutosha sikubaliani nalo coz kila kabila kwa sasa ina wasomi.
 
Mimi niliwahi kusema malinzi ni mhuni na mwizi wa fedha watu wakanibishia, mtaipata fresh sasa

Mimi pia niliwaonya kuwa Huyo Malinzi alikuwa anataka hicho cheo kibiashara zaidi na hiyo timu aliyoipanga ni kufanikisha malengo yake ya wizi; it will not take long before I am vindicated!!!
 
Kwakweli Wahaya wana tabia ya ajabu sana,hawa jamaa hawana aibu ktk kupendelea kabila lao.Huwezi kuweka kabila lako tupu kwenye uongozi kiasi hiki BILA HATA UOGA,HII INALETA CHUKI?Tenga aliona mapema hizi vurugu.
 
Mimi pia niliwaonya kuwa Huyo Malinzi alikuwa anataka hicho cheo kibiashara zaidi na hiyo timu aliyoipanga ni kufanikisha malengo yake ya wizi; it will not take long before I am vindicated!!!

Usimseme mtu usiyemjua siku ukimjua utaaibika. Ulikuwa wapi kugombea. Acha tabia za kike mwanaume wewe.
 
Kwani anayechagua nafasi hizo zinazohitaji mtu mwenye sifa zinazofaa ni panel au mtu mmoja? Kama Mgogo hakuomba nafasi atachaguliwaje? Nafasi ya kazi inatangazwa, wanaomba watu wa jamii fulani kwa wingi, huoni probability that atakayechaguliwa atatoka miongoni mwa wale ni kubwa?
 
Haya ndio mambo ya kijinga ambayo hatutaki,
Kinachotakiwa hao watu wawe na sifa zinazotakiwa katika nafasi hizo basii!!,
Makabila yao sisi yantuhusu nini?
Hii toka kwa Edo Kumwembe:
Asante Jamal Malinzi, wewe mwenyewe mhaya, Katibu mkuu mpya TFF mhaya,Mkurugenzi mkuu wa sheria mhaya, mshauri kamati ya ufundi mhaya, Mwenyekiti wa kamati ya maadili mhaya, mwenyekiti mpya kamati ya uchaguzi mhaya! Asante sana, world cup here we go!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mbona Malinzi mbona alikuwa anajitokeza sana jamvini baada ya uraisi akasepa Kyoma vp bwana umeniangusha sana katika hilo hata aibu hukuona??!!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Mnamtaka hapa ili mmfanyeje kwenye mazingira kama hivi unaweza kusogea kweli
 
Wana yao waache na umbulula wao. Kuangalia ukabila tu utafikiria wanataka kutambika ndo maana hatuendelei.
Mamndenyi umeona inavyouma eeeh!!! We mwenyewe umejawa na ukabila kwa kuikandia chadema eti ni ya wachaga.
 
Last edited by a moderator:
inawezekana jamaa si mkabila kabisa, alikuwa anaangalia vigezo wakapita wote hao. angekuwa mkabila angeshanotice hilo na angechanganya, wazo la ukabila halikuwepo kichwani mwake ndio maana unaona hakuwa na caution yeyote ya ukabila. kama angekuwa na akili ya kikabila angejistukia, hana akili hiyo ndio maana unaweza kuona sasahivi ndio anastuka kuwa kumbe sote tumekuwa wahaya, si ajabu hata hajui kama wote hao ni wahaya.

sio kweli wahaya wanajulikana kwa ukabila tokea zamani,si ajabu hata timu ya taifa uhaya ikawa ni kigezo cha kuchaguliwa
 
Uzi huu kaleta Remote! Humu ndani ww ndiyo unajibu..mods hebu check hii.
Hapana mkuu zilikuwa ni thread mbili tofauti ya Remote ilikuwa na heading 'Well done Jamal Malinzi...' na ya kwangu ilikuwa na heading 'Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea' chini ikiwa na maneno haya:

Kwa mujibu wa post kwenye wall ya Facebook ya Edo Kumwenbe inaonekana viongozi wote wa TFF waliotangazwa tarehe 24/12/2013 na Rais wa TFF Jamal Malinzi ni Wahaya, na kuna nafasi nyingine ziliombwa lakini hazipata watu kutokana na waombaji 'kukosa' sifa...

Ni vema ndugu JAMAL MALINZI ukalitolea ufafanuzi hili na pia si vibaya ukatueleza ni nani alisimamia mchakato huo wa ajira za TFF ambazo zimetangazwa muda mfupi na wahusika wamepatikana haraka sana....

Hii ndio post ya Edo kule Facebook....

Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.

Na hii ni taarifa ya tarehe 24/12 ya Malinzi kuhusu viongozi wapya wa TFF;

TFF+1.PNG


TFF+2.PNG




TFF+3.PNG
 
Ukabila ndiyo unatufanya tusiendelee! Ni dhambi kubwa kutetea udini

Siku zote naamini Tanzania itaanza kusonga mbele kwa kasi pindi makabila viongozi wakitambua wajibu wao kuchukua jukumu la uongozi ktk sekta zote muhimu za nchi hii.
Namuunga mkono Jamal. Piga chini wazee wa majungu.
 
Mnamtaka hapa ili mmfanyeje kwenye mazingira kama hivi unaweza kusogea kweli

Pamoja na kumtetea sana malinzi lakini ukweli unabaki palepale kwamba jamaa ni mkabila. chukulia nafasi ya katibu mkuu kwa nini wamemchukua mtu mwenye degree moja tena ya international relation na kuwaacha watu wenye masters tena za sports na experience. Uongozi wa namna hii wa kujaza watu wa kabila moja haukubaliki
 
jamani mmeniacha chalinze, ni lini jamali malinzi amekuwa mhaya?na edo kumwembe nae amehama kabila? jamani au cjaelewa mada? ufafanuzi tafadhali.:sleepy:
 
Back
Top Bottom