Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Habari ya mda huu wanajanvi!

Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Raisi juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini.

Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:-

Ikiwa Raisi yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?

Inamaana Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia wanahuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa ya watanzania wameathirika na virusi vya Covid-19,
Wanafanya hivyo kwa faida ya nani?

Muheshimiwa Raisi anapofikilia kutoa maamuzi juu ya ufunguzi wa vyuo nchini, anahuakika gani kuwa maambukizi yameisha mitaani. Ametumia mbinu gani kuwapima wananchi wote nakuthibitisha hilo?

Linapo kuja swala la kufunguwa vyuo hapa nchini Raisi atambue kwamba kuna wanafunzi wanaotokea nnje ya nchi na wanasoma hapa nchini.

Kimsingi Raisi anatowa maamzi kwa kupaniki na bila ya kushirikisha akili yake. Raisi anataka kila mtu akubaliane na mawazo yake.

Kuwa Raisi hakukufanyi wewe uonekane una akili nyingi na mitazamo mipana kuliko wananchi wote unao waongoza. Hata mtu wa mwisho darasani kwenye mitihani anaweza akapewa dhamana ya kuwa kiongozi.

Kalibuni kwa maoni

not everyone is willing Unaonaje tukupe Wewe uongozi kama hutojinyeanyea tuu,,shukuru MUNGU kukupa rais anayekujar,,,,watu kama nyie Saiz tunawapeleka KENYA mkaonje joto la jiwe
 
Mkuu mwanzo nilipingana na Magu jinsi alivyolihandle janga la corona, lkin sasa nipo nae. Huyu kooona haishi leo ama kesho ni kumzoea tu na tuishi nae.

Hao wanaojifanya kufunga mipaka sjui lockdown pumzi itawakatikia wakati corona haijaisha.

Suala siyo kuisha, hoja hapa ameamini vipi hizo data alizotoa angali alishaonyesha wasiwasi kwenye vipimo, na hata kwenye public hajawahi sema kama vipimo vimefanyiwa uchunguzi wa kina ama lah!
..ni kweli pengine anaweza kuwa na taarifa ambazo bado hazijatolewa kwa umma juu ya hivyo vipimo, lakini sintofahamu iliyopo ilipaswa kumalizwa kwanza!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tunapoteza uelekeo kujadili mtu badala ya Corona. Sijawahi kumsikia mh.Rais akizuia kujifungia unao uhuru wa kujifungia kama utaona inakusaidia lakini pia tafakari haya:-The number of deaths in the world in the last two months of 2020

14,687 : Corona virus

69,602 : Common cold

140,584 : Malaria

153,696 : suicide

193,479 : road accidents

240,950 : HIV loss

358,471 : alcohol

716,498 : smoking

1,177,141 : Cancer

Then do you think Corona is dangerous?

Or

is the purpose of the media campaign to settle the trade war between China and America

or

to reduce financial markets to prepare the stage of financial markets for mergers and acquisitions

or

to sell US Treasury bonds to cover the fiscal deficit in them

Or

Is it a Panic created by Pharma companies to sell their products like sanitizer, masks, medicine etc.

Do not Panic & don't kill urself with unecessary fear:I am posting this to balance your newsfeed from posts that caused fear and panic.

338,724 People are sick with Coronavirus at the moment, of which 81,093 are in China. With a population of over 1.1 billion. This means that if you are not in or haven't recently visited China, this should eliminate 94% of your concern.

If you do contract Coronavirus, this still is not a cause for panic because:

81% of the Cases are MILD

14% of the Cases are MODERATE

Only 5% of the Cases are CRITICAL

Which means that even if you do get the virus, you are most likely to recover from it.

Some have said, “but this is worse than SARS!”. SARS had a fatality rate of 10% while COVID-19 has a fatality rate of 2%

Moreover, looking at the ages of those who are dying of this virus, the death rate for the people UNDER 50 years of age is only 0.2%

This means that: if you are under 50 years of age and don't live in China - you are more likely to win the lottery (which has a 1 in 45,000,000 chance)

Sunday 22nd March in Italy 793 died.

Let’s take one of the worst days so far, the 10th of February, when 108 people in CHINA died of Coronavirus.

On the same day:

26,283 people died of Cancer

24,641 people died of Heart Disease

4,300 people died of Diabetes

Suicide took 28 times more lives than the virus did.

Mosquitoes kill 2,740 people every day, HUMANS kill 1,300 fellow humans every day, and Snakes kill 137 people every day. (Sharks kill 2 people a year)

TAKE MULTI VITAMINS AND DO THE DAILY THINGS TO SUPPORT YOUR IMMUNE SYSTEM , PROPER HYGIENE AND DO NOT LIVE IN FEAR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumieni hata akili za ukoo mzima kumtafakari na kumchambua Rais, sitojifungia ndani kama nilivyofanya wiki mbil za mwisho wa mwezi wa 3 na mbili za mwezi wa 4 kwa kuongozwa na kina BBC na akina Kigogo. Nimetoka na nitatoka hadi niambiwe tofauti na Rais wangu!. Kujitia hofu zisizo na sababu kwa maslahi ya Mpumbavu mmoja au kikundi NO.
 
