Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu
Oyaa Mkuu Umejuaje Ni ambiance Afrika Sana,Daah Mpk Majina unawajua We [emoji119][emoji23].Mm Nimekariri Baadhi Ya Sura za Wadada Wazuri wa Pale kwa sababu Napita Kila mara Ndo Njia Yangu,Pia Siku Nikichelewa kufika Home Ndo Mitaa Yangu Hiyo ya Kupata Dinner.
Sema siku za hivi karibuni pale ambiance wamebaki mishangazi mikubwa, Zamani pale ndo kulikuwa na wadada pisi kali, labda kama sahivi wamerudi tena, pale kupata mdada mzuri anaejiuza (Mwenye kiuno nyigu, tako kubwa na miguu mizuri) labda ubahatishe siku moja moja Super Charged
 
Sema siku za hivi karibuni pale ambiance wamebaki mishangazi mikubwa, Zamani pale ndo kulikuwa na wadada pisi kali, labda kama sahivi wamerudi tena, pale kupata mdada mzuri anaejiuza (Mwenye kiuno nyigu, tako kubwa na miguu mizuri) labda ubahatishe siku moja moja Super Charged
Tangu uingie mwaka wa fedha 2023/2024 Naona pisi Kali Pale Kubahatisha,Sema Ukipiga Round Mara Mbili Tatu Ukaenda Ukarudi Lazima Upate Pisi Kali.
Sasa Hv Mpaka Uingie Kitambaa cheupe Kidogo
 
Habari Wana Jamvi,

Ngoja Nijampu Kwenye Mada chap.

Jana usiku Kwenye Pitapita Zangu Mitaa Ya Sinza,Nikapita Mtaa Flani Hivi Kuna wadada Wauza utamu Wamejipanga wakisuburi Wateja (NB: Hiyo Ni Njia Ya Public Kila Mmoja Anapita Na Ilinilazimu Kupita Pia Kuelekea Napoenda)

Ghafla Wakaanza Niita "We Mkaka Mambo Njoo Nikwambie Kitu" Mimi wambuzi Macho Mbele "Njoo basi Mchumba" Mimi sielewi tu Huyooo Nawahi, Yani Niko speed Sina muda, Hata kama Nilikuwa nao basi Ni mchache sana hautoshi Kwa Mtanzania Halisi Mwenye Chale Begani Tena Mtoto wa Mama Samia.Nikawapita huyo Kibati Maili 100 Kama siwaoni.

Basi Bana Nikafika Nilipokuwa Naenda Sikuchelewa sana Nikawa nimekamilisha Kilicho Nipeleka nikawa Narudi Sasa.Wakati Narudi Nikapiga hesabu Nirudie Njia Ile Ile au Nikajisemea Hapana Sipendi Kusikia Wale Malaya Wananiita ita Alafu Wengine ni Warembo Tena Kwa ile Mitaa Huwa Ina Wauza Utamu Warembo Wanaoshawishi Rika tofauti Tofauti wengine Mabinti tu Wanaweza Nishawishi Nikanunua Utelezi Tena nikichek Mfukoni Nina kibunda Changu Nilienda Kukichukua Huko,Nikasema Hapana ngoja Nibadilishe njia, Wakati Bado Napiga Hesabu Za kubadilisha Njia Nikakumbuka Hiyo Njia Ninayotaka Kubadilisha Ndo Ina wauza Utamu Wengi zaidi Ya Wale wa Ile Njia alafu Ni Wabovu mishangazi Ya Kwenda Na Misauti Yao Ya Miungurumo,Misauti ya Pombe

Kwani Bei Gani(Nilijisemea)ngoja Nirudie Ile Ile Njia ya Awali Angalau Ina Watoto wakali Hata wakikuita Unaburudika,Ila Slogani yangu ile ile siwaangalii,Macho Mbele,Sura Ya Mbuzi,Speed Kali, Speed Kama Nayotumiaga Nikishuka kwenye Pantoni Kuwahi Usafiri.Huyoo Nikafika Mitaa Yao,Khee! Ghafla Nashangaa Tayari Niko Lodge Kwenye Uwa wa Lodge Nimevutwa(Pembeni wanapojiuzia Huwa Kuna Lodges Yaani Ni Mwendo wa Hatua tano Kutoka Walipojipanga Kusuburi wateja Mpaka lodge)

Mrembo Kanivuta Nimeingia Ndani Napelekwa Chumbani Sasa,Si ndo Nikashtuka Baada Ya Kujua Kuwa Mbona Kama kuna Nguvu Ya Usumaku Nimetumia Kutembea, Nikagundua navutwa Mkono.Hapo Napelekwa mkupe mkupe,Nikasimama Nikapiga Bleki Ya nguvu kwa Nguvu kabisa kabla Hajanifikisha chumbani,Tukawa tupo Ndani Ya Geti Ya Lodge yaani Uwani.(Sio Chooni Uwani)

