Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu
Labda ungeelezea wanakuwa wamebanwa kivipi. Pia unadhani wakipewa uhuru toka awali (kuanzia elimu ya msingi) unadhani wanabadilika na kuwa vijana wenye maadili mema?
Kuna watu ni geti kali au familia zinawabana kupitiliza sababu ya ukali wa wazazi, dini au wengine kutokea shule za kidini ambazo zipo strict. Akifika chuo anaona ni ulimwengu mwingine na hapo ashapewa boom la kumuwezesha kujaribu maisha yote anayoyataka, kwa nini asijiachie

Na wengine wengi ni kuiga maisha tu,unakuta binti wa watu katoka mpandahima na low cut yake kichwani, pengine alipotoka ndo alikuwa sweetheart, sasa akikutana na real sweethearts wenye standard life za celeb. Kujiuza au kudanga kutamuhusu kama atataka hizo standards
 
kweli na hii sio vyuoni tu hata mtaani umalaya na ukahaba ni hulka/ tabia wakiamua wanaweza kuachana nayo

Kuna pressure kubwa sana vyuoni haswa binti akiwa mrembo sana.. Atakataa vishawishina kukubali kuishi life ya kawaida Ila lecturers wakimuamlia, kupona ni majaaliwa 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
 
Tukijaribu kukadiria percentage, unadhani ugumu wa maisha utakuwa juu?

Vipi athari za utandawazi na kubadilika kwa namna vijana wanayoyaona maisha?
Hilo la utandawazi linajinasibisha na malezi mkuu
 
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo.

Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
Wee! Mi nasubiri mwakani mwezi wa 11, nitakuwa tayari financially stable, nikaanze kukamata senene pale mabibo najitafunia tu kwa raha zangu
 
Wee! Mi nasubiri mwakani mwezi wa 11, nitakuwa tayari financially stable, nikaanze kukamata senene pale mabibo najitafunia tu kwa raha zangu
Ohoo 😂😂
 
mtoto wa sister kala disco MUHAS kwa ugeni wa maisha ya chuo, sasa atakula alichopanda…

kitoto cha miaka 19 kishatoa mimba mbili ndani ya kipindi cha semesters 4….WTF
Duh, alikuwa na future nzuri sana mbona? Nadhani maisha ya kuigiza ndio chanzo cha yote.
 
Hi
Sababu ya kwanza ni nyege ya pili ni umaskini.
Zi nyege zimezidi miaka ya hivi karibuni? Je, wanaofanya ukahaba wote ni masikini? Na hao masikini wakipata mabwana wa kuwahudumia wanatulia?
 
Swali

Kwani wewe ulipokuwa unasoma chuo , ulikuwa. Hushiriki tendo la ndoa !?
 
Back
Top Bottom