Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washafeli hao wanatafuta pakuchomekeakwahyo miti milioni 2 tu ndo ilikua inaleta mvua tanzania ?
Hizi tabia za kujidai unakosoa mambo ambayo hayana faida hata kwa familia yako hebu acha kwa logic tu ukikata miti 2m ndo iwe chanzo cha ukame.
Mbona hao mabeberu wanaharibu mazingira toka miaka ya 1600 huko leo ww ndo unaona kujenga bwawa kuharibu mazingira mhhh unasikitisha sana
Huitaji kuwa na degree kufikiri vitu vidogo kama hivyo,ni mbaka uwe na cheti feki kwanza.Hii miti ni ikipandwa katika interval ya cm ngapi.??
Na ukame wa Miaka iliyopita ulisababishwa na nini...???
?? Manaye nitafsirie huenda mie Ni kilazAAliwazuia kina nani na shillingi ngapi??
Magufuli alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu.
Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo.
Hata Mbowe akisoma hapa ataona aibu jinsi anavyowapotosha vijana wake kama wewe.Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Endeleeni kula bata kazi imeshawashinda kudadeki zenu.Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Dar ipi uliyopo ambapo joto limezudi? Hapa nilipo liko 25° saa 2 asubh na litaenda 28°saa 8 na kwa mara ya kwanza Dar ime experience baridi mwaka huu.Magufuli alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu.
Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo.
Vilaza somo la uharibifu wa mazingira ni gumu sana kwao, wao wanachojua ni kula na kujaza tu matumbo yao, ndio sababu nchi sehemu kubwa wanakoishi raia ni chafu sana hata usafi wa kawaida wa mazingira bado ni tatizo kubwa.
Mental disorder case study hii kabisaWewe kilaza weka hapa definition ya overpopulation uliyofundishwa O-level?
Overpopulation ya mahali ni kuanzia watu wangapi??
Wewe unaijua Dar? Mtu yuko Kazuramimba huko Kigoma naye anajifanya mtu wa Dar?Dar ipi joto kimeongezeka???
Wakati hadi saizi kuna kijiubaridi. Ila mvua ndo hakuna.
Hongera Mkuu Chenchele kwa kuweka bandiko la kutaalamu. Haya mamisukule ya Mwendazake hakuna kitu yanajuwa zaidi ya kutetea UPUMBAVU wa mungu wao.Tropical forests ni misitu iliyopo Kati ya 23.5N au 23.5 S ya equator (including Amazon)
As per geography mvua inayonyesha msituni humo, 75% inasababishwa na misitu yenyewe by the so called transpiration and evaporation.
Misitu hii ya kitropic ni muhimu kuliko misitu mingine.
Cutting down hii misitu Hamna mito itajaa wala maziwa sababu mvua yake ni karibia 200-1000 cm down ground.
Selou game reserve is not an exempt here. Location yake ni 9S so IPO ndani ya tropic.
Kazi ya mti mmoja ni kukusanya CO2 kutoa angani, reduced air CO2 inapunguza greenhouse hence global warming reduction.
Averagely mti mmoja hufyonza 22.5kg za CO2 kutoka atmosphere.
Seasonally, 2.7 million trees inaweza kufyonza 22.5 X 2.7 million CO2 from the atmosphere.
Precipitation above ya hiyo miti inaweza Kua carried na wind away to another location a ikasababisha mvua. Especially Nyanda za juu kusini.
So downed 2.7 million trees ya Nyerere dam technically may have indirect effect behind southern Highlands drought.
Thus why wataalamu walionya Sana including mabunge ya ulaya.
Illiteracy hichi kitu hawaelewi. And they have 0 geophysics knowledge .
Sad.
Kumbe bado tuna wapumbavu nchii hii, kule Kenya nchi nzima ni kama nusu jangwa lakini bado wana maji ya kutosha, zama hizi unategemea na kutoa visingizio vya kijinga, bado tuna mito,maziwa,bahari na maji yanapotea tu, Awesu,Makamba wameshindwa kazi,hayo ya mazingira au kukata miti huko Selous ni upumbavu,tatizo la maji Dar halijaanza leo, liliisha wakati wa mwendazake iweje leo liwepo kumlaumu Magu kwa kukosa maji naumeme wakati hayupo ni kukosa akili na maarifa, tusiwe kama akina Ruto ambao badala ya kutatua matatizo bado wanalaumu uhuru utadhani wenyewe walikuwa hawapo, unamlaumu vipi mwendazake wakati mama alikuwawepo,Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Unakaa Nyagwa kweli weweHongera Mkuu Chenchele kwa kuweka bandiko la kutaalamu. Haya mamisukule ya Mwendazake hakuna kitu yanajuwa zaidi ya kutetea UPUMBAVU wa mungu wao.
JF Member, Mateo Kovasic, nabiidaniel, steveachi, komamgo, Stroke, Magonjwa Mtambuka Omulasil, NICOD2002 All truth23
Jibuni hoja hiyo hapo juu