Hapo point ni moja tu.kuhusu wanafunzi wa nje wanao soma nchini watafikaje ikiwa vyuo vitafunguliwa kwa sababu bado hakuna international flight

Hayo mengine yote uliyoandika ni matakata tupu.sababu hata waliouleta ugonjwa wenyewe wanaangalia namna ya ku-unlockdown.hakuna tafiti zilizothibitis kwamba lock down ni njia sahihi ya kupambana na hili janga

Kama taifa tuendelee kupeana elimu sahihi namna ya kujikinga.WHO wenyewe wamethibitisha kwamba hakuna uhakika kama ugonjwa huu utaish lini.

Kuhusu madereva kuwa na corona ni sahihi.kwa sababu inaonyesha watz miili yetu ina kinga za kutosha kiasi mtu unaweza endesha gari km 1500 na wala usipate shida.hata wewe ukienda kupima leo unaweza kukutwa una corona ijapo huna dalili yoyote.cha msingi tuendelee kufuata mashart ya kisayansi corona bado ipo na maisha lazima yaendelee.ni asilimia 3tu watakufa kati ya watakao ambukizwa
 
Hii ni vita ya mtu mmoja mmoja, ukifa wewe nchi haitakufa. Kila siku wanazaliwa watu wapya.
 
Habari ya mda huu wanajanvi!

Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Rais juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini.

Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:-

Ikiwa Raisi yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?

Inamaana Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia wanahuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa ya watanzania wameathirika na virusi vya Covid-19,
Wanafanya hivyo kwa faida ya nani?

Muheshimiwa Rais anapofikilia kutoa maamuzi juu ya ufunguzi wa vyuo nchini, anahuakika gani kuwa maambukizi yameisha mitaani. Ametumia mbinu gani kuwapima wananchi wote nakuthibitisha hilo?

Linapo kuja swala la kufunguwa vyuo hapa nchini Rais atambue kwamba kuna wanafunzi wanaotokea nnje ya nchi na wanasoma hapa nchini.

Kimsingi Rais anatowa maamzi kwa kupaniki na bila ya kushirikisha akili yake. Rais anataka kila mtu akubaliane na mawazo yake.

Kuwa Rais hakukufanyi wewe uonekane una akili nyingi na mitazamo mipana kuliko wananchi wote unao waongoza. Hata mtu wa mwisho darasani kwenye mitihani anaweza akapewa dhamana ya kuwa kiongozi.

Kalibuni kwa maoni

not everyone is willing to take the risk!
Labda mm nimemwelewa vibaya JPM ila nazani anachotaka ni watu waendelee kuishi na Corona..
Corona bado ipo na inaongezeka kila siku je asipofungua vyuo na shugr zingine ziendelee unazani tutaishi hivi hadi lini kama chanjo haitopatikana?
Maisha lazima yaendelee kikubwa ni kuchukua tahadhal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya mda huu wanajanvi!

Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Rais juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini.

Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:-

Ikiwa Raisi yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?

Inamaana Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia wanahuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa ya watanzania wameathirika na virusi vya Covid-19,
Wanafanya hivyo kwa faida ya nani?

Muheshimiwa Rais anapofikilia kutoa maamuzi juu ya ufunguzi wa vyuo nchini, anahuakika gani kuwa maambukizi yameisha mitaani. Ametumia mbinu gani kuwapima wananchi wote nakuthibitisha hilo?

Linapo kuja swala la kufunguwa vyuo hapa nchini Rais atambue kwamba kuna wanafunzi wanaotokea nnje ya nchi na wanasoma hapa nchini.

Kimsingi Rais anatowa maamzi kwa kupaniki na bila ya kushirikisha akili yake. Rais anataka kila mtu akubaliane na mawazo yake.

Kuwa Rais hakukufanyi wewe uonekane una akili nyingi na mitazamo mipana kuliko wananchi wote unao waongoza. Hata mtu wa mwisho darasani kwenye mitihani anaweza akapewa dhamana ya kuwa kiongozi.

Kalibuni kwa maoni

not everyone is willing to take the risk!
Ulitakaje wewe. Ujue km hauna akili mda flan kunyamaza ni busara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mawazo yako wewe unafikiri vyuo na shule vingefunguliwa baada ya Corona kuisha, unajua Corona inasha lini?

Ikiendelea kuwepo miaka mitatu mbele na vyuo vitaendelea kufungwa miaka mitatu?

Huko China, ujerumani etc. Shule zimefunguliwa, lockdown imelecezwa, Corona imeisha?

Mwanzo nilikua napanic Sana nikimsikia JPM na misimamo yake lakini Sasa nimeanza kumuelewa, ninapopingana naye tu ni yeye kuwaingilia wataalamu wanaotaka kuwe na utaratibu wa kiafya katika kuwazika waliokufa na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msimamo wake juu ya Lock down naona yupo sahihi kabisa.
Unalizungumziaje swala la kusema kuwa corona ina kalibia kuisha nchini na wakati majirani wanafunga mipaka kwa kitisho cha Corona kutokea Tanzania?

not everyone is willing to take the risk!
Mkuu kuhusu hyo hoja yako, nadhani watu mnatakiwa kumjua Magu ni mtu mtu wa namna gani. Anaweza kusema wew bwana Raphael Focus ni mrefu alafu kesho akasema tena Raphael Focus ni mfupi.
 
Back
Top Bottom