Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!


Halafu uwezo wa hicho kivukio ni abiria 101, jamaa walipakia zaidi ya hao, kwa kweli hapo uzembe ulitendeka.
 
Leo ndio tunaona mie ricopta na miboti ya polisi nayo yamebeba viongozi tu wa polisi na wa kiserikali Huku waokozi wakiwa kwenye mitumbwi.
Inasikitisha wakatimwingine.Tunachelewa sana. Na UBOSI ni MWINGI zaidi ya UTUMISHI.
Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa juhudizake nzuri alipo mobilize uokoaji akishirikiana nawengine .ALIJARIBU .Hongera sana.mkuu wa mkoa.
 
Halafu uwezo wa hicho kivukio ni abiria 101, jamaa walipakia zaidi ya hao, kwa kweli hapo uzembe ulitendeka.
Its so dissapointing.. And sad.. Watu hutaka kujaza mifuko yao kwanza
 
Giza limeingia nasitisha kuandika message hadi kesho
 
Hivi Bado kuna watu wanamsikiza huyu MTU???
 
Usiuamini ujinga wowote ule toka kwa mwana CCM yeyote yule!!
 
Na likivuk la.MV Magogoni leo limekata umeme katikati ya maji, wacha nichanganyikiwe, pantoni ikabidi lirudishwe na abiria kushushwa. Nimeleta uzi hapa lakini umefutwa, sijui kwanini
 
Mmoja ya wadau amesema possible reason ni kuwa watu walihama na kusogea mbele ili kuwahi kushuka baada ya kivuko kukaribia nchi kavu, kwahiyo uzito ulisababisha kivuko kuelemewa upande mmoja
Kilipoundwa hilo lilikuwa kwenye mahesabu ya FIZIKIA.
Hiyo si kweli.
Ukweli ni kuwa chombohicho kiilikuwa kimejazwa pomoni zaidi ya uwezo wake.
Watanzania tujifunze kusema ukweli, badala ya kuupinda.
Ama ni vip imkuu?
 
Ila ccm mmechemsha Sana kwenye ajali ya mv Nyerere....mabilioni ya kuwanunua madiwani na wabunge mnayo ila hata vibatari vya kuokolea wahanga kwenye ajali hiyo hamna....[emoji41]
Nchi za wenzetu serikali nzima ingejiuzuru wananchi wangeitaka iachie nguvu kwa uzembe wa watu kufa mita 100 tu nchi kavu,
 
Naweza kabisa kuilaumu serikali kwa kuendelea kufanya kazi kwa mazoea.

Sea worthiness haipo and nobody cares!!, ajali zinajirudia kila mwaka. SUMATRA wanalipwa mishahara tena kwa wakati.

Lakini sikubaliani na huu ustaarabi wa kishenzi wa kutotambua kuwa nchi ipo kwenye maombolezo halafu zinaendelea siasa za kipuuzi tu.
 
Hawezi kujiuzuru kwakua hajitambui
 
Kilipoundwa hilo lilikuwa kwenye mahesabu ya FIZIKIA.
Hiyo si kweli.
Ukweli ni kuwa chombohicho kiilikuwa kimejazwa pomoni zaidi ya uwezo wake.
Watanzania tujifunze kusema ukweli, badala ya kuupinda.
Ama ni vip imkuu?


Mchangiaji mwingine anasema kama kilizidisha uzito kingazama Ukerewe kabla hakijafika ng'ambo ya pili
 
Inasikitisha wakatimwingine.Tunachelewa sana. Na UBOSI ni MWINGI zaidi ya UTUMISHI.
Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa juhudizake nzuri alipo mobilize uokoaji akishirikiana nawengine .ALIJARIBU .Hongera sana.mkuu wa mkoa.
Alijitahidi na juhudi zake zimeonekana ila alichemka alipositisha zoezi. Unapataje usingizi wakati watanzania wenzio wakiwa majini hai au maiti. Kama Mkuu wa mkoa angempigia hata rais simu ya kuomba msaada wa vifaa ila labda aliomba akaambiwa awaache waathirika wapambane na hali zao kwa nini wamepanda chombo kilichojaa.

Kuna Mzee mmoja mtoto wake wa kiume alituhumiwa kumpa mimba mwanafunzi kesi ikaletwa kwangu na wazazi wakitaka suruhu nikampigia baba wa kijana wa kiume majibu yake yaliniacha hoi aisee. Anasema mwache afungwe tu kila siku namuonya asikii mwache afungwe nilichofanya nikaiacha kesi iende mbele aliposikia yuko polisi uchunguzi unaendelea Mzee ananipigia ananiambia nimshauri afanyeje nikasema wazee wengine hasara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…