Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Mwambie basi arudi ikulu.. utapoteza ndugu zako kwa uiinga wakati yeye na familia yake wanakunywa chai ya jasho lako.
Kaburini hakuna mjadala, ukitoka imetoka.
Kumbuka kwa sasa
1. Hakuna kupima corona
2. Mtu akifa hakuna kupima corona
3. Ukifa utazikwa na ndugu zako na sababu ya kifo utajua wewe na ndugu zako.
4. Hakuna kulazwa hospitali kwa mgonjwa yeyote mwenye dalili za corona.
Chunga maisha yako na ndugu zako. Kaburini hakuna ukada wala ccm.

Mkuu mwanzo nilipingana na Magu jinsi alivyolihandle janga la corona, lkin sasa nipo nae. Huyu kooona haishi leo ama kesho ni kumzoea tu na tuishi nae.
Hao wanaojifanya kufunga mipaka sjui lockdown pumzi itawakatikia wakati corona haijaisha.