Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niliwahi kusema malinzi ni mhuni na mwizi wa fedha watu wakanibishia, mtaipata fresh sasa
kati ya hao mhaya ni mmoja!
Wana yao waache na umbulula wao. Kuangalia ukabila tu utafikiria wanataka kutambika ndo maana hatuendelei.
Mimi pia niliwaonya kuwa Huyo Malinzi alikuwa anataka hicho cheo kibiashara zaidi na hiyo timu aliyoipanga ni kufanikisha malengo yake ya wizi; it will not take long before I am vindicated!!!
Ukabila ndiyo unatufanya tusiendelee! Ni dhambi kubwa kutetea udini
Hii toka kwa Edo Kumwembe:
Asante Jamal Malinzi, wewe mwenyewe mhaya, Katibu mkuu mpya TFF mhaya,Mkurugenzi mkuu wa sheria mhaya, mshauri kamati ya ufundi mhaya, Mwenyekiti wa kamati ya maadili mhaya, mwenyekiti mpya kamati ya uchaguzi mhaya! Asante sana, world cup here we go!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mbona Malinzi mbona alikuwa anajitokeza sana jamvini baada ya uraisi akasepa Kyoma vp bwana umeniangusha sana katika hilo hata aibu hukuona??!!!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
inawezekana jamaa si mkabila kabisa, alikuwa anaangalia vigezo wakapita wote hao. angekuwa mkabila angeshanotice hilo na angechanganya, wazo la ukabila halikuwepo kichwani mwake ndio maana unaona hakuwa na caution yeyote ya ukabila. kama angekuwa na akili ya kikabila angejistukia, hana akili hiyo ndio maana unaweza kuona sasahivi ndio anastuka kuwa kumbe sote tumekuwa wahaya, si ajabu hata hajui kama wote hao ni wahaya.
Hapana mkuu zilikuwa ni thread mbili tofauti ya Remote ilikuwa na heading 'Well done Jamal Malinzi...' na ya kwangu ilikuwa na heading 'Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea' chini ikiwa na maneno haya:Uzi huu kaleta Remote! Humu ndani ww ndiyo unajibu..mods hebu check hii.
Ukabila ndiyo unatufanya tusiendelee! Ni dhambi kubwa kutetea udini
Mnamtaka hapa ili mmfanyeje kwenye mazingira kama hivi unaweza kusogea kweli