Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Acheni wivu wachaga tunawaona kila siku wanafanya haya mambo, wamasai, wapare, wagogo, waluguru na wengine wengi, wasukuma wawazi sana na wanaenzi mila zao, huwezi kuwazuia hata siku moja, wao ni clan tribe. acheni wivu, mnaogopa nini, makabila yenye yameharibika kwa ubinafsi acheni wivu.
Huu ukabila ukomeshwe mara moja!
 
Kuna wanyarwanda wa kitusi na kirundi wanajifanya wasukuma wakisukuma kete zako pole Pole!!

Sina shida na vikao vya kikabila ni kawaida sana!hata wachanga hufanya Sio ishu!!
Nafikiri wachaga wana vikao vya kikoo na sio kikabila..mfano;
Huwezi kuwakuta Mmachame na kibosho wana umoja au Wamarangu na Mrombo kwenye vikao vya pamoja.
 
Acheni wivu wachaga tunawaona kila siku wanafanya haya mambo, wamasai, wapare, wagogo, waluguru na wengine wengi, wasukuma wawazi sana na wanaenzi mila zao, huwezi kuwazuia hata siku moja, wao ni clan tribe. acheni wivu, mnaogopa nini, makabila yenye yameharibika kwa ubinafsi acheni wivu.
Mwandiko wako wa KiKenya, kwanini?
 
Hizi zaweza kuwa dalili za ukichaa🤸🤸
Amna Leo nimeamua kukwambia ukweli mchungu. Wanatukwamisha vizaz hivi. Kwa Nn hatubebani? Ulega kwao ukifika huwez kuamin kama kwao. Si ajab ndug zake wamesoma na hawapi kazi. Hapo hapo wanasifia makabila ya Kas kazini. We unaona hawa wana akili vizur? 😡
 
Wachaga ruksa kufanya haya maana ni utamaduni wao na tumewazoea.

Wasukuma siyo utamaduni wenu. Nini kiko nyuma yenu hadi muanze kufanya Sasa??

Hamtaruhusiwa kamwe. Mkilazimisha mtapigwa mchakae, maana Mungu wenu hayupo
Aliyekuambia sio Utamaduni Wao ni Nani??
 
Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.

Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.

View attachment 2392336
PHOTOSHOP;
Acheni kuchafua watu. Ukimkubali mtu, kiri kuwa unamkubali ili na yeye ajue kuwa unamkubali, halafu baada ya hapounatakiwa umpongeze na siyo kumchafua
 
😂😂😂😂 Endeleeni tu na hii tabia safi kabisa
 
Ivi mlishaambiwa uzuri wa ukabila kwenye nchi au ni hiyo sumu na upuuzi mnaolishana kwamba ukabila ni mbaya?
 
Ukabila ndio utatuletea maendeleo so ni kila kabila lipambane kupata nafasi either kwa nguvu au kwa mchongo.
 
Nasimama kwa nguvu zote na bila aibu kusema kwamba ukabila,ukanda ni moja kati ya vitu ambavyo ni kama spirit. Hata uvichukie namna gani lazima utaona viashiria vyake.
 
Huu ni ujinga!

Hiyo movement ifuatiliwe, kama kuna uhaini ndani yake hatua zichukuliwe.
Serikali imeshatambua uwepo wa machifu na watemi nchini. Hapo ukabila hauepukiki kwa sababu machifu na watemi si wa wilaya au mkoa bali ni wa makabila
 
Acheni wivu wachaga tunawaona kila siku wanafanya haya mambo, wamasai, wapare, wagogo, waluguru na wengine wengi, wasukuma wawazi sana na wanaenzi mila zao, huwezi kuwazuia hata siku moja, wao ni clan tribe. acheni wivu, mnaogopa nini, makabila yenye yameharibika kwa ubinafsi acheni wivu.
Bila kutaja Wachaga hamuoni kama mmeongea siyo?
 
Back
Top Bottom