Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

Nani karuhusu huu ujinga kufanyika ktk ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.

Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.

Banyana nhana bhene abha!

View attachment 2392336
Hawa watu kamata tia ndani wakikaa miaka 5 huko hakuna mtu atarudia huu ushenzi..

Nachukia Sana Serikali kuchekea chekea watu kwenye mambo yanayohatarisha tunu ya Taifa kama hili..

Liwe ni la kijamii au vinginevyo haifai.
 
Na katavi tumeacha kuitaja kwa makusudi msije mkalia sana, we are everywhere, morogoro haijatajwa pia, an assimilated sukuma speaking on behalf.
Wanaogopa nguvu ya wasukuma..mleta mada ni mshezi na mjinga.

Watu wa kabila moja kukaa pamoja na kujadili masuala yao yakimila na utamaduni yeye kinamuuma nini.

Kwanza chief hangaya amesharuhusu masuala ya kimila na uchifu..aende kumuuliza yeye kuhusu hilo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Poleni kwa majungu. Vyama vya kikabila na kikanda viko kila mkoa.

Wasukuma wanaogopeka aisee.
 
Mbona tunaona maumoja ya Wachaga, Wanyakyusa na Makabila mengine kila weekend mitaani wana fanya vikao na sherehe mbalimbali, tena vyama vya Wachaga vilienda mbali zaidi vikafaya sherehe kusherehekea kifo cha Magufuli.
Wewe utakuwa mchochezi sio bure🥱
 
Nani karuhusu huu ujinga kufanyika ktk ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.

Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.

Banyana nhana bhene abha!

View attachment 2392336
Kuna ubaya gani watu wakifanya kikao cha kabila lao kama wana umoja wao? Na nyie wazaramo si muende msoga mkafanye nani kawazuia?
 
Acheni wivu wachaga tunawaona kila siku wanafanya haya mambo, wamasai, wapare, wagogo, waluguru na wengine wengi, wasukuma wawazi sana na wanaenzi mila zao, huwezi kuwazuia hata siku moja, wao ni clan tribe. acheni wivu, mnaogopa nini, makabila yenye yameharibika kwa ubinafsi acheni wivu.
Wachaga wamefanya lini ujinga kama huo?
 
Wachaga ruksa kufanya haya maana ni utamaduni wao na tumewazoea.

Wasukuma siyo utamaduni wenu. Nini kiko nyuma yenu hadi muanze kufanya Sasa??

Hamtaruhusiwa kamwe. Mkilazimisha mtapigwa mchakae, maana Mungu wenu hayupo
Wachaga hawana hivyo vyama vya kikabila vya kitaifa
Ni koo tu basi
 
Hawa watu kamata tia ndani wakikaa miaka 5 huko hakuna mtu atarudia huu ushenzi..

Nachukia Sana Serikali kuchekea chekea watu kwenye mambo yanayohatarisha tunu ya Taifa kama hili..

Liwe ni la kijamii au vinginevyo haifai.
Mmea wa Arusha haumwachi mtu salama. Utalala wewe na bangi zako. Fyuuuuu
 
Nyie wasenge nn ,mbna wachaga kila uchwao wanaenda kwao , na vikao vyao mjini , sasa ni hvi , kikao tutakaa na hamna kitu mtafanya , shenzi kabisa
Mimi nataka unionyeshe lini Wachaga wameunda chama cha kitaifa cha kikabila kama hicho, nionyeshe posta kama hilo la viongozi wa wachaga
 
Kuna wanyarwanda wa kitusi na kirundi wanajifanya wasukuma wakisukuma kete zako pole Pole!!

Sina shida na vikao vya kikabila ni kawaida sana!hata wachanga hufanya Sio ishu!!
 
Hivi ni vikao vya kikabila, makabila mengi wanakuwa na umoja wa kusaidiana mfano wachaga, wakinga waha.
Wasiwasi ndo unawafanya wafikirie kuwa kukutana kwa wasukuma ni ukabila! Kila leo kutukana wasukuma mitandaoni kiwa ni washamba wa wasio na elimu sasa kama hao wasio na elimu wakikutana kopi kinawawasha sakati wanakutana satu wasiojitambua!
 
Back
Top Bottom