Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Unaona unavyo dhihirisha upumbavu wako?
Umeshindwa kujenga hoja juu ya wanafunzi wa kigeni wanaosoma hapa nchini. Hivi wewe ulizaliwa muda gani !? Unakuwa mpumbavu, kiasi kwamba uwezo wako wa kufikiri ni mudogo.

not everyone is willing to take the risk!
 
kwaiyo ww ulitaka tuendelee kukaa nyumban? umeahaambiwa ya kwamba huu ugonjwa hauishi leo wala kesho kikubwa ni kuzingatia ushaur wa wataalam bas, sasa ww unatakaje? kama na ww ni mwanachuo na unaogopa bas ghailisha mwaka acha sisi tukomae na shule tumeshachoka kukaa kiboya boya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mwanzo nilipingana na Magu jinsi alivyolihandle janga la corona, lkin sasa nipo nae. Huyu kooona haishi leo ama kesho ni kumzoea tu na tuishi nae.

Hao wanaojifanya kufunga mipaka sjui lockdown pumzi itawakatikia wakati corona haijaisha.

Point yako nzuri sana kwa wanaomkosoa Rais. Sijui kama hata umegundua hilo. Unachosema hapa ni kuwa tumekubali kuiona corona kama ni sehemu ya maisha yetu kwa sababu tumechagua kutoathiri uchumi wetu.

Unasema pia waliofunga wakitaka kuukwepa wanachoka kwa sababu uchumi ulioharibika utawafanya wawe hatimaye kama sisi.

Mara zote nimekuwa nikiwaeleza sababu za kufunga uchumi ni za kitabibu (public health) lakini za kutofunga au kufungulia ni both za kiuchumi na public health.

Rais alichagua kulinda uchumi akiamini njia nyingine za kujikinga zitapunguza idadi ya maambukizi na vifo kufikia idadi ya vifo itakauokubalika.
 
Source please for acknowledgement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo changu kuwa Corona imeisha au imepungua ni yeye kurudi mjengoni kuendelea na kazi, hilo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi tunayo, kiama kinatukabili ,mara hatupimi mara taarifa ya watu kupungua ,tunajidanganya sana huko mbele si kuzuri
 
Wewe kama unajiona mwerevu sana jifungie ndani kwako, hujakatazwa.
Hivi Tz kuna wanafunzi wangapi raia wa kigeni mpaka watuzuie sisi kufanya yetu? Wanafunzi wengi ni majirani zetu......wapande mabus waje. We endelea kukaa ndani mpuuzi we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…