Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.

Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.

20221019_224324.jpg
 
Acheni wivu wachaga tunawaona kila siku wanafanya haya mambo, wamasai, wapare, wagogo, waluguru na wengine wengi, wasukuma wawazi sana na wanaenzi mila zao, huwezi kuwazuia hata siku moja, wao ni clan tribe. acheni wivu, mnaogopa nini, makabila yenye yameharibika kwa ubinafsi acheni wivu.
 
Nani karuhusu huu ujinga kufanyika ktk ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga...
Hii ni mokakati ya kigogo14 Makamba na kampeni yake ya "Simika Samia" hakuna kitu kama hiyo nchini.

Mtahangaika Sana enyi "Asali Boyz" wa mama na wapambe wenu.

Tangu mazungumzo yenu na #Kinana yaliponaswa tuliwaelewa vizuri sana mlivyo na kampeni za kijinga.
View attachment 2392363
 
watanzania wajinga sana mioyo yenu imejaa ukabila, wivu, chuki, undugu, kila siku wangese hapa wanashambulia makabila ya wengine, story kibao mbaya mbaya za makabila ya wengine, acheni upumbavu, kila mtu apambane na hali yake. kila siku mnachuki za kikabila mnayasema vibaya makabila ya wengine. tulieni umoja wa wasukuma uwaingie mvumilie tu. hamana nguvu ya kuwazuia.
 
Hii ni mokakati ya kigogo14 Makamba na kampeni yake ya "Simika Samia" hakuna kitu kama hiyo nchini.

Mtahangaika Sana enyi "Asali Boyz" wa mama na wapambe wenu.

Tangu mazungumzo yenu na #Kinana yaliponaswa tuliwaelewa vizuri sana mlivyo na kampeni za kijinga.
Muungwana akuvuliwa nguo huchutama. Acha kuwacfua watu kwa chuki zako za kuumbuliwa. Mlitaka kufanya upumbavu wa kufanya sisa za kikabila.
 
Acheni wivu wachaga tunawaona kila siku wanafanya haya mambo, wamasai, wapare, wagogo, waluguru na wengine wengi, wasukuma wawazi sana na wanaenzi mila zao, huwezi kuwazuia hata siku moja, wao ni clan tribe. acheni wivu, mnaogopa nini, makabila yenye yameharibika kwa ubinafsi acheni wivu.
Tanzania ya leo hii ukabila wako unakuongezea thamani gani wewe.

Kama hao wengine uliowataja wanayafanya haina maana kufanya hivyo kunawafanya wawe tofauti na waTanzania wengine.

Tulishaondokana na mambo ya ukabila, ya nini turudi huko!
 
Unaongea ujinga. Jaribu uone kama hamjamiminiwa risasi na kufa kisha mkatuachia wake zenu wakiwa wajane. Jaribuni muone!
 
Tanzania ya leo hii ukabila wako unakuongezea thamani gani wewe.
Kama hao wengine uliowataja wanayafanya haina maana kufanya hivyo kunawafanya wawe tofauti na waTanzania wengine.
Tulishaondokana na mambo ya ukabila, ya nini turudi huko!
acheni wivu mila zipo na zitaendelea, kila siku kila sehemu wachaga wanafanya haya mambo jamii iko kimya na hampigi kelele, acheni maisha ya wasukuma yaendelee, hizi kelele za kipumbavu sana, na ni wivu wa kichawi, fanyeni nanyi na mama zenu na baba zenu, na mababu zenu. Mnaogopa nini
 
Hivi unaelewa maana ya neno "wivu"?
Nitaonaje wivu kwa upumbavu wa aina hii?
 
acheni wivu mila zipo na zitaendelea, kila siku kila sehemu wachaga wanafanya haya mambo jamii iko kimya na hampigi kelele, acheni maisha ya wasukuma yaendelee, hizi kelele za kipumbavu sana, na ni wivu wa kichawi, fanyeni nanyi na mama zenu na baba zenu, na mababu zenu. Mnaogopa nini
Wachaga ruksa kufanya haya maana ni utamaduni wao na tumewazoea.

Wasukuma siyo utamaduni wenu. Nini kiko nyuma yenu hadi muanze kufanya Sasa??

Hamtaruhusiwa kamwe. Mkilazimisha mtapigwa mchakae, maana Mungu wenu hayupo
 
Back
Top Bottom