Hakika aisee,you nailed itkuna mambo yana fikirisha imagine alieandika hii post ana familia alaf ufahamu wake ndio kama hivyo si tunajenga taifa la hovyo.
kenya hapo kila siku wanyama wanakufa kisa ukame tuseme nao wamekata miti 2m au athari za miti yetu ndo zinasambaa mpka kenya?
Majuzi hapa nchi za ulaya walikumbwa na janga la moto je hali ya joto kwao ilisababishwa na miti 2m. Tujifunze sana kuchuja mambo na kuwa na mawazo chanya huku kuwa keyboard hero wakat watu wakipima uelewa upo down dah inasikitisha sana
Wa la Saba B ukiwaleta kwenye mambo yanayohitaji shule lazima walete matusiUnakaa Nyagwa kweli wewe
Tusi liko wapi profesa tumbo?Wa la Saba B ukiwaleta kwenye mambo yanayohitaji shule lazima walete matusi
Huna unachojua na darasa la Saba lako. Hapa uliingia maji marefu. Ni wenye akili tu ndiyo wana flowAisee usinitag katika mada za hovyo hovyo kama hii.
usitulishe maneno bhana ukame ni kila sehemu mifano ipo mingi na kama miti 2m inaleta athari kwa mikoa yote hiyo kwamba hiyo mikoa hamna uoto wake wa asili. basi ingekua hivyo hizo nchi za ulaya walioharibu mazingira toka miaka ya 1700 huko si wangebaki jangwa leo..c & p kutoka kwa dudus
kwa mara ya kwanza katika kizazi chetu hiki ukame mkali kuikumba mikoa ya Ruvuma, Iringa na Njombe; Mbeya, Songwe, Rukwa, na Katavi zijiandae. Msitu wa Selous una direct effect ya hali ya hewa kwa mikoa hiyo.
Unyevu ukipungua Selous ni lazima mikoa hiyo iathirke kutokana na geographical location yao against Selous with respect to direction ya upepo. That's the fact Chief
We ndio mjinga zaidi na hiyo parochial provincional view of things.Hii siyo Kenya ondoa ujinga wako hapa
Hujui unachosema! Umegubikwa na kupofushwa na chuki tu! Hujui science ya La nina, El nino na Ukame na mafuriko ya mikoa inayo pata mvua za VULI!Magufuli alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu.
Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo.
Kusema mikoa ya nyanda za juu inategemea unyevunyevu kutoka misitu ya selous si kweli labda kwa kiasi kidogo sana, mikoa ya MbeyaMabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la kidunia mkuu, sio Tz tu.
Mikoa ulioitaja inategemea kiasi kikubwa cha unyevu kutoka misitu ya Congo, kijiographia mikoa ya Katavi, Mbeya, Songwe, Njombe na Iringa IPO juu kotoka usawa wa bahari na misitu ya selous ipo chini sana, trade winds kutoka ukanda equator hubeba unyevu kuelekea mashariki kutotokea anga la Congo..c & p kutoka kwa dudus
kwa mara ya kwanza katika kizazi chetu hiki ukame mkali kuikumba mikoa ya Ruvuma, Iringa na Njombe; Mbeya, Songwe, Rukwa, na Katavi zijiandae. Msitu wa Selous una direct effect ya hali ya hewa kwa mikoa hiyo.
Unyevu ukipungua Selous ni lazima mikoa hiyo iathirke kutokana na geographical location yao against Selous with respect to direction ya upepo. That's the fact Chief
Hivi wewe nawe unajiona una akili?Huna unachojua na darasa la Saba lako. Hapa uliingia maji marefu. Ni wenye akili tu ndiyo wana flow
Mtu anafikiri anaongea na wenzie wa kiwango cha praimari!kuna mambo yana fikirisha imagine alieandika hii post ana familia alaf ufahamu wake ndio kama hivyo si tunajenga taifa la hovyo.
kenya hapo kila siku wanyama wanakufa kisa ukame tuseme nao wamekata miti 2m au athari za miti yetu ndo zinasambaa mpka kenya?
Majuzi hapa nchi za ulaya walikumbwa na janga la moto je hali ya joto kwao ilisababishwa na miti 2m. Tujifunze sana kuchuja mambo na kuwa na mawazo chanya huku kuwa keyboard hero wakat watu wakipima uelewa upo down dah inasikitisha sana
Magufuli alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu.
Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo.
Kama vyanzo vya maji vinaharibiwa huo umeme utafuliwa kwa kutumia nini?Kwa hiyo unataka Tanzania yote iwe sehemu ya hifadhi halafu ulaya wajenge miundombinu?
Tanzania tuna eneo kubwa la pori, selous ni sehemu tu ya pori.
Wazungu kwanini wao wasihifadhi maeneo yao?
Hakuna athari yoyote ya mvua inayotokana na mradi wa kufua umeme
Kama kuna mabadiliko ya mazingira, yatajiadopt yenyewe, kikubwa tupate umeme wa uhakika 2115MW
Tunawauliza hii nchi haijawahi kupatwa na ukame kabla ya MAGUFULI? Ukame wa Kenya unasababishwa na nnMagufuli alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu.
Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo.
Unaongea na darasa la saba aliyeelimika sio aliyeshikiwa akili. Tumekuwa na ukame hata njaa hats kabla ya hilo bwawa kujengwa. Hujala ugali wa Yanga wewe😂😂Bro kama wewe ni WA darasa la Sana hapa siyo mahali pako. Tafuta wenzio chit chat au Mahusiano na mapenzi