Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 779
- 4,564
- Thread starter
-
- #21
Mkuu na wewe apo jiulize ina maana Uganda wanadanganya kuichafua Tanzania?Ni vita ya kiuchumi [emoji16][emoji16].
Uganda kwako wenye corona ni madereva tu.
Kwanini madereva?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mkuu!Tunashindwa kujiongeza tu Ila huyu mtu siyo
Mkuu na wewe apo jiulize ina maana Uganda wanadanganya kuichafua Tanzania?
not everyone is willing to take the risk!
Habari ya mda huu wanajanvi!
Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Raisi juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini.
Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:-
Ikiwa Raisi yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?
Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?
Inamaana Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia wanahuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa ya watanzania wameathirika na virusi vya Covid-19,
Wanafanya hivyo kwa faida ya nani?
Muheshimiwa Raisi anapofikilia kutoa maamuzi juu ya ufunguzi wa vyuo nchini, anahuakika gani kuwa maambukizi yameisha mitaani. Ametumia mbinu gani kuwapima wananchi wote nakuthibitisha hilo?
Linapo kuja swala la kufunguwa vyuo hapa nchini Raisi atambue kwamba kuna wanafunzi wanaotokea nnje ya nchi na wanasoma hapa nchini.
Kimsingi Raisi anatowa maamzi kwa kupaniki na bila ya kushirikisha akili yake. Raisi anataka kila mtu akubaliane na mawazo yake.
Kuwa Raisi hakukufanyi wewe uonekane una akili nyingi na mitazamo mipana kuliko wananchi wote unao waongoza. Hata mtu wa mwisho darasani kwenye mitihani anaweza akapewa dhamana ya kuwa kiongozi.
Kalibuni kwa maoni
not everyone is willing Unaonaje tukupe Wewe uongozi kama hutojinyeanyea tuu,,shukuru MUNGU kukupa rais anayekujar,,,,watu kama nyie Saiz tunawapeleka KENYA mkaonje joto la jiwe
Mkuu mwanzo nilipingana na Magu jinsi alivyolihandle janga la corona, lkin sasa nipo nae. Huyu kooona haishi leo ama kesho ni kumzoea tu na tuishi nae.
Hao wanaojifanya kufunga mipaka sjui lockdown pumzi itawakatikia wakati corona haijaisha.
Labda mm nimemwelewa vibaya JPM ila nazani anachotaka ni watu waendelee kuishi na Corona..Habari ya mda huu wanajanvi!
Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Rais juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini.
Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:-
Ikiwa Raisi yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?
Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?
Inamaana Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia wanahuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa ya watanzania wameathirika na virusi vya Covid-19,
Wanafanya hivyo kwa faida ya nani?
Muheshimiwa Rais anapofikilia kutoa maamuzi juu ya ufunguzi wa vyuo nchini, anahuakika gani kuwa maambukizi yameisha mitaani. Ametumia mbinu gani kuwapima wananchi wote nakuthibitisha hilo?
Linapo kuja swala la kufunguwa vyuo hapa nchini Rais atambue kwamba kuna wanafunzi wanaotokea nnje ya nchi na wanasoma hapa nchini.
Kimsingi Rais anatowa maamzi kwa kupaniki na bila ya kushirikisha akili yake. Rais anataka kila mtu akubaliane na mawazo yake.
Kuwa Rais hakukufanyi wewe uonekane una akili nyingi na mitazamo mipana kuliko wananchi wote unao waongoza. Hata mtu wa mwisho darasani kwenye mitihani anaweza akapewa dhamana ya kuwa kiongozi.
Kalibuni kwa maoni
not everyone is willing to take the risk!
Ulitakaje wewe. Ujue km hauna akili mda flan kunyamaza ni busaraHabari ya mda huu wanajanvi!

Mkuu kuhusu hyo hoja yako, nadhani watu mnatakiwa kumjua Magu ni mtu mtu wa namna gani. Anaweza kusema wew bwana Raphael Focus ni mrefu alafu kesho akasema tena Raphael Focus ni mfupi.Mkuu msimamo wake juu ya Lock down naona yupo sahihi kabisa.
Unalizungumziaje swala la kusema kuwa corona ina kalibia kuisha nchini na wakati majirani wanafunga mipaka kwa kitisho cha Corona kutokea Tanzania?