Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
Vijana wengi toka Elimu ya chini wanakuwa wamebanwa sana, wanapofika Elimu ya juu wanajikuta ghafla wako huru, na huu unakuwa mwanzo wa maisha ya kujaribu, wanajikuta wanajaribu kila kitu.
 
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?

Umeshamaliza mbona ila engeza hii[emoji1]:
- Mob psychology
-Kutojitambua
-Hali ya umaskini
-Uhuru uliopitiliza
-Globalization: Kwani nani ataniuliza mbona nimeona kwenye TV poa tu!
Etc etc
 
Labda ungeelezea wanakuwa wamebanwa kivipi. Pia unadhani wakipewa uhuru toka awali (kuanzia elimu ya msingi) unadhani wanabadilika na kuwa vijana wenye maadili mema?
Vijana wengi toka Elimu ya chini wanakuwa wamebanwa sana, wanapofika Elimu ya juu wanajikuta ghafla wako huru, na huu unakuwa mwanzo wa maisha ya kujaribu, wanajikuta wanajaribu kila kitu.
 
Umeshamaliza mbona ila engeza hii[emoji1]:
- Mob psychology
-Kutojitambua
-Hali ya umaskini
-Uhuru uliopitiliza
-Globalization: Kwani nani ataniuliza mbona nimeona kwenye TV poa tu!
Etc etc
Mkuu, unadhani umri wa vijana kujitegemea kwa sababu ya kuwa vyuoni waweza kuwa sababu? Kwamba vijana wengi wanalazimika kujitegemea wangali bado wanahitaji uangalizi wa wazazi/walezi?
 
Tukijaribu kukadiria percentage, unadhani ugumu wa maisha utakuwa juu?

Vipi athari za utandawazi na kubadilika kwa namna vijana wanayoyaona maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…