Mrembo sasa Akaanza naambia "Mbona hivo Twende Nikakupe Yote Uinjoy". Khee Yote Tena, Leo Sasa Napewa Yote Nilisisimuka Kidizaini. Nikamwambia Niache Dada Sijisikii,Ghalfa Kageuka Kanipa Matraaak*** Kaanza Kutwerk twerk comrade Rungu Akasoma 90° Degree Anaelekea 360° Kukamilisha Kipenyo Kizima. Nikageukia Pembeni Maana Anaweza Nishawishi,Akasimama Akanigeuza Tukawa tunaangaliana."Twende Basi unalipia Chumba Cha showtime elfu 5 Mimi Unanipa elfu 20 Bao Moja (Kwa Pale Ndo bei zao elekezi Hizo Kwa sababu Hawajakongoroka Wanavutia Wengi Mabinti Lakini Bei Hushuka Mkiongea)

Nikamwambia Sister Niache kwanza,Maana Kanishika mkono Tena Alinivuta pembeni Kwenye chocho flani Hvi ndani ya Hiyo lodge Akawa kama Ameziba Njia Kabisa Nisitoweke. "Skia Jamani Baby Nakunyonya Mb*** Alafu Nikimaliza nakupa Yote Unainjoy" Anaongea Huku Anajigeuza Geuza Miksa inainama Anatwerk Twerk Kwenye Kiba100 Changu(Kumlazi Dj, Ndungu Msomaji Sio Kiba100 Nilitumia TitanGel). Nikawa kama Naanza Ingilika Hivi,Maana Comrade yupo 360° Full Kipenyo.Akanambia "Ongea basi Twende Jamani baby"

Khee! Si Ghafla Kanishika Ndonga Kabla Hajaishika Vizur Nikawa nimewahi Mtoa Mkono Akawa Kaishika kwa juu juu tu.Akasema "Oooh Jaman Una Mb**** Tamu" Daah![emoji23]Malaya akiwa Kazini Hana mchezo Kabisa,
Yaani Ni Kama Dizaini Flani Hivi Demu Aliyelewa Romance Anataka Umzamishie Dushe kwa Jinsi Anavonitazama kimahaba, Kumbe Anataka pesa Mpuuzi sana Huyo Dada ,Nilicheka Kimoyomoyo. Nikawa Nafosi Nichomoke Anaziba njia.

Akanambia Basi Kama Huna 20 Nipe Hata 15 Nikakupe Utraamu.Nikasema sijiskii Leo akanishika kama anataka nikumbatia Mkono Mmoja Kwa bega Akasema Basi Elfu 10 Bao Moja.Nikawa Najiuliza Huyu Kajuaje Kama nina hela Mfukoni Mpka Ananiganda Hivi Au jinsi Nilivovaa Ni Kama mshikaji mwenye Michongo Yake Ya Maana Mjini Kumbe Hovyo tu.

Nikaamua Nimchane sasa Skia Dada Sitaki na pia Sijiskii Leo,Bado Kaniganda tu Anasema sawa nimekuelewa lakin Mpaka elfu 10 Jamani Je Ningekutajia Pesa kama Hii ,Akafungua Pochi lake Kulikuwa Na Elfu 30 Akanambia Hii Pesa Nimelipwa bao Moja.Lakin Wewe Nimekushushia Mpaka elfu Kumi Mbona huelewi Baby.

Akanambia Unajua Nilikuona Umepita Nikakusemesha Hukunijbu Ukaenda zako Umeenda hujachelewa Ukapita Tena, Wewe Unataka Tu Kununua Utamu,Twende Nikakupe Haiwezekani Uende Alafu Urudi Tena njia Hii Hii Halafu Hujachelewa Kurudi Unatafuta Utamu wewe.

Nikaamua Nikubali Tu Ndio Natafuta utamu Lakin kuna muuza Utamu Nilikuwa Namtafuta Hapa Akanipee Ila sijamuona,Akanambia Achana Nae huyo Hayupo Mimi Nipo Kwa ajili yako. "Jamani Baby Jamanii Twende Basi nikakukalie" Khee Huyu Malaya Vipi katumwa kuja kunitest Imani.

Nikamwambia Dada Mapenzi hisia Sijakufeel sasa mimi,Nikachomoa Elfu 10 Mfukoni Nikampa Maana kapoteza Kama Dakika Karbia 8 Ananishawishi Na Hii Imetokana Na Kuniona Nimerudia Hiyo Njia akajua Napita Napita Najivunga Nashindwa kuwasemesha labda ila Lengo langu Nataka Kununua Utamu. Nilivompa hiyo elfu 10 Akajua Nimekubal Akasema leta elfu 5 Nikampe Yule Mkaka Mapokezi ya Chumba showtime.

