Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

Naona ccm imevamiwa na vijana wahuni wahuni mpaka unawaza Hawa vijana wametoka wapi, wanajidai wakosoaji wakubwa wa hayati kumbe Ni ujinga mtupu.

Niko site kazi ya mradi unaenda vizuri sana , watu tunakula pesa hapa!!?

Hongera sana mama Samia kwa kusimamia mradi huu kwa nguvu zote, Mungu akubariki
 
Sikutegemea kama watu wa mawazo kama haya bado wapo....hii ina maana kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wa elimu yetu.
CCM haifai tena kuwepo.
Aibu kubwa hii..!
Pole kijana, sio kosa lako.
Wewe mpumbavu Ngorunde ndiyo umeandika nini sasa? Hoja inajibiwa kwa hoja. Nimesema kukata miti 2.7 Milioni kuna athari kwenye mazingira. Wewe unakuja kuandika pumba hapa
 
Wewe utakuwa ni wale wanaoamini Mungu hapendi kuleta mvua kwa makosa yetu. Tangu lini Ukame wa East Africa ukasababishwa na Selous? Au huna taarifa kwamba Erthiopia wako hali ngumu kuliko wewe hapa TZ.
Jielekeze kwenye ukame wa Tanzania, achana na Ethiopia. Kama hukusoma hata Physical Geography O-level Kaa kimya au nenda chit chat kwenye mambo ya mapenzi na mahusiano. Hili ni jukwaa la wenye akili tu
 
Mito mikubwa Ulaya kama Rhine na Danube ilikauka mwaka huu sababu ya ukame. Ina uhusiano na hiyo miti iliyokatwa Selous?

Jaribuni kufuta ujinga.
Nenda kaangallie sababu za Danube na Rhine kukauka utuwekee hapa. Kumbuka kila mazingira yako unique na tabia nchi yaliyopo. Don't put sweeping statement kama vile kukwenda hàta O-level
 
Kichaa naona mwezi umeandama.
Kama ungekuwa na hoja ungeandika ku counter argument yangu. Lakini wewe ni darasa la 7 tu unajuwa Kusoma na Kuandika tu, hata ukiniita kichaa hainusumbui
 
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Mlaumu jk aliuza gesi saivi Tena tunauziwa gesi yetu na tuliyemuuzia. Na ndio jpm kuona nishati ya Bei nafuu Ni kukufua umeme wa maji la nyerere.gesi ingekuwepo cheap nadhani hayo yasingewezekana. Kajk Ni kabinafsi balaa
 
kwahyo miti milioni 2 tu ndo ilikua inaleta mvua tanzania ?
Hizi tabia za kujidai unakosoa mambo ambayo hayana faida hata kwa familia yako hebu acha kwa logic tu ukikata miti 2m ndo iwe chanzo cha ukame.

Mbona hao mabeberu wanaharibu mazingira toka miaka ya 1600 huko leo ww ndo unaona kujenga bwawa kuharibu mazingira mhhh unasikitisha sana
..c & p kutoka kwa dudus
kwa mara ya kwanza katika kizazi chetu hiki ukame mkali kuikumba mikoa ya Ruvuma, Iringa na Njombe; Mbeya, Songwe, Rukwa, na Katavi zijiandae. Msitu wa Selous una direct effect ya hali ya hewa kwa mikoa hiyo.

Unyevu ukipungua Selous ni lazima mikoa hiyo iathirke kutokana na geographical location yao against Selous with respect to direction ya upepo. That's the fact Chief
 
Taifa hili linaendekeza siasa za kuchafuana sana.
Mm sio mpenzi wa siasa ila sometimes naona vijana waliopo kwenye vyama vyetu hawana mchango kabisa wao wapo kumfurahisha aliyopo madarakani tu.

Vijana badilikeni kuna mambo mengi yakushauri serikali ila mnapuyanga sana
 
Wewe mpumbavu Ngorunde ndiyo umeandika nini sasa? Hoja inajibiwa kwa hoja. Nimesema kukata miti 2.7 Milioni kuna athari kwenye mazingira. Wewe unakuja kuandika pumba hapa
Bado unaendelea kunishangaza ila hujachelewa.
Tulia usome hoja tofauti tofati za wadau kwenye huu uzi wako utajifunza kitu.
Kusema huu ukame umetokana na kukatwa kwa hiyo miti sio sawa.
 
Taifa hili linaendekeza siasa za kuchafuana sana.
Mm sio mpenzi wa siasa ila sometimes naona vijana waliopo kwenye vyama vyetu hawana mchango kabisa wao wapo kumfurahisha aliyopo madarakani tu.

Vijana badilikeni kuna mambo mengi yakushauri serikali ila mnapuyanga sana
Vijana wameshajichokea, they will do anything ilimradi mkono uende kinywani...wengine wana chuki to the point ht nyeupe wanakomaa kua ni nyeusi(blinded by the hetrate) na matokeo yake ni haya...
mvua zikianza kunyeesha hutaskia tena hizi kauli...utaskia tu sifa kwa mama
1. 1979 Tanzania tulikua na ukame,
2. 1998 kulikua na mafuriko ya el-nino
3. 2006 kulikua na ukame mkali zaidi ya huu
Mabadiliko yote haya ya tabia inchi bwawa lilikua halijajengwa so haya nayo yalisababishwa na nn?
 
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam

View attachment 2399516
Tusimlaumu Magufuli,Dunia yote sasa inapitia mabadiliko ya hali ya hewa,kwani wizara inayohusu Mazingira ipo wapi?

Kwanini wasije na mpango angalau kila mkoa kwa mwaka ihamasishe wananchi kupanda miti maeneo yao?

Mapori kibao yapo wazi,waende huko wapande miti ya kutosha.
 
... kwa mara ya kwanza katika kizazi chetu hiki ukame mkali kuikumba mikoa ya Ruvuma, Iringa na Njombe; Mbeya, Songwe, Rukwa, na Katavi zijiandae. Msitu wa Selous una direct effect ya hali ya hewa kwa mikoa hiyo.

Unyevu ukipungua Selous ni lazima mikoa hiyo iathirke kutokana na geographical location yao against Selous with respect to direction ya upepo. That's the fact Chief.
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la kidunia mkuu, sio Tz tu.
 
Back
Top Bottom