Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
Vijana wengi toka Elimu ya chini wanakuwa wamebanwa sana, wanapofika Elimu ya juu wanajikuta ghafla wako huru, na huu unakuwa mwanzo wa maisha ya kujaribu, wanajikuta wanajaribu kila kitu.
 
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?

Umeshamaliza mbona ila engeza hii[emoji1]:
- Mob psychology
-Kutojitambua
-Hali ya umaskini
-Uhuru uliopitiliza
-Globalization: Kwani nani ataniuliza mbona nimeona kwenye TV poa tu!
Etc etc
 
Labda ungeelezea wanakuwa wamebanwa kivipi. Pia unadhani wakipewa uhuru toka awali (kuanzia elimu ya msingi) unadhani wanabadilika na kuwa vijana wenye maadili mema?
Vijana wengi toka Elimu ya chini wanakuwa wamebanwa sana, wanapofika Elimu ya juu wanajikuta ghafla wako huru, na huu unakuwa mwanzo wa maisha ya kujaribu, wanajikuta wanajaribu kila kitu.
 
Umeshamaliza mbona ila engeza hii[emoji1]:
- Mob psychology
-Kutojitambua
-Hali ya umaskini
-Uhuru uliopitiliza
-Globalization: Kwani nani ataniuliza mbona nimeona kwenye TV poa tu!
Etc etc
Mkuu, unadhani umri wa vijana kujitegemea kwa sababu ya kuwa vyuoni waweza kuwa sababu? Kwamba vijana wengi wanalazimika kujitegemea wangali bado wanahitaji uangalizi wa wazazi/walezi?
 
Saizi umekuwa utamaduni,,Yani first year anaenda chuo anakuta dada na kaka zake wanaishi hivyo,,ni mmoja mmoja sana anaweza ruka huo mtego,,,
Kwa hyo mambo yanakuwa hiv sio?
 
Attachments

  • IMG_20221001_033644.jpg
    IMG_20221001_033644.jpg
    21.9 KB · Views: 40
Political error.
Ukahaba wa wanavyuo unatokana na ugumu wa maisha ya chuo.

Wazazi wanashindwa kumudu gharama na hakika boom nalo ni kama linagharimia ada huku life ya wanachuo inakuwa na mashaka. Wanachuo wanalipa tozo ujue pia

Malezi ni eneo lingine

Tamaa ni eneo jengine

Na kadhalika
Tukijaribu kukadiria percentage, unadhani ugumu wa maisha utakuwa juu?

Vipi athari za utandawazi na kubadilika kwa namna vijana wanayoyaona maisha?
 
Back
Top Bottom