Nikamwambia mimi Nimekupa tu,Akasema Ok shukrani Kama hujanifeel mimi Ngoja Nikuitie Rafk Yangu Akachomoka Chap Nje Ya Geti Akamuita Rafik Yake,Rafk Yake Alikuwa Shombeshome Flani Hivi Bila Shaka ni mwarabu Kabisa,Hata sura yake Inaonesha. Akamwambia rafiki Yake Huyu kaka Hajanifeel Ongea nae Wewe Mmalizane

Aisee Mtoto Alikuwa mweupe Ana Sura Nzuri. Nikapiga Jicho Chapu Kwenye Kwapa,Kwapa nalo Ni Waiti Nikasema huyu Asili Yake kabisa Hii,Huyu Mwarabu Kabisa. Piga Jicho Alichompa Mama, Nikagundua Lipo Lakin Kawaida tu Kwa vile alikuwa Mnene Kdogo.Kidogo Niingilike Nimwage Pesa Kwa Yule Mtoto.

Yule Malaya wa kwanza Akawa Ametoka Nje katuacha Tuongee Ila kabla ya hapo Alinambia Naweza wachukua Hata wote wawili Threesome na Rafiki yake Pesa Yangu tu. Nashukuru Yule Mdada mwarabu Alikuwa msikivu Nilimwambia Sijiskii alinibananisha Tu Rafiki yako Nikamwambia simfeel Ili Aniache Ndo Akakuita Wewe,
Mwarabu wa watu Akanielewa Akaondoka Na mm Nikatoka Nje.

Aisee Kivumbi Jana, Serikali iingilie Kati Hili Suara La kuuza utamu,Ikishindikana basi Ipige Marufuku Utamu Kuuzwa Bila formula Maalumu.Bora Ubaki Kuuzwa tinder, Telegram Na Maeneo Maalumu. Kwako Studio, Naomba Mnisamehe Kama Nimetumia Lugha Kakasi.

Nitakuja Wapa Story ya Mzee Flani Hivi wa Makamu Mitaa Ya Manzese Tiptop story Yake dhidi Ya Wadada Wauza utamu wa Manzese Tip top Niliishuhudua Nikiwa Mgahawani Napata Dinner Mapema mwaka Huu.

KAZI IENDELEE JAMANI,NIKO NAPITIA REPORT YA CAG HAPA
Hapo kweli ripoti umeipatia kwa ufanisi🤔.Sio kwa story hiyo ya wauza utamu.,😂
 
Ulipita maeneo hayo wakati wa biashara. Ukaenda na kurudi. Bilashaka walijua wewe ni mteja.
 
Nilitaka nishangae malaya wa Sinza wanaosimama barabarani 20k? [emoji848]

Hiyo 10k ndo bei yao elekezi katika hiyo 10k nusu yake 5k ya chumba na inayobaki yao. Kama biashara ilikuwa mbaya alfajiri wanashusha hadi 5k

Sehemu Sinza ilikuwa na malaya wakali na gharama ni pale Board room kidogo na Ambiance

Unamuonea huruma malaya unampa 10k bila kula utelezi si bora ungemtumia bimkubwa wako tu kama surprise
We jamaa kwa machimbo ni hatari, inabidi niwe rafiki yako
 
Malaya wanaojiuza ndio haohao tuko nao mtaani hivo unaweza kujifanya haupigi malaya kumbe hata mwanamke ulienae anajiuza kama wao
Ndo hawa hawa wanaenda mbali na wanapoishi. Ukiwatongoza wanakuwa wagumu haswa ila usiku bei elekezi wakitaka hela igawe Nusu
 
Manake kwanza hapo ncheke. Wanaume wa Dar ndio mko legevu hivyo? Kuvutwa tu hivyo ukashindwa jitetea mpk ujikute uko uwani kwa loji?
Na 10k juu alitoa ya kuepuka kusumbuliwa zaidi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kama malaya tu kakuvuta mpaka room na ili akuachie imebidi umhonge. .. wewe msela mmoja akikubananisha unamwachia akukande... Kabisa yaani. Nimeumia sana kuona unavutwa tu unaenda hayo machips yenu na kuku bwege.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilitaka nishangae malaya wa Sinza wanaosimama barabarani 20k? [emoji848]

Hiyo 10k ndo bei yao elekezi katika hiyo 10k nusu yake 5k ya chumba na inayobaki yao. Kama biashara ilikuwa mbaya alfajiri wanashusha hadi 5k

Sehemu Sinza ilikuwa na malaya wakali na gharama ni pale Board room kidogo na Ambiance

Unamuonea huruma malaya unampa 10k bila kula utelezi si bora ungemtumia bimkubwa wako tu kama surprise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko 20k alianzia cha juu??
Uwiiiih
 
Kweli pesa ni baba wa maasi.
Yaani umewapita na kujigamba mtoto wa Samia tena macho juu bila kujali kelele zao

Kumbe mfukoni hakuna kitu

Sasa ulipozipata tu kelele ukazianza mwenyewe na kuanza kuwasifia ooh ule mtaa ndio wenye warembo huku kwingine mashangazi yana sauti ya kukoroma ya kilevi [emoji1]

Kweli hela mwanaharamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli
 
Back
Top Bottom