steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Hakika aisee,you nailed itkuna mambo yana fikirisha imagine alieandika hii post ana familia alaf ufahamu wake ndio kama hivyo si tunajenga taifa la hovyo.
kenya hapo kila siku wanyama wanakufa kisa ukame tuseme nao wamekata miti 2m au athari za miti yetu ndo zinasambaa mpka kenya?
Majuzi hapa nchi za ulaya walikumbwa na janga la moto je hali ya joto kwao ilisababishwa na miti 2m. Tujifunze sana kuchuja mambo na kuwa na mawazo chanya huku kuwa keyboard hero wakat watu wakipima uelewa upo down dah inasikitisha sana