Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Mwambie basi arudi ikulu.. utapoteza ndugu zako kwa uiinga wakati yeye na familia yake wanakunywa chai ya jasho lako.

Kaburini hakuna mjadala, ukitoka imetoka.

Kumbuka kwa sasa

1. Hakuna kupima corona
2. Mtu akifa hakuna kupima corona
3. Ukifa utazikwa na ndugu zako na sababu ya kifo utajua wewe na ndugu zako.
4. Hakuna kulazwa hospitali kwa mgonjwa yeyote mwenye dalili za corona.

Chunga maisha yako na ndugu zako. Kaburini hakuna ukada wala ccm.
Mkuu mwanzo nilipingana na Magu jinsi alivyolihandle janga la corona, lkin sasa nipo nae. Huyu kooona haishi leo ama kesho ni kumzoea tu na tuishi nae.

Hao wanaojifanya kufunga mipaka sjui lockdown pumzi itawakatikia wakati corona haijaisha.
 
Uamuzi wa kwanza unatakiwa yeye atoke chato aje dar au dodoma..

Yeye amejificha kisha anataka watoto wa wengine wafe.
Hasipotoka Chato we hutoki?

Siasa zina waharibu,mpaka mnashindwa kufikiri kwa kutumia vichwa vyenu.
 
Mkuu ondoa ukada, na nitake radhi kuniita kada wa ccm.
Swari moja kwako, kupima corona ndo kupona corona?
Nitapoteza ndg kwa mapenzi yake Mungu si kwa Magu, na ndgu hatakaa ajifungie ndani daima kw sabab ya korona
 
Mkuu ameshasahau kuwa alisema vifaa vilivyopo ni fake na hajui Kama maabara IPO kwenye uchunguzi
Na amesema mtoto wake aliugua corona na sasa amepona. Je, tuamini kwamba kweli aliugua? Kwani rais haamini vipimo vya corona vilivyopo au alipimwa Kenya?
 
Hii vita ya Corona iligeuzwa ya Siasa

Kila siku tuliskia Museven akitangaza Madereva wetu wana Corona
Lakin tangu tununue Sukari tani elf 26 toka kwao hakuna Dereva wetu amekutwa na corona siku mbili tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Propaganda haziwasaidii kitu,hilo ni gazeti la May 17/2020 limeripoti hivi.
 
Sawa mkuu,lakini ingekuwa vyema kuwaeleza watanzania na dunia kuwa mmetumia strategies zipi kuupunguza
Kwa Watanzania ndio hivyo anatuelezea na tulio wengi sasa tunamwelewa na hasa baada ya taasisi inayosimamia afya duniani kusema corona is here to stay na si kitu ya kuondoka hivi karibuni hivyo watu wajifunze kuishi nayo,na uzuri wa Magu sijawahi kumsikia akisema kwamba corona haipo au tusichukue tahadhari au wewe ushamsikia akisema tofauti?
Kuhusiana na strategies tunazotumia wa TZ hata kama tukizitangaza hawatazikubali na alishazitangaza na zikapondwa dunia nzima ikiwemo na nyie baadhi ya watanzania wenzetu,yaani nyie mnasubiri tiba kutoka kwa wazungu tu au kuwaiga wazungu kwa kila jambo ila si kwa waafrika wenzenu (mfano wa dawa ya Madagascar).Chochote kitakachofanywa na mwafrika kipindi hiki kitapondwa sana kwa sababu viongozi kama Magufuli na Rojelina wanafanya juhudi kurudisha nyuma utabiri wa wazungu kuwa waafrika milioni kumi watakufa ktk kipindi kifupi ktk bara hili.
Na kwa wazungu na kwenu nyinyi viongozi wazuri ni wale wanaofuata strategies zao hata kama zimethibika kufeli kama akina Uhuru,kwa maana mlitamani saa hizi maiti ziwe zinaokotwa mitaani kama ilivokuwa kwao na ndio maana maiti 2 waliokufa Dar es salaam na Arusha mlizipigia debe sana mkijua wakati ushafika,lakini mnaona kimya mnatafuta pa kutokea au mnasemaje kama hali ni mbaya kama mnavyotaka tuamini mbona hatudondoki kwa mamia kama si maelfu kama mlivyotarajia?
Mwacheni Magu atuongoze kupambana na corona kwa mbinu zetu wenyewe na si kila kitu kutegemea ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]

not everyone is willing to take the risk!
 
Mkuu umeelewa hoja kweli!? Usikute uwezo wako wa kufikili ni mdogo.

not everyone is willing to take the risk!
 
Ukweli ni kwamba CORONA si tishio kama Ebola, hivyo naunga hoja ya Mh. Rais kuwa shule na vyuo vinapaswa kufunguliwa mapema...

Kwa hili nipo pamoja na Rais wangu Mh. John Pombe Magufuli...
Sawa mkuu, na vipi wanafunzi wa kigeni wa vyuo vikuu wanaosoma hapa nchini?

Napata mashaka kama umesoma nilicho kiandika, watu hamuwezi kujenga hoja kabisa!!

not everyone is willing to take the risk!
 
Nadhani tungeenza kwa kujua sababu ya yeye kupotea mjini zaidi ya siku 50 sasa pengine na yeye kafunguliwa file kule.....Nimesikiliza kwa makini nikaamua ninywe tu 'panadol' na kupumzika...stress nilizonazo zinanitosha kwa sasa
 

Kwa sasa na hata mwezi mzima usiongee chochote kingine kuwajibu hao watu, waambie kila wakitaka kuhoji kuhusu Rais wetu na taarifa za Corona wapite kwenye hili andiko lako mkuu.
 


Haya tujadili hoja sasa, au na wewe kichwa chako ni kizito?


not everyone is willing to take the risk!
 
Kwa hiyo Rais hashirikishi akili? We jamaa una akili vizuri?
Wewe kuandika tu hujui "kalibuni kwa maoni" hiyo sio typing error ni kwamba akili yako imeshindwa kutofautisha R na L, sasa tuambie kati ya Rais na wewe nani hashirikishi akili yake?
Wewe nae ni mpumbavu mmoja humu JF kaa kimia.

not everyone is willing to take the risk!
 
Na hoja ya wanafunzi wa kigeni wanao soma hapa nchini umeielewa?

not everyone is willing to take the risk!
 
Unatuambia bila aibu kuwa rais wetu hatumii akili?? Wewe ndiye huna akili.
Unamdhalilisha rais wetu na nchi yetu,

Kama unawaamini zaidi wazungu hamia kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…