Ujinga wa Watanzania, hasa wale mashabiki wajinga wa CCM, wa kupongeza kila kitu, wanaliangamiza Taifa.
Prof. Muhongo aliliasa bunge kuwa Dunia nzima inaondoka kwenye umeme wa maji kutokana na mabadiliko ya tabia nchi na kwenda kwenye vyanzo vingine, lakini wabunge wajinga wakiongozwa na Msukuma, wakamtusi na kumkejeli, kwa vile tu 'Rais wetu mpendwa" alishasema kuwaumeme wa maji ndiyo kimbilio.
Bwawa hilo umeme, kama kukiwa na mvua nyingi linatakiwa lijae maji baada ya miaka mitatu. Sasa kwa huu ukame, si litajaa baada ya miaka 20, au lisijae kabisa?
Ama kweli, ni aheri unyimwe vyote upewe akili na afya njema.