Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.

Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.

View attachment 2392336
Waache waunde umoja wao, mbona tunashindwa kubomoa umoja wa mafisadi wanaobaka kila uchaguzi ili waendelee kutunyonya?
 
Waache waunde umoja wao, mbona tunashindwa kubomoa umoja wa mafisadi wanaobaka kila uchaguzi ili waendelee kutunyonya?
Bora ufisadi mara 5,000 kuliko ukabila. Penye ukabila hakuna taifa.
 
Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.

Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.

View attachment 2392336
Mnaogopa nini? Si mumeunda sukumagang wenyewe kwa kuwapa jina wafuasi wa magufuli eti sukumagang.
Nani hajui wafuasi wa magufuli ni wale wanaccm wa kweli?
 
Ccm ndio muasisi wa hizi siasa za ukandana ukabila.

- Ilipoanzishwa CUF na kuonekana ina nguvu, walipiga kelele na kutuambia hicho chama ni cha kidini/ugaidi na ni cha wapemba tusikikubali.

- Ikaja CHADEMA ilipoanza kuwa tishio kwa ccm, wakatuambia ni cha wachagga na watu wa kanda ya kaskazini hivyo tuachane nacho.

Kwa maana hiyo tunavuna matunda ya pando la ccm, tusipambane na matawi bali tupambane na shina.
Lakini yafaa tukumbuke kuwa ubaya hauondolewi kwa kutenda ubaya.
ndugu uliyepost huwa nakujua sana kwa uwendawazimu wako na kupandikiza chuki binafsi kwa kabila la wasukuma nakuomba uache hiyo tabia mara moja.
Kwani hii poster nimetengeneza mm? Au ndiyo unaionakwangu kwa mara ya kwanza?

Kwa taarifa yako mm nj mhabarishaji. Poster hii imesambaa sana na Wala hakuna kanusho lolote lililotolewa ama na watu waliotajwa au vyombo vya dola kusema hii poster ni fake. Mm kama mhabarishaji naachaje kuiweka JF.

Na kwa taarifa yako JF Ina moderators wenye weledi mkubwa wa mambonkuliko wewe muosha vyoo, hivyo ingekuwa feki wangeahaifuta.

Jiheshimu. Usinitishe.
 
"Kuimalisha umoja wa chama"

Kweli hawa ni wasuku...
 
Vyovyote iwavyo hairuhusiwi. Pale UDSM vyama vya kufa na kuzikana vinavyohusisha makabila vilipigwa marufuku kwa madai kuwa vinahamasisha ukabila.

Vyama vya siasa ama NGO zenye mrengo wa kabila havipewi usajili.

Amka
Sasa unapiga marufuku vyama vya kufa na kuzikana kwa sababu zipii kama huo siyo ulofa?? Kama watu wanatoka Ngara huko Kagera au Mbinga huko Songea, na wamekutana Dar au Dodoma na kuamua kuungana ili watoe michango yao ili iwasaidie wakati wa maradhi na kifo (kifo hakikupigii simu ili ujiandae) ili wasaidiane halafu anatokea lofa mmoja anasema vipigwe marufuku ebooo!! Mbona hampigi marufuku vyama vya walevi, nadhehebu ya ajabu ajabu yanayoibuka daily, michezo ya kamari, kubeti, michezo ya wizi kama hii ya juzi ya Kalynda???
 
Hatutaki ukabila kwenye nchi yetu.
Hamia Burundi kama wewe unautaka ukabila.
kikao chao kinakuhusu nini, nongwa yako ni ipi acheni ujinga na upumbavu na wivu, lealve the sukukam alone dont be too jealous of disunity from from ethnic group, kama hamna ushirikiano hio shauri yenu.
 
Back
Top Bottom